Rais Samia anafanya makusudi tu

Mawazo ya Kijinga ndiyo yanayowaponza waafrika
Ardhi yenye Rutuba na Maji maengi halafu vyakula vinakia Bei juu. Hiví china wananunua chakula Gani kutoka Tanzania?
Huwezi kuwa na uchumi Mzuri kama Bei ya chakula IPO juu.
Watu wanatakiwa wawekeze kwenye kilimo Kwa wingi Ili chakula kiwe kingi kiuzwe Bei Rahisi SIO Bei KUBWA. Uzalishaji unatakiwa uwe juu SIO kuzalisha Kidogo Bei KUBWA ni Dalili ya uvivu.
Afrika tuna wapumbavu wengi na wanachagua watu wanaofanana na wao. Watu wajinga kamwe hawawezi kuchagua viongozi makini.
Wabunge wanajadili mambo ya kawaida sana. Suala la Ukame Wala halijaanza leo watu wanatoa mapovu Utafikiri ukame umeanza leo.Tangu enzi za Farao ukame Ulikua unatokea Duniani. Gaddafi alibadili Jangwa kuwa sehemu ya Kilimo na sehemu ya kijani. HUKU akiwa amezungukwa na nchi zenye watu Wa ajabu wasio na maono Wala huruma Kwa watu wao zaidi ya huruma Kwa Wanasiasa kulindana wasipoteze nafasi ZAO.

Kifupi watanzania tubadilike kwenye chaguzi kuanzia serikali za mitaa. Kuchagua wapumbavu iwe ni mwiko. Wanajulikana wasiofaa ni Bora kuwachapa viboko
 

Wataalam wa Kilimo akiwemo Waziri Bado hawajamshauri Raisi,Bado hawajaona Kama Kuna Tatizo
Wanasema Wacha Soko Huru,Yaani Demand &Supply itawale Soko,Wakulima wamekuwa wakilia Muda Mrefu kuhusu Bei,Kwahiyo wacha Wauze tuu Nchi Jirani![emoji12][emoji30]
Mambo ni Mazuri Huku Juu kwani Kuna Shida Nchini Ya Chakula???
Bado Haijafikia Hatua Ya Kufungulia Maghala,?Tuna Maghala na Chakula Cha Kutosha Maghalani Alisikika Kiongozi mmoja wa Mambo ya Kilimo akiwaambia wakuu wake na Ndio Msimamo wao?
 
Hujui hata kuandika.
Shut up
 
Nchi yetu inaendeshwa bila Vipaumbele. yani nchi gani inakua kama kilabu cha pombe.. yani kila Rais anayekuja anafanya anavyojisikia yy anaondoka..

Nchi haina mipango..haina maono. hovyooo
Hayo ni matokeo ya Katiba mbovu
 
Kwa taarifa yako hakuna mkulima mwenye Mahindi Mahindi yapo kwa matajiri me hii ni field yangu so naongea nikiwa na uhakika 100%
 
Nadhani JPM ALIKUA na Baraka Fulani Kwa wanyonge. JAPO kuna Mahali Nilikua sikubaliani Naye.
Lakini Kwa Miaka Mitano ya uongozi wake mvua zilinyesha za kutosha na Maji yalikua MENGI na vyakula vingi. Maono yake ya kuzuia chakula kutoka Nje yamelinusuru Taifa kuingia kwenye baa la njaa Kwa Miaka hii miwili mwaka Jana na mwaka huu. Kama SIO Akiba KUBWA ya chakula iliyokuwepo Hali ingekua mbaya sana.

Watu wanapaswa pia kukumbuka mazuri ya JPM. Sio kumponda Kwa sababu ya kuwabana majizi na wanafiki wanaoshiba kutokana na Rushwa za Siasa HUKU Taifa likiwa halina mipango ya muda mrefu.

Alikopa Lakini alisimamia Mikopo Kwa nguvu zote Bila kuwahurumia wezi waliojaribu kuiba fedha za umma.

Mama Inabidi awe mkali na asiste kuvunja baraza au kutengua Bila huruma.
 

jibu ni hilo la kwanza. ANADANGANYWA, HAAMBIWI UKWELI NA WA WATUMISHI WAKE.
 
Mchele kilo 20 huku Mbeya ni elfu sitini. I mean 60, 000/=
 
Inasikitisha sana, wiki iliyopita nilik
Wiki iliyopita nilikuwa wilaya za Kibondo na Kasulu nilishangaa kuona magari yenye namba za Rwanda, Kenya na Burundi kuwa vijijini kununua mazao ya chakula muhogo na maharage direct kutoka Kwa wakulima , kwa nini tunashindwa kulinda soko letu ?
 
Mkulima yupi anayefaidika na hii bei??...wakulima kila siku wanapanga foleni kununua unga Kwa mangi...Mangi kashanunua mazao Yao yote kipindi Yana bei ndogo...Sasa hivi anayefaidika ni Mangi ( mfanyabiashara)..Mkulima Hana hata kilo mbili za mazao aliyolima Kwa mikono yake
 
Tatizo mali za urithi kwa mswahili, mwenye upeo mdogo, siku zote ulaji wake unakuwa si wakistaarabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…