Rais Samia anaongelea matiti, tena ya Wanawake wenzake?

Kaharibu alipozungumzia ‘matiti’.

Ni kama body shaming hususan ukizingatia [and I don’t mean any disrespect here] yeye alivyo [well endowed].

Kwa kiongozi kama yeye kuzungumzia appearance za watu wengine ni jambo linalohitaji umakini sana katika kuchagua maneno ya kuyatumia.
 
Eti mabinti hawana matiti ukiwatambulisha kwenu utaulizwa huyu ni binti au mwanaume mwenzako !!!

Huyu Mama enu amewadhalilisha na kuwafedhehesha mabinti wa twiga stars.
Kwani kaongea uongo ushawaona hawa wadada
 
Mnataka wafiche nini?Si wanapenda live ?Acha waachie tu ili Samia aendelee kujipambanua.
 
Ukweli unauma niliwaona mburahati queens pale kwa DEO hakika hawana mvuto ni kama magume gume
 
Hivi ni kwanini waTanzania tunapenda kujinyima Uhuru? Acheni kila kitu kiwe wazi. Itafaa kila kitu kitakachosemwa na rais wetu tukielewe ili tumuelewe vyema na tujue tuna rais namna gani. Suala la Gwajima na vipaza sauti siyobla kishirika. (Ref. Dr. Mwankyembe)

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo unataka kuficha udhaifu wa mh rais sio? Basi sawa lakini tayari watanzania walishabaini mapema kwa hiyo haitasaidia chochote kile
 
Rais anaongelea matiti tena ya wanawake wenzake?

This is beyond shameful, beyond embarrassing, and downright beyond the pale. Cringeworthy.

I’m at a loss for words!

View attachment 1905556
To understand what our President is saying, you need to contextualize what she is saying in its totality, siyo kuangalia au kusikiliza hilo la matiti na vifua flat tu!
 
Mkurugenzi wa Mawasiliano anatakiwa kutoa ufafanuzi au kufanya spinning mambo kama haya yanapotokea. Mkurugenzi makini alitakiwa kujua kuwa hili ni tatizo mara tu Mheshimiwa alipozungumza. Alipaswa kuwahi mapema kuwahakikishia wananchi kuwa Mheshimiwa Rais anawapenda wachezaji wote na haikuwa nia yake kuwa simanga wacheza mpira wa kike. Kwamba ule ulikuwa ni utani tu na ulitokana na upendo wake na furaha aliyopata kutokana na mafanikio yao. Angefanya hivyo hivyo baada ya yale mazungumzo na mtu wa BBC. Kazi yake sio tu kuandika press releases ( ambazo na zenyewe zina typos za kutosha) kuhusu uteuzi, safari za mheshimiwa n.k. Ni kazi ngumu sana na inahitaji mtu makini. Ubabe hausaidii katika hii dunia ya twita, You Tube n.k

Amandla...
 
Kwa mfano ile ya askofu Gwajima ku!kataa kiti na mic haikupaswa kupelekwa kwa public.

Inaonyesha taswira ya ushirikina kwenye muhimili!
Ni swala la Kiusalama. Hata Maraisi wengi hufanya Hivyo. Kumbuka Kim Jo alivyokutana na Trump alikataa kalamu aliyoandaliwa
 
Halafu hapo alipokuwa anazungumza kuna watu walimpigia makofi!!

Maajabu!!
Wajameni si ndio wanamwabudu, vilevile kama ilivyokuwa kwa Mwendazake.
Ili mikono yao iweze kwenda na kufika kinywani. Ili na wale wanaomtegemea yeye nao wawe wanaweza kuendaenda maliwato.
Kwa wenye njaa zao walizozidekeza zikawa endelevu......ndio mnyororo wa thamani.......mweeeee......
 
Dah!

Kama kweli kaongea sina la ku comment kazi iendelee
 
Ni swala la Kiusalama. Hata Maraisi wengi hufanya Hivyo. Kumbuka Kim Jo alivyokutana na Trump alikataa kalamu aliyoandaliwa
Gwajima nani ahangaike kutumia njia complicated namna hiyo kumdhuru wakati kuna wanawake wengi wazuri wanaoweza kutumika kumwangamiza within a minute? Anavyopenda wanawake huyu hata itachukuwa wiki kabla hujampata?
 
Mambo mengine yanatamkwa kama fine jokes. We can't be seroius kwamba kila kitu kinachotamkwa, we can't let it go!. Simple minds discuss people!

Kukaa tunaviziavizia matamshi na kuanza kuyakuza, ni kukosa kazi na idea za kujadili kama watu wenye akili zenye upeo wa juu
I hate this right from the bottom of my heart!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…