Rais Samia ana kitu cha ziada atafika mbali Sana

Pesa za malori 50 zinaajiri madokta wangapi? Zingeenda kwenye mafuta ya VX. Ma V8.
Mwizi aliyeiba mkate akamgawia mwenye njaa.

Wizi Ni wizi tu. Hakuna Cha kusaidia.
 
Uko sahihi, ila pitia hapa kidogo
 
Wizi Ni wizi tu. Hakuna Cha kusaidia.
Wizi ni wizi ndio lakini hata wewe yule mwajiriwa wako pale ofisini akikuibia fedha akalipia matibabu ya mama yake kwako wewe atabaki kuwa mwizi ila kwa mama yake ni shujaa.
 
Pesa za malori 50 zinaajiri madokta wangapi? Zingeenda kwenye mafuta ya VX. Ma V8.
Mwizi aliyeiba mkate akamgawia mwenye njaa.
Ubadhirifu na wizi vyote vinaliathiri Taifa.
Pesa yangu ya Tozo ukanunue Lori hujui uchungu ninaiosikia wakati nakatwa hiyo tozo.

Hayo Malori nitayaanika humu ili Wananchi wakayagawane wauze spea ili wajirejeshee tozo zao.
 
Mama bado nampenda ila nadhani ameshafeli kuwashughulikia wezi.

Majizi yanapora halafu yanamsifia kwenye mabango.

Akikasirika yanamualika futari.

Yarabi maulana tunusuru.
 
Ubadhirifu na wizi vyote vinaliathiri Taifa.
Pesa yangu ya Tozo ukanunue Lori hujui uchungu ninaisikia wakatu nakatwa hiyi tozo.

Hayo Malori nitayaanika humu ili Wananchi wakayagawane wauze spea ili wajirejeshee tozo zao.
Yap, Wewe utapata uchungu ila dereva aliyesota mtaani na sasa kakabidhiwa funguo atapata furaha.

Hili halimfanyi mwizi kuwa kafanya jambo jema kuiba isipokuwa wizi wake umepeleka matumaini kwa mtanzania mwingine tofauti na hizo pesa angenunua appartment dubai.
 
Yap, Wewe utapata uchungu ila dereva aliyesota mtaani na sasa kakabidhiwa funguo atapata furaha.

Japokuwa hii haimfanyi mwizi kuwa kafanya jambo jema kuiba.
Nabishana na Zezeta.
 
Nilikwambia toka Mwanzo kwamba Samia aliwahi sema kwamba hajawahi gombea Wala kunui jambo akashindwa katika maisha yake na ndivyo itakuwa.

Ngoja tuache mda uongee.
 
Huyu mama Yuko vizuri sana na nimpenda haki tofauti na viongozi wengi wapendwa sifa. Naunga mkono hoja mama tumpe nafasi tutaneemeka sana tuu
Mimi nachompendea ni Kiongozi,ukijua maana ya Kiongozi utaelewa na anajaribu kujenga Imani kwenye mifumo na watu aliowapa madaraka na sifa kubwa hajawahi fanya mambo Kwa mihemko Wala pressure ana utulivu mkubwa.
 
Leo ametangaza ajira Afisa Maendeleo ya jamii nafasi 800
 
Nilikwambia toka Mwanzo kwamba Samia aliwahi sema kwamba hajawahi gombea Wala kunui jambo akashindwa katika maisha yake na ndivyo itakuwa.

Ngoja tuache mda uongee.
Usisahau Enzi za Magu alikuwa akitangaza kila.mwaka ajira 50k na haikuwa kutumizwa. Kila siku uhakiki uhakiki mpaka anaaga dunia haikuwahi fika ajira hata 2k
 
Mungu aendelee kumbariki Mama yetu mpendwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…