Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Kama ujumbe wa kwanza haukukulenga wewe ila uliujibu. Na huu upokee.Ujumbe huo mtumie aliyeanzisha uzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ujumbe wa kwanza haukukulenga wewe ila uliujibu. Na huu upokee.Ujumbe huo mtumie aliyeanzisha uzi.
Mimi nilianza kuwashauri CDM wagomee uchaguzi 2015 Ili kushinikiza KATIBA mpya ipatikane kabla ya Kikwete kuondoka madarakani wakapuuza.Mawazo kama haya ndio yalinifanya niache kujishughulisha na upinzani
2020 niliwaambia wagomee uchaguzi kutokana na mazingira yalivyokuwa ama wataishia kuumizwa bure na kupoteza fedha, ila wengi walikuwa na mawazo kama haya na matusi juu
Kilichowakuta hadi leo bado wapo mahakamani kutumia fedha na muda zaidi kufukuzwa wabunge 19
Unahitaji uvumilivu sana kuongozwa na watu wenye akili fupi kiasi hiki
Unajidanganya, Wangemsimamisha Membe afu CDM ikaenda na Lowwassa,CCM hata wakimuweka Gigy Money, wakataka ashinde uchaguzi, ATASHINDA
Wanasiasa wanajua wanachokifanya ndio kazi yao ila tatizo lipo kwa nyie wananchi, endeleeni kuwaamini na kuweka matumaini kwa hao wanasiasa.Mimi nilianza kuwashauri CDM wagomee uchaguzi 2015 Ili kushinikiza KATIBA mpya ipatikane kabla ya Kikwete kuondoka madarakani wakapuuza.
Enzi hizo walikuwa na wabunge wengi sana na nguvu kubwa,
Ukikaribia uchaguzi, wanasiasa Huwa wanakuwa kama wamerukwa na AKILI.
Wangesikiza ushauri, tusingekuwa hapa tulipo Leo kama TAIFA.
Time hii hawatoamini jinsi uchaguzi utakavyoyeyuka,Wanasiasa wanajua wanachokifanya ndio kazi yao ila tatizo lipo kwa nyie wananchi, endeleeni kuwaamini na kuwa kuweka matumaini kwa hao wanasiasa.
nimepita kanda ya ziwa majuzi - Mwanza, Geita, Biharamulo, Kahama, Tabora, Shinyanga, Bukombe, Bukoba - aisee ni hali mbaya !! ila cha msingi nachotaka kusema ni kwamba kwa katiba hii narudia tena kwa katiba hii ndugu zangu majungu juu ya huyu mama ni kujichosha kiakili na kimwili.Tangu nianze kufuatilia siass za nchi hii, sijawahi ona kiongozi wa CCM alie madarakani akikataliwa, kupingwa na kuongezewa vivyo sivyo kama Mama yetu wa leo.
Kwanini hali hii?
1. Mama kulinganishwa na Mwendazake
Mama kulinganishwa na Mwendazake na hapa ndipo hata baadhi ya wana-CCM wanapoungana na watanzania wengine kumuhukumu na kumuona hatoshi na wanaona ni bora 2025 watafute mgombea mwingine vinginevyo ni bora wachague mpinzani.
Kwanini Mwendazake anamgharimu?
Wakati wa Mwendazake, kuna kundi kubwa la watanzania waliamini wizi na ufisadi vilikuwa vimekomeshwa/ vimedhibitiwa jambo ambalo halikuwa kweli kwa asilimia 100.
Mwendazake alidhibiti vyombo vya habar, alidhibiti Bunge, mitandao na vyanzo vingine vya kupashana habari matokeo yske tuhuma za wizi na ufisadi Wakati wa Mwendazake havikupata nafasi.
Kingine ni Mwendazake kutumia media kuendesha propaganda za kumsifu na kumtukuza mambo ambayo sasa hayapo kwa kiwango kile na hivyo kuleta tofauti kubwa ya kimtazamo kati ya Mama na Mwendazake.
2. Kundi la Sukuma gang
Hili kundi ni kundi la watu wanaonekana kuwa na chuki dhidi ya huyu Mama na ndio wanachangia sana kuonyesha kuwa Mama hatoshi sababu tu hawampendi. Ni kama hawakuta Mama amridhi Mwendazake na hivyo kutumia madhaifu ya Mama kummaliza kisiasa mbele ya umma.
Na kama Mama angeshindwa kuendeleza miradi iliyoachwa na Mwendazake, basi hili kundi lingepata cha kusema na lingekuwa kinara katika kuwaongoza watu wamkatae Mama hiyo 2025.
Mama akijitahidi kukamilisha Miradi yote iliyoachwa na Mwendazake, basi atafanikiwa kwa kiasi kikubwa kupunguza nguvu za hili kundi mitandaoni na kwingineko
3. Madai kuwa Mzee wa Msoga ana influence katika uongozi wake
Madai haya ni moja ya mambo ambayo yanamgharimu sana Mama hasa ikizingatiwa Mzee wa Msoga anachukuliwa kama mtu alieacha rushwa na ufisadi vikatamalaki sana katika nchi hii.
