Rais Samia anapaswa kupewa mbinu za kujibu interview, wasaidizi wake mmemuangusha

Rais Samia anapaswa kupewa mbinu za kujibu interview, wasaidizi wake mmemuangusha

Alichoeleza nisawa kabisa.
Hakuna Mtanzania yyt aliefurahi kuganya kazi na Magu, alikuwa na sifa ya Bully, katili n.k

Nadhani ulitaka amsifie Mag kule New york. Hao jamaa wana research ya kutosha kuhusu Magufuli kuliko unavyo dhania.
Samia angeendeleza Tabia ya Watanzania ya kusifisifia viongozi angesambaratishwa kwenye hiyo interview.

Alivyojibu vile maswali magumu yalipunguwa na haikuwasiri, sisi wote tunajuwa Magu alikuwa mtu mgumu kufanyanae kazi
Sikumaanisha amsifie, ila kumponda aliyekuwa boss wako sio poa,
 
Mahojiano ya jana ya Rais Samia na gazeti la New York Times alinukuliwa akisema alipata wakati mgumu kufanya kazi na Hayati Magufuli kutokana na msimamo wa Magufuli juu ya Covid

Japokuwa simkubali Magufuli, lakini hii kauli hijakaa sawa

Lakini nina uhakika Rais Samia hakudhamiria kusema hivyo, bali aliyekuwa akimhoji ndio alimbana na kulazmisha kusema hivyo.

Kwa wanaoangalia mahojiano ya viongozi na waandishi wa habari wa nchi za 'mbele' wanajua jinsi waandishi hao wanavyokuwa aggressive, mnakumbuka Tundu Lissu mwenyewe alivyobanwa na mwandishi wa BBC hadi kujikuta ametamka atawapa mashoga haki zao...! Baadae akaja kukana hakumaanisha hivyo, ila sikumlaumu maana unabanwa kwelikweli.

Sasa kwa mtu kama Rais ambaye ana wasaidizi wengi smart walitakiwa ku anticipate maswali ambayo angeulizwa Rais, na Rais angekua namna ya kuyajibu kabla, kuna maswali mengine unaya dodge tu badala ya kutoa majibu direct ambayo yataleta utata, ndivyo wanasiasa hufanya.

Wasimuache kama anaenda kuhojiwa TBC.

Nadhani hili halitajirudia tena
Uwezo wa Zuhura Yunus ni mdogo.
 
kipindi kile mazingira yalikuwa hayamruhusu kumchalenge kutoka na hofu ya woga ambayo mkuu aliijenga.
Tuache unafiki, kama mazingira yalikuwa hayaruhusu alilazimishwa kufanya naye kazi, angeweza kuondoka kurudi Unguja akatulie!.

Haya mambo huwa wanadanganywa watoto, but ili upate pesa kwa wakoloni wadanganye vyovyote unavyoweza cha msingi wakupe pesa.
 
Ukwel mchungu kuwa yule aliepita alikuwa na mambo mengi ya ajabu
Najua kwa ngazi ya juu kama president kabla ya kukutana na upande wa pili maswali na majibu yote yanakuwa yameandaliwa.

Haipendezi kwa mtu uliyempokea tena unamsema tofauti duniani.

Picha inakuja ni kuwa the late hakuwa na good communication na team yake.

What's picha yetu kwa dunia sasa.
 
Nyerere alikuwa na uwezo wa kujibu maswali ya waandishi wa kizungu mpaka wanaogopa kumuuliza tena, ni swala la Ia IQ tu.
Nyerere alikuwa kiboko wakati kuna mgogoro Zanzibar wanataka kujitenga muungano Nyerere alienda uingereza akahojiwa kuhusu issue ya mgogoro wa Zanzibar chap chap akawajibu kuwa let us talk about Ireland first !! Sababu mgogoro uingereza na Ireland ni sawa na wa Muungano wa Tanzania na Zanzibar !! Mwandishi Alihama chap chap akaenda muhoji swali lingine hilo akalitupa kapuni
 
wewe mwehu sana., Mbona kama kajibu hivyo amejibu safi sana, nyinyi wabongo mushazoea kusema uongo na kupambia pambia mabosi wenu na kuwatukuza viongozi muda wote hata wakienda mchomo, siku zile Corona imeshika muliwalazimisha watu nchi nzima Corona isiitwe Corona eti iite ugonjwa wa kuambukiza., mukijaribu kuifananisha corona na magonjwa ya kawaida ili ionekane Corona sio tishio kwa maisha ya watu, wakati watu wakiendelea kupoteza maisha kwa hiyohiyo corona.

