Rais Samia anajua akikopa asilimia 21 ya mkopo unaenda Zanzibar. Watanganyika wamelala usingizi

Mtoa mada acha upotoshaji, Zanzibar watapata dola za marekani mil.450 (Tzs.1T) out of Tzsh.7 Tilioni ..

Percentage wise ni 15% vs 85% sasakuna shida gani? Na kulipa ni hivyo hivyo.





 
Kuna mijitu ipo radhi ipofolewe jicho moja ili tu jirani yake apofolewe yote asione kabisa roho mbaya sana hii.
 
Zanzibar inahudumiwa na bara kwa kila kitu mpaka mishahara, ndiyo maana watu wake ni wavivu kupita kiasi
 
Karume aliwauza usiwalaumu wabara..
Kero zitarudi tu baada ya ungwe hii kuisha mrudie uamsho wenu.
 
Ni kweli kabisa, yaani maza ametuweka kiganjani.
 
Dah!!,Sawa mpemba,Sasa hivi Naona mna jeuri kweli,hadi mnatunyea vichwani.Offcourse ni zamu yenu kutesa.
 
Nafikiri inaenda kwa asilimia za mikoa as the primary level ya government. Sio issue
 
Taarifa ya mkopo wa
Watanganyika hawajawahi kuamka usingizini, walipewa uhuru kama pipi kutoka kwa muingereza, wakachomwa sindano ya nusu kaputi ya kijani na kulala kama wafu mpaka leo hii. Tuwaache waendelee kulala hivyo hivyo.
We ulipambana au ulisaidiwa na watanganyika chini ya mganda John Okello?
 
Taarifa ya mkopo wa magufuli mil 29.6 uliutoa wapi? Mnakuwa waongo sana nyie
Watanganyika hawajawahi kuamka usingizini, walipewa uhuru kama pipi kutoka kwa muingereza, wakachomwa sindano ya nusu kaputi ya kijani na kulala kama wafu mpaka leo hii. Tuwaache waendelee kulala hivyo hivyo.
We ulipambana au ulisaidiwa na watanganyika chini ya mganda John Okello
 
Tanganyika iko wapi? Mbona siioni kwenye Atlas au Google Maps?
 
Acha uchochezi usio na maana. Kwa kawaida naamini mtu kutoa mawazo huru. Ila kuna kama nyinyi mnaotumia mwanya huo kuchochea. Hukufanya utafiti wowote wa unayoyasema, wivu tu wa ki..nga! Kwani Zanzibar ni Burkina Faso siyo Tanzania? Ukitaka anza kuhoji muungano ubadilishwe, siyo vitu vya kipuuzi kama hivi ambavyo ni matokeo ya aina ya muungano uliopo.
 
Iliyokopa ni Jamhuru ya Muungano. Siyo Tanganyika.

Mmeinyonya zanzibar kwa muda wa miaka mingi sana.
Hebu fafanua huo unyonyaji.Maana km ni chakula tunawalisha,km ni rasilimali bara zipo full,Kielimu tunawabeba sana maana mmejaa kwenye vyuo vyetu km kumbimbuki lkn sisi huko wala hatuji kusoma,Ninyi ni Parasite.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…