Hivyo, madai kuwa Mama anafanya baahi ya mambo kwa influence ya Mzee wa Msoga, madai haya yanamgharimu sana kisiasa na 2025 atakuja kuona matokeo yake.
4. Madhaifu binafsi ya Mama
Madhaifu haya ni kama kukidhiri kwa tozo katika awamu yake, kauli za kuruhusu watu wale kulingana na urefu wa kamba zao, kushindwa kudhibiti mfumuko wa bei, kuhamisha wamasai kule Loliondo, safari za mara kwa mara nje ya nchi, kauli zake za majukwaani na mambo mengineyo.
5. Jinsia yake
Ukweli mwingine unatokana na mila na desturi zetu plus mtazamo potofu wa jumla kwa baadhi ya watu kuwa Mwanamke hafai kushika nafasi kama hio hivyo ni bora wakati ukifika, tumuweke mtu mwingine
6. Wanawake kutopendana
Madai kuwa wanawake huwa hawapendani, yanaweza kuchangia anguko la Mama na Wanawake wengi kwa sasa ni miongoni mwa watanzania wanaomuo Mama hatoshi.
Hivyo, kwa ujumla hayo ndio mambo yanayomgharimu Mama kwa sasa na ndio yatamgharimu vibaya sana 2025 na anaweza asipate hata asilimia 30 ya kura zote.
Ukitaka kuamini haya nayosema juu ya kukubalika au kutokubalika kwa Mama, fanya tu kautafiti kasiko rasimi kwa kuhoji tu watu mbalimbali utagundua wengi wanampinga na kutorodhishwa na uongozi wake wakiwemo hata watu wa chama chake.
Hivyo, wapinzani wakijipanga vizuri 2025 na tukawa na Tume Huru, basi uwezekano wa wapinzani kushinda uchaguzi ni mkubwa mno kuanzia kwenye uraisi mpaka ubunge.
SSH anaweza kuchukiwa kwa sababu ya jinsia yake lakini hana tofauti na JPM tena yeye anakwenda mbali zaidi kwa kuwa karibu na dunia nzima kwa ujumla.
Huku Dar wale wapangaji wa kwenye majengo ya Masaki na maeneo mengine wameshaanza kurudi maana yake upo mzunguko wa pesa kwa sasa.
Hao kina mama wa vijijini wenye nongwa za yule jamaa yao aliyekuwa akichanganya lugha majukwaani na wanamuelewa na kucheka wanajitafutia tu maumivu ya mioyo na kununa kusiko na sababu.
Ifike mahali tuache tabia mbaya ya kuwa tunawahujumu ma-Rais walioko madarakani kwa kudhani kuwa tumnamhujumu mtu kumbe tunaihujumu nchi!Tangu nianze kufuatilia siass za nchi hii, sijawahi ona kiongozi wa CCM alie madarakani akikataliwa, kupingwa na kuongezewa vivyo sivyo kama Mama yetu wa leo.
Kwanini hali hii?
1. Mama kulinganishwa na Mwendazake
Mama kulinganishwa na Mwendazake na hapa ndipo hata baadhi ya wana-CCM wanapoungana na watanzania wengine kumuhukumu na kumuona hatoshi na wanaona ni bora 2025 watafute mgombea mwingine vinginevyo ni bora wachague mpinzani.
Kwanini Mwendazake anamgharimu?
Wakati wa Mwendazake, kuna kundi kubwa la watanzania waliamini wizi na ufisadi vilikuwa vimekomeshwa/ vimedhibitiwa jambo ambalo halikuwa kweli kwa asilimia 100.
Mwendazake alidhibiti vyombo vya habar, alidhibiti Bunge, mitandao na vyanzo vingine vya kupashana habari matokeo yske tuhuma za wizi na ufisadi Wakati wa Mwendazake havikupata nafasi.
Kingine ni Mwendazake kutumia media kuendesha propaganda za kumsifu na kumtukuza mambo ambayo sasa hayapo kwa kiwango kile na hivyo kuleta tofauti kubwa ya kimtazamo kati ya Mama na Mwendazake.
2. Kundi la Sukuma gang
Hili kundi ni kundi la watu wanaonekana kuwa na chuki dhidi ya huyu Mama na ndio wanachangia sana kuonyesha kuwa Mama hatoshi sababu tu hawampendi. Ni kama hawakuta Mama amridhi Mwendazake na hivyo kutumia madhaifu ya Mama kummaliza kisiasa mbele ya umma.
Na kama Mama angeshindwa kuendeleza miradi iliyoachwa na Mwendazake, basi hili kundi lingepata cha kusema na lingekuwa kinara katika kuwaongoza watu wamkatae Mama hiyo 2025.
Mama akijitahidi kukamilisha Miradi yote iliyoachwa na Mwendazake, basi atafanikiwa kwa kiasi kikubwa kupunguza nguvu za hili kundi mitandaoni na kwingineko
3. Madai kuwa Mzee wa Msoga ana influence katika uongozi wake
Madai haya ni moja ya mambo ambayo yanamgharimu sana Mama hasa ikizingatiwa Mzee wa Msoga anachukuliwa kama mtu alieacha rushwa na ufisadi vikatamalaki sana katika nchi hii.
