Rais Samia analazimisha kuizanzibarisha Tanganyika kwa nguvu

Rais Samia analazimisha kuizanzibarisha Tanganyika kwa nguvu

Tanzania sio ya kuongelea nepotism, kuna ardhi kubwa mno hatujaigusa tangu tupate uhuru, kuna maelfu ya fursa bado hayajafanyiwa kazi.

Ukimsakama SSH atakuja Mpango kutoka Kigoma na serikali nzima itajaa waha watupu.

Atakuja Mwigulu kutoka Singida na serikali nzima itajaa jamaa wa kinyiramba na kinyaturu, haya ni matatizo ya kiafrika ya miaka yote yapo katika nchi zote za bara hili.
Sasa wewe unashauri nini kifanyike mkuu? Tuendelee kukandamizwa hivi hivi au kuna jambo tunatakiwa kufanya 2025?
 
Sasa wewe unashauri nini kifanyike mkuu? Tuendelee kukandamizwa hivi hivi au kuna jambo tunatakiwa kufanya 2025?
Hakuna wa kukukandamiza sana sana unajikandamiza wewe mwenyewe kwa kuja na mawazo yenye chembe chembe za chuki ndani yake.
 
Bila mifano ha lisi huu ni umbea tu!
Hauhitaji mifano kwani kila kitu kipo wazi mkuu. Je, yule mpemba wa baraza la mitihani, Dr Said Mohamed, hujawahi kumuona au unajitoa ufahamu kwa makusaudi?
 
Back
Top Bottom