Rais Samia anaongelea matiti, tena ya Wanawake wenzake?

We utafurahi kuona dada yako ni msimbe anadanga tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda aliwaongelea wachezaji wa timu ya wanawake ya Utopolo. Maana ndio wapo hivyo.

Mbona timu zingine zina vifaa vyenye mvuto na wanafaa kuchumbia
 
Anaongoza Nchi Kihisia. Hapa Tulipigwa aisee. Maana Mambo ya Kuongea na Binti zake chumbani na Faragha yeye anaongea Public like if anawafunda Wanawake.
 
Mbona sasa simple solution ni hao wanawake kutokucheza mpira wa miguu! Netball vipi, na vile vi-jezi vyao?
 
Anaongoza Nchi Kihisia. Hapa Tulipigwa aisee. Maana Mambo ya Kuongea na Binti zake chumbani na Faragha yeye anaongea Public like if anawafunda Wanawake.
Siyo tulipigwa tu, ni kama tuliuziwa mbuzi kwenye gunia.

Baada ya Mwendazake kuondoka ndiyo sasa tunagundua, alaaaa, kumbe humu ndani ya gunia hamna mbuzi, ni manyoya tu
 
JPM alikuwa savi hasa akifika kwa totozi anasfia kwelikweli , hivyo na wanawake wanafurahi.. sasa shida ya akina mama ameone flat wengi kifuani ni wale wanaopendwa sana kaamua kuwakandya ili aonekane yeye ni mrembo licha ya uzee wake
Muda unavyosonga ndipo tunavyozidi kumfahamu vizuri.
 
Huyu raisi nilijua labda kwasababu hana akili za darasani atakuwa na akili za maisha. Hamna kitu kabisa.
Hawa wanawake wanashida gani? Anataka wawe na maziwa makubwa kama yake yanayosambaa utafikiri papa? Mfyuuu
Yaani hii ni backward way of thinking sana tena sana. Kwamba mwanamke asipoolewa hawezi kuwa na maisha mazuri?
Kwamba yeye asingeolewa hata kama ameshika nyadhifa kubwa nchini angekuwa sawa na bure? Kama asingekuwa na mvuto kwa wanaume angekuwa useless?
 
Usidhani watu hawana akili, au hawana kazi ya kufanya. Ni matamshi na maamuzi ya kukera, yanayo kwenda kinyume na sheria, yasiyo na tija kwa wananchi yalioibua hali ya watu kutega sikio kujua leo lipo lipi. Neno lolote toka kwao kiongozi huwa na uzito.
 
Kabla ya kumuhukum raisi Samia tuangalie context yake na motive kubwa iliyokuwa ndan ya roho yake.

Binafs mm naona motive yake, alilenga jamii iwatambue kwa mchango mkubwa wanao utoa kwa nchi yetu. Kwa maisha yao mbelen

Mbona ata magufuri aliwah kuwasifia wanawake weupe? Ina maana aliwaponda weusi? Mbona jaman huyu Mama mambo mengine tunayachokonoa lakin hayana ubaya wowote?

Mfano, mmewaona wapiga ngum Dula na kidugu siku ya pambano na hata kabala ya pambano kwenye matangazo, hawa jamaaa wanakunja miuso mpaka ukiwatazama utafikiria ni Goliati wa kale.

Akitokea mdada akasema mm siwez kuolewa na Hawa jamaa maana wanakunja uso mpaka unaogopa atakuwa amekosea?

Bora tumlalamikie kwenye matozo na siasa. Mambo mengine jaman nimadogo ndugu zangu.
 
Nyie ndo wale mliokuwa mnamlamba mwendazake miguu. Kumbavu!!!
 
Huyo uliyemjibu anaonekana ni "pick me".
 
Its important to tell SSH that Tanzania does not belong to those who vilify others. She got the position by chance because JPM had no choice but to choose someone from Zanzibar. She should watch her language, this is too low for a president.

 
Mie nakumbuka moja kuwa baada ya mpira uwanjani kuna maisha mengine hivyo wabaki kwenye uhalisia wakuwa wanawake!
 
Mfundisheni rais wenu kuwa sio kila kitu ni chakuongea in public. Hata kama anaona anachoongea kinaweza kuwa na maana fulani lakini aangalie muda na mahali anapoongelea.

Ngoja feminists wamtafune kwanza.
Kwani malelist nao wanasemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…