Rais Samia anapaswa kujua kuwa bila Magufuli asingekuwa Rais

Mh alitamka hadharan pale dodoma kuwa Mama hakuwa chaguo lake..chaguo lake Ni Hussein mwinyi..ila wazee wakamwita wakamwambia utaenda na Mama..hakuweza kukataa..
 
Ukiona hivyo jua Dira imepotea, waliotangulia hwajui twende kulia,kushoto,mbele,au nyuma! Inafika time wengine huipiga namba ya jiwe kuuliza maelekezo wanakuta NAMBA UNKNOWN!
 
Umempatia za uso hatorudia tena kuandika utumbo
 
Magufuli hakuwa Mungu hivyo hakuwa na uwezo wowote wa kumfanya mtu awe fulani,mtu yeyote mwenye fikra kama za mleta uzi lazima atakuwa MPUMBAVU.
Mleta uzi anaishi na mizimu
 
Kila jambo linatokea kwa sababu zake na kwamba siyo kweli kusema bila Magufuli Samia asingekuwa Rais. Siyo kweli kabisa
 
Kila jambo linatokea kwa sababu zake na kwamba siyo kweli kusema bila Magufuli Samia asingekuwa Rais. Siyo kweli kabisa

Bila Melo na the company wewe usingekuwemo JF. Acha ubishi ubishi usio na mpango it is course of nature siku nyingine utabisha hata bila Wazazi wako ungekuwepo duniani
 

Nimekupa like ingawa ubeti wa mwisho umeharibu. Nyani ni wale wale na pori ni lile lile
 
Siyo kweli. Kwanza Magufuli ndiyo anapaswa kushukuru kwa kuwa Mgombea. Kwenye kura aliongoza Amina Salum, akafuata Magufuli then Asha Rose Migiro.

Kama Mkapa asingemkomalia Kikwete huyo Mwendazake asingesikika popote
Mkuu we hujui kitu bora unyamaze tu eti aliongoza Amina salumu ukisimuliwa nini?
 
Magufuli anajadiliwa kuliko baba wa taifa Mwalimu Nyerere.

Hakika JPM alikuwa chaguo la Mungu wa mbinguni.
Kama johnthebaptist ni mkristu nakuomba ukatubu kwa maneno ya kufuru uliyoandika hapo juu. Mungu wetu asingeweza kutuletea mtu kama Magufuli ambaye alikuwa katili, muuaji mwongo na mnyang'anyi.

Magufuli ni zao la shetani ila Mungu wetu aliingilia kati kwa kumnyakua pale 17/ 03/ 21
 
Hizo propaganda za kufuta legacy zimeshaexpire mudaaa, watu wanachanga karata, nadhani umeshackia kauli za "TUNAWASUTA KWA KUTIMIZA MIRADI YA MWENDAZAKE". Punde utackia machinga wanarudi ROAD, wakati mwingine msikubali kutumika Kwa maslah na chuki za watu binafsi.
 
Rabbon Ni poyoyo huwezi argue na great thinkers. Rudi kwenu Facebook
 
Anajadiliwa kwa UFEDHULI na UHAYAWANI wake.

Ule uwongo alioupandikiza ndiyo tunaufuta taratibu.

Kwa mfano alikuwa anasema tunajenga miundombinu kwa fedha za ndani kumbe alikuwa anakopa.
Ujenzi wa hiyo ikulu umesikia amekopa wapi tupe taarifa tujue sbb unaonekana mkuu una takwimu nyingi!!!!!!
 
Kwani unafikiri hata MAGUFULI mwenyewe bila CCM angekuwa rais?
 
Credit Suisse Bank, Stànchart na AfDB
Daah kumbeee basi JPM alikuwa ni chuma kwelikweli kama alikuwa anakopa na kutengeneza miradi mikubwa kama hii ni mfano wa kuigwa kuliko kukopa then mzigo unatafunwa bila kufanya chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…