Rais Samia anaongelea matiti, tena ya Wanawake wenzake?

Rais Samia anaongelea matiti, tena ya Wanawake wenzake?

Ni kweli kabisa alisema hayo maneno. Akiwa kama kiongozi wa nchi, tena Mwanamke hakupaswa kabisa kutamka hayo maneno dhidi ya Wanawake wenzake tena mbele ya vijana wa Kiume.

Kauli tata za viongozi huwa zinaleta ukakasi sana hasa kwa Wazungu. Kumbukeni yule Kiongozi wa Olympic kule Japan alivyoshambuliwa mpaka akajiuzulu baada ya kusema "wanawake wana ongea sana".

Kwa maneno hayo hata kama yalikuwa na ukweli lakini yalichukuliwa kuwa ni dharau kwa wanawake.

Sasa Madam SSH naye amesikika akisema, "wachezaji wanawake wanasura ngumu sana, ukimpeleka nyumbani Bi mkubwa atakushangaa na kukuuliza huyu ni mwanaume mwenzio au mwanamke"?

Ki ukweli Madam alikosea sana kusema hivyo. Naamini ataomba radhi maana Wazungu watamshikia bango mbaya. Ingekuwa ni nchi za wenzetu angeshajiuzulu.

Tutarajie FIFA womens org kutoa tamko kali sana kulaani matamshi ya Madam President SSH.

Swali la kujiuliza, hakuna watu wa kumwandikia hotuba Rais Samia?????
Wakati Rais Museveni akiwalipa mishahara wanamichezo wanaoiletea medali nchi, nchi nyingine wachezaji wanakashfiwa! Kazi tunayo. Ila huenda ikatusaidia 2025 kufanya decisions.
 
na hasa kwenu wanawake msipokaa nao chonjo hao wanaojifanya majike dume, watakubananisheni hata kune kona ya ukuta wakutwangeni msago vilivyo maana nao hawarembeshagi kwa warembowarembo.
[emoji23][emoji23][emoji23]ndio zao kukoboana hawa wachezaji Wana homa za kiume hata kupata boyfriend ni ngumu, wamekomaa sana hawa, nyonyo tu hawana bana
 
Kwenye hiyo timu hakuna mke wa mtu hata mmoja mwenye ndoa ya ke angalau wawili kwa me moja?
Ni ngumu wanawake Wana vifua flani hawana nyama sasa mwanaume akimgusa hapati hisia kuwa yuko na k, anahisi dume mwenziwe
 
Wangesema wanaume ungesikia wale wanaharati uchwara kwamba wamezalilishwa Sasa katamka mwanamke tena mwenye nafasi kubwa tu ngoja feminist waje na povu
 
Habari kuu usiku wa leo

Kitendo Cha rais wa Tanzania Samia suluhu Hassan kusema kuwa wanawake wachezaji wa soka wanakuwa na vifua tambalale na sura ngumu na kutovutia kuolewa zimezua minong'ono ya kutaka aombe msamaha kwa kuwadhlilisha wanawake hasusani wachezaji wa soka BBC imeandika

Jana wakati rais akiwapokea wachezaji wa soka ikulu alizua gumzo ya nini huwaanapanga Kama alidhamilia kuongea au ulimi uliteleza kwa kuwa yeye ni mwanamke hakupaswa kuongea vile tena kwenye sherehe ya wacheza soka wanaume tu.

My take .
naona BBC nao wameanza Vita na rais wetu Kama walivyokuwa na magufuli hii inaprove wrong wale waliosema kuwa BBC hasa idhaa ya kiswahili imejaa mashekhe hivyo hawatamuandama mama.

USSRView attachment 1905388
Uhuru wa vyombo vya habari unaweza ukaturnish image yako in a second!
 
1629763368858.png


..kama tunataka kushinda medali na sisi tutafute wanariadha kina dada kama hawa.
 
Back
Top Bottom