Rais Samia anaongelea matiti, tena ya Wanawake wenzake?

Yaani nimeshindwa kuangalia hiyo clip hadi mwisho, ni aibu
 
😂😂😂😂ila kweli we utamfananisha sura ya feitoto na gaucho aliechezea simba qeen
 
Watanzania hawa hawa wanaomiliki simu janja?, watarekodi na kusambaza tu tena wakiambiwa ndio kama watakuwa wamepewa sababu ya kusambaza. Mimi nadhani tuwe na fremu ya mambo ya kwenda kuongea na hotuba ibaki hapo hapo tusiwe na vyakuchomekea.
 
Rais anaongelea matiti tena ya wanawake wenzake?....
Ujinga huzagaa nyanja zote! Tangu usoni hadi marafiki wa ngono. Huyu hata mfanyeje mwanzo alikuwa failure wa form 4. Baadaye secretary au sextary, au yote mawili. what next Ikulu?
 
Vizuri sana. Anaweza pia kutoa ufafanuzi zaidi ili kuzuia watakaokuja kutumia vipande vya taarifa hiyo vibaya ili kubomoa dhana nzima iliyokuwa na maana.
 
Eti mabinti hawana matiti ukiwatambulisha kwenu utaulizwa huyu ni binti au mwanaume mwenzako !!!

Huyu Mama enu amewadhalilisha na kuwafedhehesha mabinti wa twiga stars.
 
Unaijua " mubashara " bwashee?
 
watanzania hawa hawa wanaomiliki simu janja?, watarekodi na kusambaza tu tena wakiambiwa ndio kama watakuwa wamepewa sababu ya kusambaza. Mimi nadhani tuwe na fremu ya mambo ya kwenda kuongea na hotuba ibaki hapo hapo tusiwe na vyakuchomekea.
safi sana mkuu umechangia jambo jema , mfano Rais akitaka kutoka nje ya hotuba asubiri yale ya msingi katika hotuba yaishe alafu aviruhusu vyombo vya habari vitoke nje ya ukumbi , then ndio aanze kuongea , hii hata katika ngazi ya familia sisi wazazi uwa tunafanya mfano kapo katoto hapo sebuleni unakaambia nenda nje kacheze na wenzako akitoka tu mnaanza kuteta yenu sasa.
 
watanzania hawa hawa wanaomiliki simu janja?, watarekodi na kusambaza tu tena wakiambiwa ndio kama watakuwa wamepewa sababu ya kusambaza. Mimi nadhani tuwe na fremu ya mambo ya kwenda kuongea na hotuba ibaki hapo hapo tusiwe na vyakuchomekea.
Mkuu habari zisizo nzuri huwa na tabia ya kuenea kwa kasi sana. Lakini dawa sio kuzizuia ni kuelezea mantiki ili watu wasitoke kwenye reli. Ni kama virus sasa unaweka antivirus kudetect na kuziua madhara zaidi baadaye.
Nakubaliana na wewe kuwa na frame na kuepuka kutumia hisia zaidi.
 
Huyo Mkurugenzi wa mawasiliano/Haniu atajuaje kuwa sasa hivi Rais atatoa Boko hadi aviambie vyombo vya habari kuweka foo? kwani huwa anakuwa akilini/mawazoni mwa rais?
Kama wewe sio mwanataaluma ya habari ni ngumu kufahamu ila naamini Jafari yeye amenielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…