Kuna wengine ni nyoka wa mdimi mbili, wanalike kila hoja mpaka wanazozipinga, yaani huku kwako wapo kwenye kuamini njia ya kupita vyovyote maana kote kuna Pros and cons lakini hapo hapo wapo kwa yule aliyechagua upande wa “tutakwenda tutarudi”, yaani mavichochoro ya nchi yenye square kilometers milioni moja kasoro ukafanye maamuzi ya stahili hii ambayo hata kagame na kamkoa kake hawezi kufanya hivyo ni utopolo…
Ajabu zaidi ni kuwa Magufuli before kufanya maauzi hayo ya papo kwa papo alikuwa akizishirikisha pande zote kujitetea hadharani, wakati mwingine kuwahisisha mpaka viongozi wengine wa ngazi mbalimbali.
Narudia tena, masikini sio wakupiganiwa hata siku moja, Bible yenyewe inaeleza namna Mungu alivyokuwa akiwatelekeza wana wa Israel wapigike mpaka wakubali kuwa walibugi step…. Eti ni mtumbue nisimtumbue! Kwani Bossi wa Raisi ni nani kiuhalisia?
Allency samurai sayoo Drifter