Rais Samia ana kitu cha ziada atafika mbali Sana

Alikuwa akitangaza waziri wa ajira na uongo.
Lakini hazikuwa kufika hata 2000
Mama ana ajiri,ukiacha za Walimu na Manesi saizi Sektetariet ya Ajira Kuna Ajira Zaidi ya 1,200 za kada tofauti zimetangazwa Zikiwemo za maafisa maendelea ya jamii 800
 
Mwanzo mimi ni moja ya watu ambao sikuamini kwamba Rais wetu mpendwa atatuvusha katika utawala wake.

Lakini baada ya kuzitazama tawala zote 6 toka tupate uhuru pengine Rais Samia kwa mtazamo wangu ni Rais mwadilifu baada ya Hayati julius Nyerere.

Ndiye rais ambaye hana makelele na hotuba za kujitetea yupo direct ikiwa nyeusi atakwambia nyeusi.

Akisema ni usiku hauna haja ya kutoka nje kama kipindi cha Kikwete na Magufuli kuchungulia kama kweli jua haliwaki.

Mwanzo nilikuwa na mashaka kwenye kodi lakini kwa Sasa serikali ndio inakusanya kodi kuliko wakati wowote tena bila kutumia nguvu.

Nikawa na wasiwasi kwenye ajira Sasa naona kila mwaka ajira zinazidi kumwagwa tu hata kama watu wanalipa kodi wanajua watoto na ndugu zao watapata ajira.

Transparent kwenye serikali yake watu wanasema pesa zinapotea Sana ukweli report za CAG toka miaka ya 1961 hakuna report ambayo serikali ilikuwa safi na pengine tunaona pesa zimepotea Sana kwa sababu ya uwazi wa mama ndani ya serikali yake ila toka utawala wa Nyerere pesa uwa zinapotea.

Mama apewe mitano tena 2025-2030 ana kitu na tutafika mbali sina ninachomdai.

Inabidi pia uthibitishe kwamba hujalambishwa Asali
 
Hujazungumzia mikopo mikubwa ya mfululizo

Hili liko wazi!
Kwa hali ilivyo ni vizuri kuangalia Hali ya Uchumi ktk Nchi za Africa Mashariki na Kusini Mwa Africa.

Mama amejitahidi sana!!!

Tatizo liko kwa Baadhi ya Wizara kukosa kuelezea Dira kulingana na Uwekezaji Mkubwa unaoendelea..

Mfano:
Bwana la Mwalimu Nyerere likikamilika tunaambiwa kwamba Gharama ya Umeme kwa unit moja itashuka kutoka Tsh 300 mpk Tsh 36.

Hii ni Habari kubwa sana!
Wataalamu wazame ndani watuletee/Watuoneshe iyo Tanzania Mpya ndani ya iyo tofauti kubwa hivo ya Tarrifs za Umeme!

Hizo Trillions zitakazopona hapo kwa Mwaka Mmoja zitatuonesha kitu gani Kiuchumi!

Ni Makundi gani yanapaswa kujiandaa kuingia kwenye iyo opportunity!

Waoneshe Ninini kitatokea Year 1 Year2 mpk Year 25.

Rehabilitation?
Service?
Maintenance?

Evolution of next generation of such technologies...adoption process.

Halafu ni Wizara zipi zinapaswa kushiriki kimkakati ndani ya Maendeleo hayo!

Viwanda?
-Hapa tuangalie-Viwanda vya Wazalishaji wazawa kwa maana ya Ku tape pesa inayozunguka ndani ya Nchi...

Kilimo-Intergrated-Which Value.

Mfano jana tumesikia Plan ya Expansion ya uwezo wa NFRA kutoka Tons 500.000 kwenda 3M Tons-Hii ni Dira Nzuri lakini iwe practical.

Kwa Mfano:
NFRA inunue NAFAKA kwa bei ya juu kwa Wakulima waliofanikiwa kufikia YIELD ya Gunia 20-25 za Mahindi kwa Eka na siyo kutoa Ruzuku ya Mbolea...

Kutoa Ruzuku ya Mbolea siyo guarantee kwamba Mkulima atalima kitaalamu...kwa hivo pesa zinaweza kutumika isivyofaa au kupotea kwa uzembe wa Mkulima Mvivu-Licha ya kwamba amepewa Ruzuku.

Walau kwa Pilot area...kwanza!

Mambo mazuri kama hayo yakitenezwa na kuandikwa vizuri na Wananchi wakaelewa kwamba tunateseka tu kwa muda mfupi lakini Exit ya taabu yetu ni pale basi kila mtu atakuwa na Subira akiamini Heri ipo!

Lakini yote kwa yote Tuko na MH Rais ambaye anajua anakotupekeka!

Very Stable and resilient but above all-Focused!
 
Kwa hiyo pesa kupotea sana kwenye serikali yake nayo ni sifa?

Toka lini report za CAG hazijawahi kua transparent nchi hii hadi useme eti kisa uwazi kwenye serikali yake ndio maana tunaona pesa zinapotea?

Kwenye kodi, hivi kwa akili ya kawaida kabisa unawezaje kulinganisha kodi ya mwaka 2010 ama 2016 na 2022?

Samia hana sifa ya kua hata kiongozi wa nyumba 10.
 
Mwenye izo sifa anaongoza malaika mbinguni unaweza mfata.
 
Anaitwa nani? Mbinguni ni wapi?

Kuna mahala nimeandika natafta mtu kama huyo?

Wewe Binti achana na waume za watu humu. Tafta mwanaume wako peke yako, mke wangu ana wivu sana atakuua.
 
Mwanzo mimi ni moja ya watu ambao sikuamini kwamba Rais wetu mpendwa atatuvusha katika utawala wake.