Hivyo, madai kuwa Mama anafanya baahi ya mambo kwa influence ya Mzee wa Msoga, madai haya yanamgharimu sana kisiasa na 2025 atakuja kuona matokeo yake.
4. Madhaifu binafsi ya Mama
Madhaifu haya ni kama kukidhiri kwa tozo katika awamu yake, kauli za kuruhusu watu wale kulingana na urefu wa kamba zao, kushindwa kudhibiti mfumuko wa bei, kuhamisha wamasai kule Loliondo, safari za mara kwa mara nje ya nchi, kauli zake za majukwaani na mambo mengineyo.
5. Jinsia yake
Ukweli mwingine unatokana na mila na desturi zetu plus mtazamo potofu wa jumla kwa baadhi ya watu kuwa Mwanamke hafai kushika nafasi kama hio hivyo ni bora wakati ukifika, tumuweke mtu mwingine
6. Wanawake kutopendana
Madai kuwa wanawake huwa hawapendani, yanaweza kuchangia anguko la Mama na Wanawake wengi kwa sasa ni miongoni mwa watanzania wanaomuo Mama hatoshi.
Hivyo, kwa ujumla hayo ndio mambo yanayomgharimu Mama kwa sasa na ndio yatamgharimu vibaya sana 2025 na anaweza asipate hata asilimia 30 ya kura zote.
Ukitaka kuamini haya nayosema juu ya kukubalika au kutokubalika kwa Mama, fanya tu kautafiti kasiko rasimi kwa kuhoji tu watu mbalimbali utagundua wengi wanampinga na kutorodhishwa na uongozi wake wakiwemo hata watu wa chama chake.
Hivyo, wapinzani wakijipanga vizuri 2025 na tukawa na Tume Huru, basi uwezekano wa wapinzani kushinda uchaguzi ni mkubwa mno kuanzia kwenye uraisi mpaka ubunge.
Nini kifanyike kwa mtizamo wako?Kwenye mazingira haya ya kisiasa, Katiba iliyopo, na Tume ya uchaguzi, sitashangaa kama akigombea akashinda, regardless ya hali ya kisiasa aliyonayo.
Kikwete 2010 ilikuwa almost hivi hivi, nchi iliongozwa kwa "auto pilot" muda mrefu, kila mtu kujichumia, akachokwa haswa, lakini tulipokwenda kwenye uchaguzi, akashinda, hata kama alishinda kwa wizi.
Alivyoanza mwanzo wenye jinsia na ya kwake walifurahi na kumpongeza ila sasa hali imebadilika tunasingizia tatizo jinsia.5. Jinsia yake.
Hili nalo ni kujitetea tu, Jinsia Wala ht Si tatizo.
Pale Ethiopia ni JINSIA hiyo hiyo, mbona Yeye hakukimbilia Seat ya dirishani???
Alionyesha msimamo wote tumemkubali...
Maneno ya madikteta kupumbaza wananchi wapumbavu kama nyie,
Kinachoongoza nchi yoyote duniani huwa ni Mifumo na si Mtu - tujisahihishe watanzania bado tuna muda wa kutosha.Mama anatosha mkifanya makosa mkampa nchi Wasukuma Kama Magufuli mtajuta!?
Kama hayo ndo mawazo Yako, Pana haja Gani kufanya uchaguzi Kwa kutumia billions of money???Amridhi = amrithi, kukidhiri = kukithiri. Nakukumbusha tu kwama Mama Samia ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM ndo kateua wafuatao na anaweza akawapiga chini pia wakimzingua;
1. Mwenyekiti wa tume ya taifa ya uchaguzi.
2. Mkurugenzi wa uchaguzi.
3. Wakurugenzi wa wilaya (DED) ambao ndo wasimamizi wakuu wa uchaguzi kwenye wilaya.
4. IGP
5. Mkuu wa majeshi
6. Kamishna wa takukuru.
7. Gavana
8. Mkuu wa usalama wa taifa
9. Mkuu wa jeshi la magereza
Jiulize mpinzani atapenya vipi kwa hiyo nguvu ya kikatiba aliyo nayo mwenyekiti wa CCM? Penda usipende mgombea wa CCM hata angekuwa Gigy Money kushinda ni lazima.
Kila awamu kuna wanaojuta na kuna wanaofurahi.Mama anatosha mkifanya makosa mkampa nchi Wasukuma Kama Magufuli mtajuta!?
Hakuna cha habari nyingine wala nini... CCM kushinda ni lazimaKama hayo ndo mawazo Yako, Pana haja Gani kufanya uchaguzi Kwa kutumia billions of money???
Kama unayosema ni Kweli, mbona Magu alikuwa anakata PUMZI, na kuweweseka muda wote wa kampeni.
Uchaguzi ni habari ingine, we isikie tu.