Rais Samia anaongelea matiti, tena ya Wanawake wenzake?

Rais Samia anaongelea matiti, tena ya Wanawake wenzake?

Habari kuu usiku wa leo

Kitendo Cha Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kusema kuwa wanawake wachezaji wa soka wanakuwa na vifua tambalale na sura ngumu na kutovutia kuolewa zimezua minong'ono ya kutaka aombe msamaha kwa kuwadhlilisha wanawake hasusani wachezaji wa soka BBC imeandika

Jana wakati Rais akiwapokea wachezaji wa soka Ikulu alizua gumzo ya nini huwa anapanga Kama alidhamilia kuongea au ulimi uliteleza kwa kuwa yeye ni mwanamke hakupaswa kuongea vile tena kwenye sherehe ya wacheza soka wanaume tu.

My take .
Naona BBC nao wameanza Vita na rais wetu Kama walivyokuwa na Magufuli hii inaprove wrong wale waliosema kuwa BBC hasa idhaa ya Kiswahili imejaa mashekhe hivyo hawatamuandama mama.

USSRView attachment 1905388
View attachment 1905561
Vipi huyo Rais wa tozo hajaenda Zambia?
 
Urais ni taasisi na ndiomaana kila kitu anatakiwa kuandikiwa na kile kilichoandikwa kinapitiwa na watu wenye akili sio vilaza, mfano jiwe alikua anajifanya jiniasi hasomi alivyoandikiwa matokeo yake sasa duh, mara mama samia nimmwehupe mara sijui bakini na mavi yenu nyumbani, Rais anachotamka anatakiwa awe makini sana hata kama ni utani ndiomaana akitoa matamshi ni amri, Haniu hana cha kufanya na kwa hilo mnataka kumuonea sasa yeye atajuaje mama kama ndio anataka kutoa uharo sasa, kuna kitu kinaitwa presidency lazima iwe ndio quality namba moja ya Mkuu yoyote wa nchi.
 
Upo sawa hilo jambo nililisemea wakati alipoeenda kutemmbelea ospitali kwenye kile chumba cha wagonjwa wenye matatiso ya kupumua alisikika akisea.....Nyie tokeni uko...yaani kama yupo sokoni kivile alivyotamka.
Na kuna vyombo hivi vya mitaani hujidai kursha live nao wamo.

Ngoja nitazungumza na mtendaji mkuu ya kwamba hakuna kurusha habari au mazungumzo yoyote ya Raisi wetu wa Tanzania ambae ni Mzanzibari mkaazi ,na vyombo hivi vinavyojipa majukumu ya kurusha laivu mambo ya viongozi yawekewe mstari .sio raisi anakwenda kutembelea kiwanda wao wameshafika kitambo ,kuna local visit na official sasa local inawezekana Raisi anapita mitaani akatamani kuzungumza na wananchi au anatangaza kuwatembelea siku na tarehe fulani ,hapa itakuwa marufuku kurusha habari laivi ambazo hazijafanyiwa uhakiki na official ni yale mambo makuu ambayo hotuba zinakuwa zimekwisha andaliwa hapa na warushe dunia nzima.
Vuzri kwa Raisi wetu wala hayamshughulish yawe lokali au ofisho ,mtajijuh..!
 
Sielewi tatizo la rais huyu ni nini? Ni kweli hajitambui kiasi hiki, au ana matatizo ya kudumu kichwani? Z'bar munatuletea shida! Ni kweli hatuwezi kupata watu wa maana toka Z'bar? CCM munatuletea shida! Ni kweli isingewezekana kupata mtu wa maana toka Z'bar?
HIzi ni tabia za kishenzi tu!
 
Upo sawa lakini Jambo likiwa moja kwa moja je, huyo mtu atajuaje kua hapa kunamlipuko?
Any way kwani huyo Mama yeye hana washauri ili kabla ya kuongea watoe wosia kwake kama ilivyo Urais ni Taasisi.
 
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais ,Ikulu Jafari Haniu naamini wewe ni mwandishi wa habari na umefanya kazi katika vyombo mbalimbali vya habari, katika tasnia ya habari kuna kitu kinaitwa "Off Records" katika mambo anayoongea Rais sio kila jambo lazima liende kwa wananchi kuna mengine personal advice ambayo yanaweza kulenga sana maisha ya watu ,mtu au kitu fulani , sasa Rais anapoongea na Umma kupitia vyombo vya habari, jitahidi sana kuchuja kipi kiende kwa jamii na kipi ni cha ndani tu.

Hii inafanywa hivi kwa lengo la kuzuia negatives perception za watu , kama ni live ni swala la kukiambia kituo cha TV hapo weka "off records" kama ni recorded basi waambie kuwa maneno fulani na fulani hayo ni off records msiyatumie popote , nasema kwasababu hivi karibuni Rais alitoa ushauri kuhusiana na muonekano wa wadada wa timu ya mpira wa miguu "Taifa Quenss" kwa jinsi wanavyoonekana na nini future ya maisha yao wakimaliza kucheza mpira.

