So linahitaji Rais wa kuuliza wananchi nitumbue au nisitumbueeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hauko serious au wew ni walewale
So linahitaji Rais wa kuuliza wananchi nitumbue au nisitumbueeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hauko serious au wew ni walewale
So Rais anafanya maamuzi based on taarifa za kusikia kwa wananchi bila kujiridhisha! Vp kama wanamdanganya au ni chuki zao? Refer yule mama tapeli.kiongozi aliyezembe au kuiba hela za mradi wa hospitali huku mamilioni wakikosa huduma za hospitali utaka alembwelembwe baadala ya kudhalilishwa naye baada ya kusababishia maelfu kukosa huduma za hospitali..
Kuna wengine ni nyoka wa mdimi mbili, wanalike kila hoja mpaka wanazozipinga, yaani huku kwako wapo kwenye kuamini njia ya kupita vyovyote maana kote kuna Pros and cons lakini hapo hapo wapo kwa yule aliyechagua upande wa “tutakwenda tutarudi”, yaani mavichochoro ya nchi yenye square kilometers milioni moja kasoro ukafanye maamuzi ya stahili hii ambayo hata kagame na kamkoa kake hawezi kufanya hivyo ni utopolo…Uongozi ni kuamua tu kuchukua njia unayopita, unapita unaenda zako bila ya kujali kelele za kutoridhika au vigelegele vya kuridhika.....,miaka yenyewe mingapi ya uongozi ya kuridhisha wote!!
Maamuzi ya papo kwa papo yana uwezekano mkubwa wa kukosea kunakotokana na kukosa taarifa sahihi na mwisho wa siku mtu anaonewa (nina uhakika katika kila maamuzi natano ya papo kwa papo, mawili yanakuwa sivyo). Faida ya hii ni kuwa watu ni kweli wanakuogopa na hujitahidi kuwa 'sio wao' ili kubaki salama
Style ya mama ya 'kulichukua' ina uwezekano wa kutenda haki lakini ina shida ya kuchelewa na......nchi ni kubwa sana yatachukuliwa mangapi miaka yenyewe mitano au 10 tu!
Suluhisho: nenda tu na unachoamini ni sahihi!
Reference ya mama Tapeli iko wapi? Weka chanzo cha habari na nini kilifuata baada ya kubainika kufanya utapeli? Usiongee kwa hisia na mihemko ya hearsay bro.So Rais anafanya maamuzi based on taarifa za kusikia kwa wananchi bila kujiridhisha! Vp kama wanamdanganya au ni chuki zao? Refer yule mama tapeli.
Ina maana hukuwepo??? Ukipewa reference ndo utaamini mzee baba alikuwa hakurupuki??? Alikurupuka sana kwenye maamuzi na ndio maana wengi aliowatumbua aliwarudisha kwa mlango wa nyuma kimyakimyaReference ya mama Tapeli iko wapi? Weka chanzo cha habari na nini kilifuata baada ya kubainika kufanya utapeli? Usiongee kwa hisia na mihemko ya hearsay bro.
Kwa yule mjane alifanya kumsindikiza..lakini suala lake hakulitolea maamuzi...Ila alimuelekeza RPC na wengine kwa sababu wanalifahamu...walifanyie kazi,Ila baadae wakalipotezea..nadhani walimuona yule mama si mkweli.N
Ndio maana kwa kukurupuka aliingizwa chaka mara nyingi mfano mmojawapo ni yule mama wa Tanga (alipachikwa jina mjane wa Magufuli) Mtu mwenye hekima hutafakaribjambo na hupata kusikiliza pande zote mbili ili kujiridhisha.
Usilazimishe kila unachokitaka kiwe uoendavyo maisha hayako hivyo. Kwa hiyo hamkukioenda chama chenu mlimpenda mti au mlipenda kabila???
So kwa upeo wako nchi haihitaji mahakama bali maamuzi ya hapo kwa hapo kutoka kwa kiongozi? Kweli kuna binadamu wanapenda kuongozwa kidicteta. Nilikiwa najiuliza hawa watu waliokuwa wanasifu yale mambo ya jiwe ni watu wa aina gani, na je wapo kweli au ni propaganda! Ila leo nimeamini kuwa kumbe wapo aiseeNi mwendo huo huo unaowafaa watanzania kwa sasa baadaye huko wakikaa sawa tunaweza kushift tu automatically...
Sasa kiongozi mpumbavu anayeisababishia nchi hasara kwa upumbavu wake unategemea aachwe bila naye kudhalilishwa kama alivyowakosea na kuwadhalilisha mamilioni ya watanzania....? abembelezwe, afichwefichwe, anyenyekewe nk HAPANA aisee, kuna mijitu mijinga inahitaji adhabu kali sana..
