Rais Samia anapaswa kupewa mbinu za kujibu interview, wasaidizi wake mmemuangusha

Sikumaanisha amsifie, ila kumponda aliyekuwa boss wako sio poa,
 
Uwezo wa Zuhura Yunus ni mdogo.
 
Muulize ndugai kama mwanamke n mwanamke tu
Wamarekani wenyewe wanaomba yasije kuwakuta kama yaliyotukuta Tanzania Biden akafa yule mama akachukua nchi kwani wanajua madhara ya mwanamke kua kichwa cha nchi.

Mwanamke ni mwanamke tu.
 
kipindi kile mazingira yalikuwa hayamruhusu kumchalenge kutoka na hofu ya woga ambayo mkuu aliijenga.
Tuache unafiki, kama mazingira yalikuwa hayaruhusu alilazimishwa kufanya naye kazi, angeweza kuondoka kurudi Unguja akatulie!.

Haya mambo huwa wanadanganywa watoto, but ili upate pesa kwa wakoloni wadanganye vyovyote unavyoweza cha msingi wakupe pesa.
 
Ukwel mchungu kuwa yule aliepita alikuwa na mambo mengi ya ajabu
 
Nyerere alikuwa na uwezo wa kujibu maswali ya waandishi wa kizungu mpaka wanaogopa kumuuliza tena, ni swala la Ia IQ tu.
Nyerere alikuwa kiboko wakati kuna mgogoro Zanzibar wanataka kujitenga muungano Nyerere alienda uingereza akahojiwa kuhusu issue ya mgogoro wa Zanzibar chap chap akawajibu kuwa let us talk about Ireland first !! Sababu mgogoro uingereza na Ireland ni sawa na wa Muungano wa Tanzania na Zanzibar !! Mwandishi Alihama chap chap akaenda muhoji swali lingine hilo akalitupa kapuni
 
Mkuu kwenye siasa uwongo na kweli havikwepeki

Kuna muda ukweli unaweza kufanya damage kubwa kuliko uwongo, hapo ndio kuna umuhimu wa kupotezea kuliko kusema
 
she responded correctly but not the best response.
 
Ali dodge swali, Samia ni bora nae akawa anaijua hii mbinu, wanaztumia viongozi kukwepa kuongea vitu vitakavyoleta utata
 
Shida yako ulikiwa umtaje tu Tundu Lissu, na hakusema hivyo ulivyoandika hapa mtu mwenye hila.
 
Kisha ikamuondoa pia
U afiki mtupu. Walioweka lock up walitoboa? Kwa taarifa yako kwenye handling ya covid magufuli ni kinara duniani. Utake usitake kwa webye akili wanatambua kwamba dunia nzima inatumia method ya magufuli kwasasa with some few modifications
 
Huo ukwel mchungu,halafu mkumbuke waislamu haturuhusiw kuwa waongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…