Maneno hayo yameleta sintofahamu nyingi sana , ikidaiwa kuwa wadada hao wamedharirishwa kijinsia , imefikia hatua mpaka vyombo mbalimbali vya habari vikilaumu juu ya maneno hayo japo ushauri wa Rais ulikuwa mzuri sana lakini mahali na njia iliyotumika kushauri ilikuwa open sana kiasi kwamba jamii nyingine imechukulia negative.

Hivyo Jafari kontrol media kipi kitoke na kipi kisitoke , kauli au maneno ya Rais yananguvu sana na kufuatiliwa na ulimwengu mzima na utajua hivyo pindi Rais akiongea jambo kushangaza.

Aksante.

Tutambuane kama wadada Wana sura ngumu?

Au mnamaana amenyembuka nyembuka mno kiasi anakuwa analikoroga?

Mbona jiwe watu wakibakia na m@vi yao na maisha yalisonga?

Hiiiiii bagosha!
 
Hata ingekuwa off record, Rais au mtu yoyote yule hapaswi kuhukumu mtu kwa muonekano au maumbile yake. Ushamba nchi hii ni tatizo kubwa kuliko tunavyodhania!

Anataka pisi kali ndiyo zicheze mpira ili na zenyewe ziwe zinafungwafungwa na kutuletea aibu kila siku kama tulivyozoea kwa timu za wanaume?
 
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais ,Ikulu Jafari Haniu naamini wewe ni mwandishi wa habari na umefanya kazi katika vyombo mbalimbali vya habari, katika tasnia ya habari kuna kitu kinaitwa "Off Records" katika mambo anayoongea Rais sio kila jambo lazima liende kwa wananchi kuna mengine personal advice ambayo yanaweza kulenga sana maisha ya watu ,mtu au kitu fulani , sasa Rais anapoongea na Umma kupitia vyombo vya habari, jitahidi sana kuchuja kipi kiende kwa jamii na kipi ni cha ndani tu.

Hii inafanywa hivi kwa lengo la kuzuia negatives perception za watu , kama ni live ni swala la kukiambia kituo cha TV hapo weka "off records" kama ni recorded basi waambie kuwa maneno fulani na fulani hayo ni off records msiyatumie popote , nasema kwasababu hivi karibuni Rais alitoa ushauri kuhusiana na muonekano wa wadada wa timu ya mpira wa miguu "Taifa Quenss" kwa jinsi wanavyoonekana na nini future ya maisha yao wakimaliza kucheza mpira.

Maneno hayo yameleta sintofahamu nyingi sana , ikidaiwa kuwa wadada hao wamedharirishwa kijinsia , imefikia hatua mpaka vyombo mbalimbali vya habari vikilaumu juu ya maneno hayo japo ushauri wa Rais ulikuwa mzuri sana lakini mahali na njia iliyotumika kushauri ilikuwa open sana kiasi kwamba jamii nyingine imechukulia negative.

Hivyo Jafari kontrol media kipi kitoke na kipi kisitoke , kauli au maneno ya Rais yananguvu sana na kufuatiliwa na ulimwengu mzima na utajua hivyo pindi Rais akiongea jambo kushangaza.

Aksante.
Right advice to the wrong person.

Advice hii apewe rais - inampasa awe anatumia hekima ya kiuongozi kila anapoongea kwenye public ili kukwepa fedheha dhidi ya taasisi ya urais.

Huyu mama kaambukizwa Magufulism syndrome.
 
Mama yupo sahihi. Ni kweli wengi wana sura ngumu na hawavutii. Pia, wengi wa hao mabinti wanajifananisha na wanaume kitu ambacho si sahihi. Mbona mabinti wa nchi nyingine wanaocheza soka wapo vizuri tu kimuonekano? Hawa wa kwetu wanafeli wapi?
Naunga mkono hoja, kuna hila hufanywa(zimefanyika sehemu nyingine duniani) na makocha kuwapa hormones (or stuff) za kiume wachezaji wa kike ktk chakula bila wao kujua.
Madam President anawalinda mabinti zake.

Tulichukulie positive
 
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais ,Ikulu Jafari Haniu naamini wewe ni mwandishi wa habari na umefanya kazi katika vyombo mbalimbali vya habari, katika tasnia ya habari kuna kitu kinaitwa "Off Records" katika mambo anayoongea Rais sio kila jambo lazima liende kwa wananchi kuna mengine personal advice ambayo yanaweza kulenga sana maisha ya watu ,mtu au kitu fulani , sasa Rais anapoongea na Umma kupitia vyombo vya habari, jitahidi sana kuchuja kipi kiende kwa jamii na kipi ni cha ndani tu.

