Rais Samia Analipeleka na kuliongoza Taifa katika Njia Sahihi na yenye kuleta Matumaini kwa Mamilioni ya Watanzania

Uzuri au ubaya nchi hii marais wote wamentoka ccm. Hebu panga top five yako hapa tujue nani ni bora na nani wa hovyo kuliko wote. Nakusubiri pale kwa mangi
Kila zama na kitabu chake.kila Masika na mbu wake. Changamoto zilizokuwepo wakati wa serikali ya awamu ya kwanza na kile serikali ilichokipigania na kupambana nacho ,siyo kinachopiganiwa na kuwa changamoto wakati huu wa serikali ya awamu ya sita. Kila Rais ametimiza wajibu wake kulingana na wakati wake na mahitaji ya wakati husika.
 
Mpango wa Elimu bure ni kazi ya Samia sio au anaendeleza mtangulizi wake alipofikia tamati?

Eti Samia ni mpango wa Mungu(yeah ni kweli,sasa rais yupi alikuwa mpango wa shetani?).

Anyway,kila la kheri katika kupigania ugali wako.Vipi lakini safari yake nyingine itakuwa nchi gani tena mkurugenzi
 
I know. But kadili ya huu uzi wako it seems like you have ranked Samia higher than her predecessors.
 
Rais wetu mpendwa alikuta Elimu bure mpaka kidato cha nne.lakini alipoona kuna watoto wanaotoka familia za kipato cha chini wanashindwa kuendelea na masomo kwa kukosa ada akaamua afute kabisa ada za kidato cha tano na sita ,pamoja na kuongeza bajeti ya Elimu ya juu ili wanafunzi wote wenye sifa waweze kupata mikopo ya elimu ya juu.
 
bro watu wamekalia majungu tu badala ya kufanya kazi wao wanawaza ujinga tu ukiwaambia ukweli wanasema chawa wape ukweli dawa iwaingie
 
bado hili wapo wahuni hawalion kuwa ni jema
 
bro watu wamekalia majungu tu badala ya kufanya kazi wao wanawaza ujinga tu ukiwaambia ukweli wanasema chawa wape ukweli dawa iwaingie
Nitaendelea kuwaelimisha mpaka waelewe tu na kuondoa upofu akilini mwao.
 
na kwakwli ndie mwana CCM, Rais pekee mwanamke Tanzania, ambae anakwenda kutimiza ndoto, matarajio na matamanio ya waTanzania kisiasa, kijamii na kiuchumi kwa uhakika na uwazi bila chenga mchana kwepeee πŸ’

God bless our very loved President, comrade Dr Samia Suluhu Hassan
 
Sawa kiongozi nimekupata sema nimeuliza swali la kizushi kuhusu safari yake nyingine ni wapi tena hili akarejeshe mahusiano yetu na mataifa mengine.Maana muda sasa toka safari ya France sijasikia safari tena.

#Mama yupo kazini
#Mama anafungua nchi
#Kazi iendelee

HOVYO KABISA!
 
Wewe upo Serikalini bila shaka unapata ka Salary + Kuiibia serikali , huku ukisifia Ujinga ili wasikusitukie na ikiwezekana wakupe mamlaka pia πŸ˜‚
 
Wala hakuna ubishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…