Kama hili hulijui basi wew siyo mfatiliaji wa siasa za Tanzania. Acha uvivu tafuta maarifa mwenyewe mimi nimkupa hints tu.Reference ya mama Tapeli iko wapi? Weka chanzo cha habari na nini kilifuata baada ya kubainika kufanya utapeli? Usiongee kwa hisia na mihemko ya hearsay bro.
Umejidhalilisha sana uliposema Jiwe alikuwa anajua idadi ya samaki, ajue idadi ya samaki ila hajui hata marais wa nchi maarufu.Siyo kweli kuwa JPM alikuwa anakurupuka kutoa uamuzi bali alikuwa anatembelea sehemu akiwa na data za kutosha kuhusu sehemu anayotembelea. Kwa mfano alipompandisha Mbuge kutoka Kanali hadi kuwa Brigadier general papo kwa papo alishailiongelea jambo hilo na CDF, na ndiyo maana CDF akamvika Mbuge nyota zile siku hiyo hiyo kwani alikuwa anajua. Alipomfukuza DAS wa Kisarawe, alikuwa ana taarifa zote na alisema aliwahi kumuonya mara kadhaa. Hata hivyo wanachi walipoomba barabara ya kwenda Kibaha, hakutoa amri ya papo kwa papo bali aliwaambia hilo analibeba na atalifanyia kazi.
Alipomfukuza yule marehemu mkurugenzi aliyechongewa na Makonda, alishakuwa na taarifa zaidi juu ya ubadhirifu ulikokuwa unafanywa naye hata kabla ya Makonda kuzungumza, na ni kutokana na msukumo wa kutaka maelezo ya taarifa hizo za ubadhilifu ndipo Makonda akatoa lawama hizo. Alipoamuru ATCL iwe ina mmbeba Mapunda na mke wake bure, ni swala ambalo lililkuwa limeshaongelewa na bodi ya wakurugenzi wa ATCL na ndiyo maana siku hiyo Mapunda akawa amepewa kiti pale high table.
Kudhani kuwa alikuwa anakurupuka kutoa maamuzi siyo sahihi, alikuwa anafanya homewrok yake kabla ya kwenda ziaranai na alipokuwa huko alikuwa data za kutosha sana. Ni mtu aliyekuwa na uwezo wa kujua idadi ya samaki kwenye ziwa asingeshindwa kujua matukio ya kwenye sehemu alizokuwa anatembelea kabla hajafika.
😍Wote wanaweza kuwa sawa..
Wote wanaweza wasiwe sawa..
Mmoja anaweza kuwa sawa na mwingine hapa.
Taifa la Tanzania na watu wake kuna mahala linamtaka Marehemu JPM na hulka yake ileile..
Hii nchi kuna baadhi ya watu wajinga sana, narudia tena wajinga sana na ndio wanasababisha hii nchi iwe hapa kwa sasa..
Wakati huu Taifa linahitaji mtu kama marehemu atuvuruge sana na tukija kukaa sawa miaka mingi mbele ndio waje viongozi aina hii ya Mama , pamoja na JK... Style ya uongozi wa mipango na kuamini watu inafaa sana kwenye mataifa yaliyoendelea tayari lakini sio kwa Taifa kama hili lenye baadhi ya watu primitive na wajinga...
Maamuzi ya haraka siku zote yana matokeo hasi, kiongozi mkubwa km rais lazima awe na mda wa kujiridhisha kwenye kila hatua kinyume chake anakosa sifa, hata wewe mwenyewe nyumbn kwako ukiwa ni mtu wa kuletewa jambo na kulichukua km kilivyo bila kuchakata na kujiridhisha utagombaba na kila mtu, na ndomana marehemu alikuwa na maadui wengiWote wanaweza kuwa sawa..
Wote wanaweza wasiwe sawa..
Mmoja anaweza kuwa sawa na mwingine hapa.
Taifa la Tanzania na watu wake kuna mahala linamtaka Marehemu JPM na hulka yake ileile..
Hii nchi kuna baadhi ya watu wajinga sana, narudia tena wajinga sana na ndio wanasababisha hii nchi iwe hapa kwa sasa..
Wakati huu Taifa linahitaji mtu kama marehemu atuvuruge sana na tukija kukaa sawa miaka mingi mbele ndio waje viongozi aina hii ya Mama , pamoja na JK... Style ya uongozi wa mipango na kuamini watu inafaa sana kwenye mataifa yaliyoendelea tayari lakini sio kwa Taifa kama hili lenye baadhi ya watu primitive na wajinga...
mtetezi wa dikteta!!Vyeti feki bana!