Hii inafanywa hivi kwa lengo la kuzuia negatives perception za watu , kama ni live ni swala la kukiambia kituo cha TV hapo weka "off records" kama ni recorded basi waambie kuwa maneno fulani na fulani hayo ni off records msiyatumie popote , nasema kwasababu hivi karibuni Rais alitoa ushauri kuhusiana na muonekano wa wadada wa timu ya mpira wa miguu "Taifa Quenss" kwa jinsi wanavyoonekana na nini future ya maisha yao wakimaliza kucheza mpira.

Maneno hayo yameleta sintofahamu nyingi sana , ikidaiwa kuwa wadada hao wamedharirishwa kijinsia , imefikia hatua mpaka vyombo mbalimbali vya habari vikilaumu juu ya maneno hayo japo ushauri wa Rais ulikuwa mzuri sana lakini mahali na njia iliyotumika kushauri ilikuwa open sana kiasi kwamba jamii nyingine imechukulia negative.

Hivyo Jafari kontrol media kipi kitoke na kipi kisitoke , kauli au maneno ya Rais yananguvu sana na kufuatiliwa na ulimwengu mzima na utajua hivyo pindi Rais akiongea jambo kushangaza.

Aksante.

Ili kitu kiwe " Off the record" inatakiwa utoe tahadhari kabla ya kuzungumza. Na mara nyingi inakuwa katika mzungumzo ambayo hayarushwi "live". Sasa inasaidia nini kuwazuia waandishi kuandika kitu ambacho kimerushwa "live" na wananchi tayari wamekisikia? Badala ya kuwalaumu waandishi, Ikulu inatakiwa kuwa makini na kitu anachozungumza Mheshimiwa. Sio vibaya kufanya mazoezi kabla na kushauri kuwa kuna vitu asivizungumzie. Jukumu hilo ni la Ikulu, sio la vyombo vya habari. Njia nyingine ni kutokuwa na matangazo "live" na vyombo vya habari visialikwe ila vitegemee press releases kutoka Ikulu. Vyombo vya habari vikianza ku edit kitu ambacho wote tumekisikia imani yetu kwao itazidi kupungua.

Amandla...
 
Katika mambo anayoongea Rais sio kila jambo lazima liende kwa wananchi kuna mengine personal advice ambayo yanaweza kulenga sana maisha ya watu ,mtu au kitu fulani , sasa Rais anapoongea na Umma kupitia vyombo vya habari, jitahidi sana kuchuja kipi kiende kwa jamii na kipi ni cha ndani tu. [emoji1752][emoji1752][emoji1752][emoji1548]
Anachuja nani wakati hotuba Ni live mbashara?
 
Mubashara hauna uhuru wa kusema kila jambo liende katika public ni utashi tu wa fundi mitambo kufanya muting na off muting...

Na watu hawatagundua kuwa amekuwa muted? Na kama ni kitu ambacho Mheshimiwa angependa kisikiwe? Kusema kuwa hamna uhuru wa kila jambo kwenda public ni sawa na kusema mzungumzaji hana haki ya kusema kila kitu publicly! mnataka kweli kwenda huko na kuanza kum censor Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa nchi hii?

Amandla...
 
Tatizo ni kutaka kuchomekea vitu , Kama anapress why hafanyi maandalizi mapema vizuri,

Sasa ana sema matiti kuwa flat, mbona ni kawaida tu hata wasiowachezaji tokana na maumbile wapo wasio na matiti makubwa, hakutenda HAKI pale ,
 
Ameshangaa wanawake footballers kuwa na sura ngumu, ila ndani ya moyo wake anatamani wanawake footballers wawe na sura kama ya mke wa Omary mchengelwa
 
Imani ya kidini huwa Ina nguvu Sana kwa binadamu akiwemo Mama Samia

Mama Samia Ni miumini anayeamini kuwa Mwanamke shuruti avae nguo za kujistiri timu ya mpira wa miguu ya wanawake ya Taifa Queens wanamtibua na vibukta vyao na vi singleti akiwaona wanacheza vipaja nje na matiti yakirukaruka ndio maana kwa hasira akawasema kuwa Hata kuolewa wao vigumu utafikiri walimweleza kuwa wana mpango wa kuolewa!!!! Waandishi wa Habari nendeni mkawahoji kuwa je mlimwambia Raisi kuwa mna mpango wa kuolewa?

Nilichokiona ni kuwa hataki kuwaona wanawake wakicheza mpira wa miguu na vibukta vile kutokana na misimamo ya kiimani yake

Hivi nchi za kiislamu za Iran na Afghanistan wanawake wacheza mpira huwa wanavaaje
Wanavaa hijabu na ninja na kuanza kucheza mpira au ? Mwenye ka video aturushie
 
Back
Top Bottom