Mapank
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 4,130
- 6,097
Nashukuru BossLabda huko kwenu ndio mlikuwa kama Digidigi, ila huku kwetu watu hawajawahi kuogopa ku comment chochote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru BossLabda huko kwenu ndio mlikuwa kama Digidigi, ila huku kwetu watu hawajawahi kuogopa ku comment chochote.
Mzee wa mapambio kama kawaida yako mama hata akinyea hotpot la chakula unachotakiwa ule jioni! Utamiminia pilipili na kufurahia kula mbolea yake! Hopeless kabisa shwaini wahediSaizi Sukuma gang na Chadomo kete yao ni Bei ya vitu kupanda eti wanategemea itawavusha hadi 2025 😀😀😀😀..
Ukiwaomba Sukuma gang waweke rekodi za mwaka mmja wa mtu wao vs SSH wanakwepa baada ya Samia kuwa outperform pakubwa ..
Utasikia miradi ya Magufuli,huwa nawauliza kwa nini miaka 6 hakumaliza mradi hata mmja at the same time wanataka Samia amalize ndani ya mwaka wake mmja na kuanza mipya 😆😆😆..
Uzuri wa Samia hapendi masifa ya kijinga wala kulazimisha kupendwa kwa maigizo na propaganda.za kitoto za shujaa wa Chato..
Sikiliza wabunge huko Bungeni wanavyofurahia mahela lundo kwenye Halmashauri zao hadi raha na wanakiri haijawahi kutokea Rais kutekeleza bajeti na ilani kama Samia.Huu ni ukweli mchungu watetezi wa legacy hawapendi kuusikia..
Ila kumfananisha na Nyerere,hapo hapana mkuu umezingua.
Wataelewa tuuuAnafakamia pilipili wakati ana bawasiri huyo achana nae muda choo kikimbana atafurahia show! Hawa ndio wale anti-Magufulist wasio na hoja
Mwehu huyoUmeiona wapi hoja?
Mtashindwa tuu
Rudi Exeter Hall wakupe assignment nyingine
labda ukafundishe Uhasama wa Makaburu
Siasa za nchi hii[emoji38][emoji38][emoji38],Hilo nalo linahitaji ushahidi kweli?
Hivyo vituo vya afya vinapunguza vipi bei ya nyama buchani?Mwaka ujao watajenga vituo vya afya 304, hospital 28 ,,mwaka uliomalizika vituo vya afya 234,,Kwa Takwimu hizi kweli kuna Rais atamfikia Samia kweli ? Tuseme ukweli👇
View attachment 2182416
View attachment 2182417
Hebu punguzeni upumbavu ili tufike tunapoelekea maana upumbavu jawabu lake ni laana.Tunajua Urais ni Taasisi Rais bora ni yupi?
Mkweli hata Kama Ukweli unauma ila anausema hata Samia na NYERERE wako kapu moja, tumeshuhudia mara kadhaa nyerere alisema kuna rushwa ndani ya serikali yake na Samia akwepeshi maneno anasema wazi na Ku Sema alipo kosea Rais alomtangulia Kama alivyofanya Nyerere Kwa Mwinyi,
Samia ni Rais wa Kwanza Mwanamke ana changamoto kubwa Kama alivyokuwa Rais wa kwanza Mwanaume NYERERE na changamoto kadhaa!!
Samia tunapokosa pesa ya ndani anasema lazima tukope si Kama Magufuli alikuwa anapika data mpaka anajichanganya ! Samia anasema kwamba makusanyo ni… na Uchumi wetu si wa Kati Kama chuma alivyotuaminisha… shirika la ndege lina hasara si Kama Simba wa iskariote alivyo Sema ,…Kwamba Nidhamu pia ilikuwa ya uoga kazini si ya heshima….
Ame delegate power wasaidizi wake wanawajibika zaidi kuliko one man show…
Mzunguko wa pesa umekuja na nzuri zaidi Nina ndoto mwaka 2027 tutaanza mchakato wa KATIBA mpya atatutachia KATIBA safi.
Mama aendelee hadi 2030 achana na story za chuki mpaka hapo Mwinyi atakapo mrithi, watasema ooo lazima Rais awe mtanganyika , Mbona watanganyika wameongoza mara tatu mfululizo
Ni vi sentence vichache ila….
