Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
Yaani Raisi Samia anadhani mumewe alichoona hapo kwake ni hilo titi tu?Tanzania's President criticized for calling soccer women 'flat-chests'
Tanzania's President Samia Suluhu Hassan has come under fire for remarks about women footballers having "flat-chests" and suggesting they would not be attractive candidates for marriage.
Wanapenda kuwa hivyo. Miaka kama 6 hivi iliyopita wakati wa kombe la dunia kwa wanawake wachezaji mabinti wa Brazil kama sikosei au marekani waliambiwa na kiongozi wao wajiweke ktk mwonekana wa wanawake si wanaume. Hata hapa Mkwasa aliwahi kuwaambia akiwa kocha wao waachane na mapanki na kutembea mithili ya vidume.Nimemsikiliza Mama ila kaonge ukweli,hawa madada wanasura Ngumu sajapata kuona sasa wanaitaji wapate Pesa kupitia mpira walau wanaweza kuja kujimudu wenyewe baada ya kustafu Mpira au wanaweza kutapa wanaume kupitia Pesa zao .
KabisaMama yuko sahihi tyuuu mbona wadada wa nchi nyingine ni wa Cutee.....
sema bongo mademu woote wacheza soka wana suraa ngumu sana
#Hata hawashawisiii aiseeeee#
Aliongea kama mwanadamu mwingine yoyote ambavyo angeweza kuongea. Hayati Magufuli aliongelea matiti kuhusiana na uvaaji wa mask sidhani kama wewe mleta mada kama ulikumbuka kuanzisha uzi kama huu!.Rais anaongelea matiti tena ya wanawake wenzake?
This is beyond shameful, beyond embarrassing, and downright beyond the pale. Cringeworthy...
Madam hajasema sura kasema wanajiweka Kama wanaumeSamahani kusema "HUNA AKILI". Hao mabinti wa vitu ambavyo anayewabeza hana . And that's talent
Mambo ya sura kama kichwani kutupu faida gani ?!
Yeye anatambua rais mmoja tu duniani, kule uhamishoni aliko. Hamna kabisa chembe ya heshima kwa viongozi wote wa Tanzania.Nadhani Nyani Ngabu amekusikia na sukuma gang wenzie!
Angalia duniani pote watu wanaangalia uta deliver nini na si how you're .
Labda tujue maana ya kudhalilisha hapa kisha tulitazame kwa mapana zaidi. Kwamba unaweza kusema chochote, popote mradi tu ni ukweli? Inatia shaka kidogo.Kweli..? Ndo Kasema hivyo.!! ..Ila kama yupo Sahihi wengi nikiwacheki hao Mabinti Wanafanana na hiyo description ya Mama.....! Kawadhalilishaje Sasa?
Hawa si unaona ni mademu kabisaView attachment 1905524
..wengine hawa hapa vifua flet lakini wanashinda medali.
..tena hawa ni matajiri wakubwa ktk nchi zao.
..Maza aache ushamba.
Samahani mkuu picha hii ya mwisho ni Mwanamke
Don't underestimate your Enemies. Ukiishi Kwenye hii kauli Utakuwa Makini muda woteGwajima nani ahangaike kutumia njia complicated namna hiyo kumdhuru wakati kuna wanawake wengi wazuri wanaoweza kutumika kumwangamiza within a minute? Anavyopenda wanawake huyu hata itachukuwa wiki kabla hujampata?
Ni swala la Hormone sometimes. Hata Huku mtaani wapo Huwezi mlazimisha Afanye unayotaka ww. Sometimes Tuangalie hili swala kimaumbile na Kisayansi si Kihisia pekeeWanapenda kuwa hivyo. Miaka kama 6 hivi iliyopita wakati wa kombe la dunia kwa wanawake wachezaji mabinti wa Brazil kama sikosei au marekani waliambiwa na kiongozi wao wajiweke ktk mwonekana wa wanawake si wanaume. Hata hapa Mkwasa aliwahi kuwaambia akiwa kocha wao waachane na mapanki na kutembea mithili ya vidume.