Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂ila kweli we utamfananisha sura ya feitoto na gaucho aliechezea simba qeenHabari kuu usiku wa leo
Kitendo Cha Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kusema kuwa wanawake wachezaji wa soka wanakuwa na vifua tambalale na sura ngumu na kutovutia kuolewa zimezua minong'ono ya kutaka aombe msamaha kwa kuwadhlilisha wanawake hasusani wachezaji wa soka BBC imeandika
Jana wakati Rais akiwapokea wachezaji wa soka Ikulu alizua gumzo ya nini huwa anapanga Kama alidhamilia kuongea au ulimi uliteleza kwa kuwa yeye ni mwanamke hakupaswa kuongea vile tena kwenye sherehe ya wacheza soka wanaume tu.
My take .
Naona BBC nao wameanza Vita na rais wetu Kama walivyokuwa na Magufuli hii inaprove wrong wale waliosema kuwa BBC hasa idhaa ya Kiswahili imejaa mashekhe hivyo hawatamuandama mama.
USSRView attachment 1905388
View attachment 1905561
Ujinga huzagaa nyanja zote! Tangu usoni hadi marafiki wa ngono. Huyu hata mfanyeje mwanzo alikuwa failure wa form 4. Baadaye secretary au sextary, au yote mawili. what next Ikulu?Rais anaongelea matiti tena ya wanawake wenzake?....
Suala la kukataa kiti na kipaza sauti si la kishirikina.Kwa mfano ile ya askofu Gwajima ku!kataa kiti na mic haikupaswa kupelekwa kwa public.
Inaonyesha taswira ya ushirikina kwenye muhimili!
Huyo Mkurugenzi wa mawasiliano/Haniu atajuaje kuwa sasa hivi Rais atatoa Boko hadi aviambie vyombo vya habari kuweka foo? kwani huwa anakuwa akilini/mawazoni mwa rais?kama ni live ni swala la kukiambia kituo cha TV hapo weka "off records"
Ni la nini?Suala la kukataa kiti na kipaza sauti si la kishirikina.
La kikabilaNi la nini?
Unaijua " mubashara " bwashee?katika mambo anayoongea Rais sio kila jambo lazima liende kwa wananchi kuna mengine personal advice ambayo yanaweza kulenga sana maisha ya watu ,mtu au kitu fulani , sasa Rais anapoongea na Umma kupitia vyombo vya habari, jitahidi sana kuchuja kipi kiende kwa jamii na kipi ni cha ndani tu. [emoji1752][emoji1752][emoji1752][emoji1548]
safi sana mkuu umechangia jambo jema , mfano Rais akitaka kutoka nje ya hotuba asubiri yale ya msingi katika hotuba yaishe alafu aviruhusu vyombo vya habari vitoke nje ya ukumbi , then ndio aanze kuongea , hii hata katika ngazi ya familia sisi wazazi uwa tunafanya mfano kapo katoto hapo sebuleni unakaambia nenda nje kacheze na wenzako akitoka tu mnaanza kuteta yenu sasa.watanzania hawa hawa wanaomiliki simu janja?, watarekodi na kusambaza tu tena wakiambiwa ndio kama watakuwa wamepewa sababu ya kusambaza. Mimi nadhani tuwe na fremu ya mambo ya kwenda kuongea na hotuba ibaki hapo hapo tusiwe na vyakuchomekea.
Sitta aliwahi sema alionekana mtu mwenye upara akiwanga Bungeni,akimaanisha mzee wa vijisenti.Kwa mfano ile ya askofu Gwajima ku!kataa kiti na mic haikupaswa kupelekwa kwa public.
Inaonyesha taswira ya ushirikina kwenye muhimili!
well said mkuuKwa mfano ile ya askofu Gwajima ku!kataa kiti na mic haikupaswa kupelekwa kwa public.
Inaonyesha taswira ya ushirikina kwenye muhimili!
Kwa mfano ile ya askofu Gwajima ku!kataa kiti na mic haikupaswa kupelekwa kwa public.
Inaonyesha taswira ya ushirikina kwenye muhimili!
Mkuu habari zisizo nzuri huwa na tabia ya kuenea kwa kasi sana. Lakini dawa sio kuzizuia ni kuelezea mantiki ili watu wasitoke kwenye reli. Ni kama virus sasa unaweka antivirus kudetect na kuziua madhara zaidi baadaye.watanzania hawa hawa wanaomiliki simu janja?, watarekodi na kusambaza tu tena wakiambiwa ndio kama watakuwa wamepewa sababu ya kusambaza. Mimi nadhani tuwe na fremu ya mambo ya kwenda kuongea na hotuba ibaki hapo hapo tusiwe na vyakuchomekea.
Kama wewe sio mwanataaluma ya habari ni ngumu kufahamu ila naamini Jafari yeye amenielewaHuyo Mkurugenzi wa mawasiliano/Haniu atajuaje kuwa sasa hivi Rais atatoa Boko hadi aviambie vyombo vya habari kuweka foo? kwani huwa anakuwa akilini/mawazoni mwa rais?