Lakini baada ya kuzitazama tawala zote 6 toka tupate uhuru pengine Rais Samia kwa mtazamo wangu ni Rais mwadilifu baada ya Hayati julius Nyerere.

Ndiye rais ambaye hana makelele na hotuba za kujitetea yupo direct ikiwa nyeusi atakwambia nyeusi.

Akisema ni usiku hauna haja ya kutoka nje kama kipindi cha Kikwete na Magufuli kuchungulia kama kweli jua haliwaki.

Mwanzo nilikuwa na mashaka kwenye kodi lakini kwa Sasa serikali ndio inakusanya kodi kuliko wakati wowote tena bila kutumia nguvu.

Nikawa na wasiwasi kwenye ajira Sasa naona kila mwaka ajira zinazidi kumwagwa tu hata kama watu wanalipa kodi wanajua watoto na ndugu zao watapata ajira.

Transparent kwenye serikali yake watu wanasema pesa zinapotea Sana ukweli report za CAG toka miaka ya 1961 hakuna report ambayo serikali ilikuwa safi na pengine tunaona pesa zimepotea Sana kwa sababu ya uwazi wa mama ndani ya serikali yake ila toka utawala wa Nyerere pesa uwa zinapotea.

Mama apewe mitano tena 2025-2030 ana kitu na tutafika mbali sina ninachomdai.
transparency sio transparent
 
Mama ni mlezi na Mvumilivu kwa watu wake ndio maana watu serikali wanaiba bila kuwaza ata huruma kwa nchi. Mm nafikir ili mama kujitofautisha zaidi vzr na watangulizi wake akiwepo mzee Nyerere kwanza atuletee katiba ya wananchi maana kwa Katiba hii CCM hawajawai kushinda chaguz ili tupate serikal ya wananchi kama nchi zingine za kidemokrasia pia atunge sheria kali ya kuwawajibisha mafisadi ikiwa ni pamoja na kufilisiwa na kufungwa maisha maana nchi nyingi za Kiafrika zimekosa maendeleo kwa sababu ya ufisadi na kutokujali kwa watawala. Baada ya hapo tutajenga sanamu la mama kwa ajili ya vizaz vya baada kujifunza tawala bora kuwai kuwepo Tanzania. Ila mpka sasa tunashkaran kwa mapambano anayoendelea nayo kwa nchi yake Bongo...!
 
A word
 
Unaumia ukiwa oande zipi?
Kwa hiyo pesa kupotea sana kwenye serikali yake nayo ni sifa?

Toka lini report za CAG hazijawahi kua transparent nchi hii hadi useme eti kisa uwazi kwenye serikali yake ndio maana tunaona pesa zinapotea?

Kwenye kodi, hivi kwa akili ya kawaida kabisa unawezaje kulinganisha kodi ya mwaka 2010 ama 2016 na 2022?

Samia hana sifa ya kua hata kiongozi wa nyumba 10.
 
Hili liko wazi!
Kwa hali ilivyo ni vizuri kuangalia Hali ya Uchumi ktk Nchi za Africa Mashariki na Kusini Mwa Africa.

Mama amejitahidi sana!!!

Tatizo liko kwa Baadhi ya Wizara kukosa kuelezea Dira kulingana na Uwekezaji Mkubwa unaoendelea..

Mfano:
Bwana la Mwalimu Nyerere likikamilika tunaambiwa kwamba Gharama ya Umeme kwa unit moja itashuka kutoka Tsh 300 mpk Tsh 36.

Hii ni Habari kubwa sana!
Wataalamu wazame ndani watuletee/Watuoneshe iyo Tanzania Mpya ndani ya iyo tofauti kubwa hivo ya Tarrifs za Umeme!

Hizo Trillions zitakazopona hapo kwa Mwaka Mmoja zitatuonesha kitu gani Kiuchumi!

Ni Makundi gani yanapaswa kujiandaa kuingia kwenye iyo opportunity!

Waoneshe Ninini kitatokea Year 1 Year2 mpk Year 25.

Rehabilitation?
Service?
Maintenance?

Evolution of next generation of such technologies...adoption process.

Halafu ni Wizara zipi zinapaswa kushiriki kimkakati ndani ya Maendeleo hayo!

Viwanda?
-Hapa tuangalie-Viwanda vya Wazalishaji wazawa kwa maana ya Ku tape pesa inayozunguka ndani ya Nchi...

Kilimo-Intergrated-Which Value.

Mfano jana tumesikia Plan ya Expansion ya uwezo wa NFRA kutoka Tons 500.000 kwenda 3M Tons-Hii ni Dira Nzuri lakini iwe practical.

Kwa Mfano:
NFRA inunue NAFAKA kwa bei ya juu kwa Wakulima waliofanikiwa kufikia YIELD ya Gunia 20-25 za Mahindi kwa Eka na siyo kutoa Ruzuku ya Mbolea...

Kutoa Ruzuku ya Mbolea siyo guarantee kwamba Mkulima atalima kitaalamu...kwa hivo pesa zinaweza kutumika isivyofaa au kupotea kwa uzembe wa Mkulima Mvivu-Licha ya kwamba amepewa Ruzuku.

Walau kwa Pilot area...kwanza!

Mambo mazuri kama hayo yakitenezwa na kuandikwa vizuri na Wananchi wakaelewa kwamba tunateseka tu kwa muda mfupi lakini Exit ya taabu yetu ni pale basi kila mtu atakuwa na Subira akiamini Heri ipo!

Lakini yote kwa yote Tuko na MH Rais ambaye anajua anakotupekeka!

Very Stable and resilient but above all-Focused!
Unaamini hawa ccm kwamba umeme unaweza kushuka kutoka 300Tsh mpaka 36? 😅😅
 
Back
Top Bottom