Samia alirespond baada ya Ndugai kukebehi kwamba nchi itapigwa mnada na yeye akajibiwa kwa uhalisia wake, sasa kujiuzulu aliwaza yeye mwenyewe ndugai, asubiri 2030 kama vipiSasa ulitegemea Samia aseme amemvua uspika Ndugai?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samia alirespond baada ya Ndugai kukebehi kwamba nchi itapigwa mnada na yeye akajibiwa kwa uhalisia wake, sasa kujiuzulu aliwaza yeye mwenyewe ndugai, asubiri 2030 kama vipiSasa ulitegemea Samia aseme amemvua uspika Ndugai?
Mahojiano ya jana ya Rais Samia na Gazeti la New York Times alinukuliwa akisema alipata wakati mgumu kufanya kazi na Hayati Magufuli kutokana na msimamo wa Magufuli juu ya Covid-19.
Japokuwa simkubali Magufuli, lakini hii kauli haijakaa sawa, lakini nina uhakika Rais Samia hakudhamiria kusema hivyo, bali aliyekuwa akimhoji ndio alimbana na kulazimisha kusema hivyo.
Kwa wanaoangalia mahojiano ya viongozi na waandishi wa habari wa nchi za 'mbele' wanajua jinsi waandishi hao wanavyokuwa aggressive, mnakumbuka Tundu Lissu mwenyewe alivyobanwa na mwandishi wa BBC hadi kujikuta ametamka atawapa mashoga haki zao...! Baadae akaja kukana hakumaanisha hivyo, ila sikumlaumu maana unabanwa kwelikweli.
Sasa kwa mtu kama Rais ambaye ana wasaidizi wengi smart walitakiwa ku-anticipate maswali ambayo angeulizwa Rais, na Rais angekua namna ya kuyajibu kabla, kuna maswali mengine unaya-dodge tu badala ya kutoa majibu direct ambayo yataleta utata, ndivyo wanasiasa hufanya.
Wasimuache kama anaenda kuhojiwa TBC.
Nadhani hili halitajirudia tena.
Huu ujinga aliuweza Jiwe tu, na ndio maana aliogopa kusafiri nje ya nchi baada ya kuchemka Uganda. Ukiwa rais huwezi kukwepa kuulizwa maswali kwa wenzetu huko, tena ya papo kwa hapo na sio ya TBCCM.Mambo mengine ni uwezo binafsi.
Swala hapa ni kutomuexpose na situations kama hizo.
Yaani wasaidizi wake wawe wajanja kumkwepesha na mazingira kama hayo. Itokee very rare kuwa anahojiwa na vyombo vikubwa kama hivyo.
Huko mbele watu wako ahead of us kwa karne kadhaa. Uwezo wao wa kufikiri ni mkubwa sana.
Mkuu hata hili nalo unataka kukomaa? Mbona jambo ambalo lipo wazi kabisa, haya tufanye basi Ndugai aliamua tu mwenyewe kujiuzulu bila shinikizo lolote.Samia alirespond baada ya Ndugai kukebehi kwamba nchi itapigwa mnada na yeye akajibiwa kwa uhalisia wake, sasa kujiuzulu aliwaza yeye mwenyewe ndugai, asubiri 2030 kama vipi
Aila zake ndugai kina lukuvi hao ndio walimwambia sasa kwa ushavyolikoroga hutaweza tena fanya kazi na mama bora andika barua jiuzulu., mama baada ya kumjibu mwisho alisema msameheniMkuu hata hili nalo unataka kukomaa? Mbona jambo ambalo lipo wazi kabisa, haya tufanye basi Ndugai aliamua tu mwenyewe kujiuzulu bila shinikizo lolote.
Mahojiano ya jana ya Rais Samia na Gazeti la New York Times alinukuliwa akisema alipata wakati mgumu kufanya kazi na Hayati Magufuli kutokana na msimamo wa Magufuli juu ya Covid-19.
Japokuwa simkubali Magufuli, lakini hii kauli haijakaa sawa, lakini nina uhakika Rais Samia hakudhamiria kusema hivyo, bali aliyekuwa akimhoji ndio alimbana na kulazimisha kusema hivyo.
Kwa wanaoangalia mahojiano ya viongozi na waandishi wa habari wa nchi za 'mbele' wanajua jinsi waandishi hao wanavyokuwa aggressive, mnakumbuka Tundu Lissu mwenyewe alivyobanwa na mwandishi wa BBC hadi kujikuta ametamka atawapa mashoga haki zao...! Baadae akaja kukana hakumaanisha hivyo, ila sikumlaumu maana unabanwa kwelikweli.
Sasa kwa mtu kama Rais ambaye ana wasaidizi wengi smart walitakiwa ku-anticipate maswali ambayo angeulizwa Rais, na Rais angekua namna ya kuyajibu kabla, kuna maswali mengine unaya-dodge tu badala ya kutoa majibu direct ambayo yataleta utata, ndivyo wanasiasa hufanya.
Wasimuache kama anaenda kuhojiwa TBC.
Nadhani hili halitajirudia tena.
Kinara kwa kuwaaminisha watu kua haikua korona ni changahmoto ya kupumua???U afiki mtupu. Walioweka lock up walitoboa? Kwa taarifa yako kwenye handling ya covid magufuli ni kinara duniani. Utake usitake kwa webye akili wanatambua kwamba dunia nzima inatumia method ya magufuli kwasasa with some few modifications