Rais Samia ana dalili za kuwa Rais bora kama Nyerere na Mkapa. Anaonekana kuwaacha mbali Magufuli na Kikwete

Mzee wa mapambio kama kawaida yako mama hata akinyea hotpot la chakula unachotakiwa ule jioni! Utamiminia pilipili na kufurahia kula mbolea yake! Hopeless kabisa shwaini wahedi
 
Hilo nalo linahitaji ushahidi kweli?
Siasa za nchi hii[emoji38][emoji38][emoji38],
Edward Lowasa aliishaitwa fisadi kisa Richmond baadae akasafishwa kwa gharama kubwa sana. Sishangai kwa yaliyotokea awamu ya tano kwa Msoga gang na yanayoendelea dhidi ya Sukuma Gang kwa awamu hii.

Haya yote yanafanyika kutafuta mitaji ya kisiasa nje na ndani ya chama chenyewe.
 
Hebu punguzeni upumbavu ili tufike tunapoelekea maana upumbavu jawabu lake ni laana.
 
Fact.
 
Huo ubora wa Nyerere na Mkapa unatoka wapi!?...mmoja alituzamisha kwenye dimbwi la umasikini na ujinga, mwingine akauza Mali za umma kwa Bei ya kutupa
Kuweni wazalendo hata kidogo,zungukeni nchi za majirani zenu ndiyo mtangundua kuwa chuki zenu hazina faida kwa hawa viongozi.
 
Perceptions zetu, ukiishakuwa Raisi wewe ni super human tayari. You can conquer everything [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38].

Bei ya mafuta haiamuliwi na tamko la Raisi zaidi ya nguvu ya soko.
 
Anawezaje kuwa bora wakati mambo karibia yote anayoyafanya anayafanya kwa maelekezo kutoka kwa Kikwete. Huku akijaribu kuwa please Sukuma gang ili wasimchukie.
Hizi zitabakia kuwa opinions zako tuu na sio facts..

Hadithi kama hizo zilitokea kwa Felix Chisekedi mara ooh atakuwa kivuli wa Kabila,yako wapi?

The same to Rais wa Angola au Rais wa US bwana Biden..

Hakuna wa kumpa maelekezo Rais,hakuna Rais mjinga wa hivyo.

Pili kwani ni vibaya kuomba ushauri kwa JK? Ndio baba wa Taifa aliye hai kwa sasa,Mzee mwinyi kapoteza kumbukumbu shauri ya uzee.
 
Hizi zitabakia kwa opinions zako tuu na sio facts..

Pili kwani ni vibaya kuomba ushauri kwa JK? Ndio baba wa Taifa aliye hai kwa sasa,Mzee mwinyi kapoteza kumbukumbu shauri ya uzee.
Samia aombi ushauri, anapewa maagizo na kuyatekeleza.

Unajua maana ya kuomba ushauri kweli ?

Magufuli ndiye mtu aliyewaibua watu kutoka majalalani kwenda kushika nafasi ambazo zilionekana hazitakiwa kushikwa na watu wengine.
 
Alimuibua nani mpya kwenye system? Unaweza mpa maelezo amiri jeshi mkuu? Wewe kama nani?
 
Samia aombi ushauri, anapewa maagizo na kuyatekeleza.

Unajua maana ya kuomba ushauri kweli ?

Magufuli ndiye mtu aliyewaibua watu kutoka majalalani kwenda kushika nafasi ambazo zilionekana hazitakiwa kushikwa na watu wengine.
Wewe ni mmojawapo wa watu wa majalalani
 
Consultation wanataka akachukue kwa Mwinyi Zanzibar na Kigali kwa Kagame [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Wengi tu, ukituliza akili sura zao utazikumbuka.

Wewe Chamuriho ukiwahi kumuona wapi kabla Magufuli ajamleta serikali kuu ?
Kwani Magufuri alikuwa Mungu?????Tangu enzi za Nyerere,Mwinyi,Mkapa,Kikwete na hata Magufuri watu wapya walikuwa wanaibuliwa,hata Magufuri aliibuliwa enzi za Mkapa,je alijiibua mwenyewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…