abulaaliyah77
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,750
- 1,158
Muhimu ni deni liwe separated,kiasi kitakachokwenda zanzabar kijulikane ili kila upande uwajibike katika ulipaji wa deni Kwa kiasi ilichochukua,na sio deni loote liangukie upande mmoja wa jina la MKOPAJI itakuwa ni dhambi.
Katika uhalisia Tanzania bara (serikali ya JMT) ndo italipa hilo Deni, Zanzibar ina mamlaka yake ya mapato na TRA haihusiki na mapato ya Zanzibar, kifupi Zanzibar ni Kama parasite ndani ya muungano.Inakopa serikali ya JMT na wanufaika wanakuwa ni wananchi wa Tanzania Bara na Visiwani. Hali Kadhalika mlipaji atakuwa ni serikali hii hii ya JMT kupitia katika kodi na maduhuli mengine yaingiziayo serikali hii fedha.
Na mnatukomesha kwelikweli na hiki kiherehere chetuZanzibar hatukuomba hiyo mikopo, huo mgao ni sehemu tu ya kujipendekeza kwa serikali ya Tanzania kwa wazanzibar.
Mingu [emoji777]Iliyokopa ni Jamhuru ya Muungano. Siyo Tanganyika.
Mmeinyonya zanzibar kwa muda wa miaka mingu sana.
Inatakiwa na deni walipe kwa asilimia hyo hyo waliyochukuaHata hii trillion 7 wanayopigia kelele zanzibar itapata trillion 1.3 kwa hiyo yenye faida ni zanzibar ila watanganyika faida ni ndogo ukilinganisha na eneo na idadi ya watu!
Rais kwa kuwa ni Mzanzibar anatumia ho mwanya ila kwa vile watanganyika hatuwezi kuhoji na ukihoji unasakamwa kama Ndugai!
The level of reasoning is very low! Ni mda wa wazanzibar kutumia kivuli ya Watanganyika kujimemesha!
PAMOJA NA YOTE HAYA LAKINI MUUNGANO WETU UTAENDELEA KUWA IMARA NA MSHIKAMANO WETU UTAENDELEA KUWA MADHUBUTI ZAIDI KULIKO HAPO AWALI WALA HAKUNA NYOKO YOYOTE ATAKAYEUVUNJA MUUNGANO HUU ADHIMU.Ninyi watanganyika c mnajifanya kulazimisha huu muungano mtajua hamjui
Hakuna ubaya wowote tuache wivu Pemba ipo nyuma mno wacheni nayo inyanyuke na Zanzibar Kwa ujumla wake.Kama mada isemavyo tupo katika muungano wetu pendwa
Sasa Kama
BADEA BANK wataridhia huu mkopo basi wenzetu toka visiwan wenye idadi ya watu sawa na wilaya ya kinondoni watapata fungu lao la tilioni 2
Lakn Watanganyika wenye idadi ya ya watu milion 58 tutapata tilion 5
Huu muungano huu sijui tutampata nani wakutusemea
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Nature yao hiyo yakhe lakini ni ndugu zetu Hawa twende nao polepole.Zanzibar hata kulipa umeme wa TANESCO hawawezi sembuse mkopo huo wa mabilioni?
Hapo atakayetoboka kulipa huo mkopo ni mibwege ya Tanganyika
PAMOJA NA YOTE HAYA LAKINI MUUNGANO WETU UTAENDELEA KUWA IMARA NA MSHIKAMANO WETU UTAENDELEA KUWA MADHUBUTI ZAIDI KULIKO HAPO AWALI WALA HAKUNA NYOKO YOYOTE ATAKAYEUVUNJA MUUNGANO HUU ADHIMU.
Na kulipa Zanzibar nayo ilipe kwa uwiano uleule kama ilivyopata mgao.Inakopa Tanzania au Tanganyika?
Kama ni Tanzania basi Zanzibar ni sehemu ya Tanzania.
Zanzibar ni Parasite wa Tanganyika. Na katika hili, Nyerere atalaumiwa milele kwa kutuingizs Watanganyika kwenye huu mkenge. Bora angewaacha tu waendelee kutawaliwa na Sultan wao wa Oman.Zanzibar hata kulipa umeme wa TANESCO hawawezi sembuse mkopo huo wa mabilioni?
Hapo atakayetoboka kulipa huo mkopo ni mibwege ya Tanganyika
Inakopa Tanzania au Tanganyika?
Kama ni Tanzania basi Zanzibar ni sehemu ya Tanzania.
Tatizo mikopo inapolipwa inatolewa kama marejesho ya jumla kutoka kapu la Tanzania so zanzibar hawajibiki kikamirifu!Watakaolipa hiyo mikopo ni Watanzania wakiwemo wazanzibari hivyo usiogope.
Muda umefika tujue Tanganyika na Zanzibar zinachangia shs ngapi kwenye pato la Tanzania. Itasaidia sana kumaliza huu mjadala.Inakopa Tanzania, Zanzibar inapata mgao,je Deni linalipwaje?Walipa kodi wote wa Tanzania watalipa au wanaachiwa wa Tanganyika peke yao?
Hapa utawasikia WADANGANYIKA wakisema mama atawale mpaka 2030 hapo ndo unajua WATANGANYIKA hamnazo hapa nakuhakikishia atakopa awezavyo unajua hana madhara ila mwisho wa siku zanzibar itakuwa na hela nyingi sana huku mzigo unawalemea WATANZANIAhususani wa bara! Ndugai alihoji badala ya kutizama hoja wanataka aachie ngazi! Wenyeviti wa CCM wa mkoa wengi ni Mafisadi hawawatizami wananchi!Hapana, sbb nani analipa mkopo? Yaani kiuhalisi, Tanzania Bara inakopa, inalipa Tanzania Bara, haya mambo inabidi yasemwe vizuri.. Hata tozo tunazolipa, Zanzibar sidhani kama wao wanalipa, najua haipo.
Sbb ni kweli Tanzania Bara inakopa, na kulipa deni ni Tanzania Bara inalipa, deni la Taifa, Zanzibar haihusiki kulipa, sbb Zanzibar wao wanakusanya kodi yao na haihusiki huku Tanzania Bara, na Zanzibar hailipi deni la Taifa. Mimi nafikiri si sahihi Zanzibar kupewa sehemu ya mkopo, sbb kurejesha wao hawapo.
Mimi nilidhani, kama Zanzibar haihusiki kulipa deni la Taifa, pia haistahili kupewa sehemu ya mkopo wa Tanzania Bara. Sbb unapewaje % ya mkopo na ww hulipi huo mkopo?
Hii sio sawa. Kuna tatizo kubwa.
Muda utaongeaMazezeta ni sisi Tanganyika
Kuna waziri mmoja zezeta wa Tanganyika kaambiwa tangaza 21% ya ajira zipelekwe Zanzibar na ye katangaza