tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
- Thread starter
- #201
Sasa wewe unashauri nini kifanyike mkuu? Tuendelee kukandamizwa hivi hivi au kuna jambo tunatakiwa kufanya 2025?Tanzania sio ya kuongelea nepotism, kuna ardhi kubwa mno hatujaigusa tangu tupate uhuru, kuna maelfu ya fursa bado hayajafanyiwa kazi.
Ukimsakama SSH atakuja Mpango kutoka Kigoma na serikali nzima itajaa waha watupu.
Atakuja Mwigulu kutoka Singida na serikali nzima itajaa jamaa wa kinyiramba na kinyaturu, haya ni matatizo ya kiafrika ya miaka yote yapo katika nchi zote za bara hili.