1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,201
- 9,529
Mawazo ya Kijinga ndiyo yanayowaponza waafrikaAcheni jamani hata wakulima waneemeke kwa Bei nzuri mmewanyonya Sana mda mrefu Kama vipi njoo na wewe uliame uone mziki wake. Acha wakulima wale mema ya nchi.we kaa mjini sisi huku kijijini Wala hatujui hayo mamigao yenu ya maji sababu mito imejaa mpaka mda mwingine tunaliwa na mamba na tunaona kawaida tu
Ardhi yenye Rutuba na Maji maengi halafu vyakula vinakia Bei juu. Hiví china wananunua chakula Gani kutoka Tanzania?
Huwezi kuwa na uchumi Mzuri kama Bei ya chakula IPO juu.
Watu wanatakiwa wawekeze kwenye kilimo Kwa wingi Ili chakula kiwe kingi kiuzwe Bei Rahisi SIO Bei KUBWA. Uzalishaji unatakiwa uwe juu SIO kuzalisha Kidogo Bei KUBWA ni Dalili ya uvivu.
Afrika tuna wapumbavu wengi na wanachagua watu wanaofanana na wao. Watu wajinga kamwe hawawezi kuchagua viongozi makini.
Wabunge wanajadili mambo ya kawaida sana. Suala la Ukame Wala halijaanza leo watu wanatoa mapovu Utafikiri ukame umeanza leo.Tangu enzi za Farao ukame Ulikua unatokea Duniani. Gaddafi alibadili Jangwa kuwa sehemu ya Kilimo na sehemu ya kijani. HUKU akiwa amezungukwa na nchi zenye watu Wa ajabu wasio na maono Wala huruma Kwa watu wao zaidi ya huruma Kwa Wanasiasa kulindana wasipoteze nafasi ZAO.
Kifupi watanzania tubadilike kwenye chaguzi kuanzia serikali za mitaa. Kuchagua wapumbavu iwe ni mwiko. Wanajulikana wasiofaa ni Bora kuwachapa viboko