Samia nampongeza huyu mama anatabia ya kusema ukweli, na sasa anaonyesha waziwazi kwamba mwendazake alikuwa anakosea sana kwenye uongozi wake lakini kipindi kile mazingira yalikuwa hayamruhusu kumchalenge kutoka na hofu ya woga ambayo mkuu aliijenga.
Mkuu kwenye siasa uwongo na kweli havikwepeki

Kuna muda ukweli unaweza kufanya damage kubwa kuliko uwongo, hapo ndio kuna umuhimu wa kupotezea kuliko kusema
 
Alichoeleza nisawa kabisa.
Hakuna Mtanzania yyt aliefurahi kuganya kazi na Magu, alikuwa na sifa ya Bully, katili n.k

Nadhani ulitaka amsifie Mag kule New york. Hao jamaa wana research ya kutosha kuhusu Magufuli kuliko unavyo dhania.
Samia angeendeleza Tabia ya Watanzania ya kusifisifia viongozi angesambaratishwa kwenye hiyo interview.

Alivyojibu vile maswali magumu yalipunguwa na haikuwasiri, sisi wote tunajuwa Magu alikuwa mtu mgumu kufanyanae kazi
she responded correctly but not the best response.
 
Nyerere alikuwa kiboko wakati kuna mgogoro Zanzibar wanataka kujitenga muungano Nyerere alienda uingereza akahojiwa kuhusu issue ya mgogoro wa Zanzibar chap chap akawajibu kuwa let us talk about Ireland first !! Sababu mgogoro uingereza na Ireland ni sawa na wa Muungano wa Tanzania na Zanzibar !! Mwandishi Alahama chap chap akaenda muhoji swali lingine hilo akalitupa kapuni
Ali dodge swali, Samia ni bora nae akawa anaijua hii mbinu, wanaztumia viongozi kukwepa kuongea vitu vitakavyoleta utata
 
Shida yako ulikiwa umtaje tu Tundu Lissu, na hakusema hivyo ulivyoandika hapa mtu mwenye hila.
Mahojiano ya jana ya Rais Samia na Gazeti la New York Times alinukuliwa akisema alipata wakati mgumu kufanya kazi na Hayati Magufuli kutokana na msimamo wa Magufuli juu ya Covid-19.

Japokuwa simkubali Magufuli, lakini hii kauli haijakaa sawa, lakini nina uhakika Rais Samia hakudhamiria kusema hivyo, bali aliyekuwa akimhoji ndio alimbana na kulazimisha kusema hivyo.

Kwa wanaoangalia mahojiano ya viongozi na waandishi wa habari wa nchi za 'mbele' wanajua jinsi waandishi hao wanavyokuwa aggressive, mnakumbuka Tundu Lissu mwenyewe alivyobanwa na mwandishi wa BBC hadi kujikuta ametamka atawapa mashoga haki zao...! Baadae akaja kukana hakumaanisha hivyo, ila sikumlaumu maana unabanwa kwelikweli.

Sasa kwa mtu kama Rais ambaye ana wasaidizi wengi smart walitakiwa ku-anticipate maswali ambayo angeulizwa Rais, na Rais angekua namna ya kuyajibu kabla, kuna maswali mengine unaya-dodge tu badala ya kutoa majibu direct ambayo yataleta utata, ndivyo wanasiasa hufanya.

Wasimuache kama anaenda kuhojiwa TBC.

Nadhani hili halitajirudia tena.
 
Kisha ikamuondoa pia
U afiki mtupu. Walioweka lock up walitoboa? Kwa taarifa yako kwenye handling ya covid magufuli ni kinara duniani. Utake usitake kwa webye akili wanatambua kwamba dunia nzima inatumia method ya magufuli kwasasa with some few modifications
 
Huo ukwel mchungu,halafu mkumbuke waislamu haturuhusiw kuwa waongo
Jibu alilojibu raisi linaonyesha Serikali haikuwa organized .Raisi kivyake makamu kivyake utafikiri Serikali ya Sudan kusini kati ya Raisi Salva Kiir na makamu wake Riech machar!! Hakukuwa na unit of command and purpose

Swali je sasa Serikali ya Mama Samia iko organized from bottom to the top? Hilo swali kawaachia homework wamarekani wafanye analysis wenyewe!!
 
Back
Top Bottom