URAIS SI KUKAKAMAA USONI NARUDIA
Britanicca
Fact.Brita!!
Spending nikuzodoe ila naheshimu uzi!!
Unajua tusiendekeze tabia ya kwamba fulani anafaa zaidi ya..
Tanzania ina watu wanafaa tu kwa URais sio lazima fulani aendele kuongoza hadi eti Mwinyi aje kwani nafasi aliyonayo sasa hivi haimtoshelezi hadi aje kuendelea Bara!! Huu ni uzandiki mtupu. Tuacheni kuwa waTumwa kwa kila kitu.
Sent from my SM-A115AZ using JamiiForums mobile app
Kuweni wazalendo hata kidogo,zungukeni nchi za majirani zenu ndiyo mtangundua kuwa chuki zenu hazina faida kwa hawa viongozi.Huo ubora wa Nyerere na Mkapa unatoka wapi!?...mmoja alituzamisha kwenye dimbwi la umasikini na ujinga, mwingine akauza Mali za umma kwa Bei ya kutupa
Hizi zitabakia kuwa opinions zako tuu na sio facts..Anawezaje kuwa bora wakati mambo karibia yote anayoyafanya anayafanya kwa maelekezo kutoka kwa Kikwete. Huku akijaribu kuwa please Sukuma gang ili wasimchukie.
Samia aombi ushauri, anapewa maagizo na kuyatekeleza.Hizi zitabakia kwa opinions zako tuu na sio facts..
Pili kwani ni vibaya kuomba ushauri kwa JK? Ndio baba wa Taifa aliye hai kwa sasa,Mzee mwinyi kapoteza kumbukumbu shauri ya uzee.
Alimuibua nani mpya kwenye system? Unaweza mpa maelezo amiri jeshi mkuu? Wewe kama nani?Samia aombi ushauri, anapewa maagizo na kuyatekeleza.
Unajua maana ya kuomba ushauri kweli ?
Magufuli ndiye mtu aliyewaibua watu kutoka majalalani kwenda kushika nafasi ambazo zilionekana hazitakiwa kushikwa na watu wengine.
Wewe ni mmojawapo wa watu wa majalalaniSamia aombi ushauri, anapewa maagizo na kuyatekeleza.
Unajua maana ya kuomba ushauri kweli ?
Magufuli ndiye mtu aliyewaibua watu kutoka majalalani kwenda kushika nafasi ambazo zilionekana hazitakiwa kushikwa na watu wengine.
Wengi tu, ukituliza akili sura zao utazikumbuka.Alimuibua nani mpya kwenye system? Unaweza mpa maelezo amiri jeshi mkuu? Wewe kama nani?
Ndio nipo Udom Kitivo cha Sheria.Wewe ni mmojawapo wa watu wa majalalani
Wengi akina nani? Kinachokusumbua wewe ni chuki binafsi kwa Samia unfortunately huna cha kufanya ndio Rais huyo.Wengi tu, ukituliza akili sura zao utazikumbuka.
Wewe Chamuriho ukiwahi kumuona wapi kabla Magufuli ajamleta serikali kuu ?
Consultation wanataka akachukue kwa Mwinyi Zanzibar na Kigali kwa Kagame [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Hizi zitabakia kuwa opinions zako tuu na sio facts..
Hadithi kama hizo zilitokea kwa Felix Chisekedi mara ooh atakuwa kivuli wa Kabila,yako wapi?
The same to Rais wa Angola au Rais wa US bwana Biden..
Hakuna wa kumpa maelekezo Rais,hakuna Rais mjinga wa hivyo.
Pili kwani ni vibaya kuomba ushauri kwa JK? Ndio baba wa Taifa aliye hai kwa sasa,Mzee mwinyi kapoteza kumbukumbu shauri ya uzee.
Kwani Magufuri alikuwa Mungu?????Tangu enzi za Nyerere,Mwinyi,Mkapa,Kikwete na hata Magufuri watu wapya walikuwa wanaibuliwa,hata Magufuri aliibuliwa enzi za Mkapa,je alijiibua mwenyewe?Wengi tu, ukituliza akili sura zao utazikumbuka.
Wewe Chamuriho ukiwahi kumuona wapi kabla Magufuli ajamleta serikali kuu ?