Rais Samia anatengenezewa Ajali za kisiasa

Duuh muongo wewe. Rostam si ndio kahamia kuineemesha Zanzibar, moja ya miradi mipya ni kutengeneza umeme wa jua Zanzibar isipate shida siku Muungano ukivunjika. Rostam hayupo kwenye maadui, yeye ni kazi iendelee mzuri sana
 
Mle mle tu, hakuna jipya
 
Unatupigia kelele wewe chawa
 
Kwamba wewe mpaka unayajua haya na kuja kuyaandika hapa yeye hayajui? Na kama anayajua amechukua hatua gani? Na kama hajachukua hatua hapo mwenye kosa ni nani? Ukweli ni kwamba huyu bibi linapokuja suala linalohusu masilahi ya Tanganyika hajali kabisa ingekuw Zanzibar asingesaini huu ujinga suala dogo tu kama la Feisal na Yanga kaingia mzima mzima na limeisha sababu ni mwana kwao
 
Pumbavu sana arudi kwao Zanzibar hatutaki upumbavu wa aina yoyote ile

Wenzetu Watanganyika washalitumbua jipu, sasa ni zamu yetu Wazanzibari kuukamua usaha mpaka tuufikie moyo wake na kuliponya moja kwa moja jeraha.
Ingefaa tuwaulize wenzetu, kama wao wameumia mno kwa kuona uhuru na rasilimali zao zimeingia hatarini kwa mkataba mmoja TU wa bandari, wanadhani wametuumiza kwa kiasi gani sisi wenzao kwa miaka 60 yote hii tangu walipoupora uhuru na mamlaka yetu YOTE na kutudumaza kiustawi kwa kutufungia njia kuu za kiuchumi.

Wanaumia kuona Mzanzibari anakuwa rais wa Tanzania hata kama ni kisheria na kikatiba, wakati wao wamejipa mamlaka ya kimabavu, kwa miaka yote hii ya kutupangia nani atuongoze Wazanzibari na kwa mipaka gani ya mamlaka!

Tuwathibitishie kwamba iwe iwavyo, sasa tumeshabaini bila chembe ya shaka, kwa yaliyotoka kwenye ndimi zao, kwamba wana chuki kubwa dhidi ya Uarabu na Uislamu na kwamba chuki hizo ndizo zilizochangia pia kutubana tusifurukute ndani ya 'muungano'; na ndio maana kina Lukuvi na Sitta hawakuulizwa chochote na yeyote waliponena waliyoyanena dhidi ya Uarabu na Uislamu, kwa sababu waliwasilisha na kuwakilisha mtazamo rasmi wa Tanganyika kuhusiana na Wazanzibari katika muungano.

Na kwa hapa tulipofika tukubaliane kwamba, kama ni kuuendeleza muungano, basi hakuna mbadala mwingine wa mahusiano yetu ya kisiasa na Watanganyika isipokuwa kufuta kwanza jina Tanzania na kurudi kwenye Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kuamua ama kuwa na muungano wa mkataba au wa serikali tatu. Ghairi ya hivyo ni kila nchi kurudi kwenye asili yake ya taifa na nchi kamili
 
Binafsi nachukizwa na wuzi uliopo bandarini na ucheleweshwaji wa mizigo unaofanywa na wazawa, lakini kama muwekezaji anakuja ni vyema mambo yakawekwa wazi ili kuondoa sintofahamu na upotoshwaji unaofanywa na baadhi ya watu, ni vyema viongozi wa serikali wakatoka wazi kuuchambua na kuufafanua huu mkataba.
 
Ni ujinga kudhania kuwa huyu rais tulie naye hawezi kuwa mpigaji ,yaani kila ajali ni katangenezewa,kana kwamba yeye na malaika huu ni upumbavu.
 
Kwa ufupi SSS, alipewa umakamo kwakua Mfumo uliamin ni dhaifu na nikweli ,Samia ni dhaifu, Kwa Mfumo kua na JPM chuma, alafu mdhaifu wa Zanzibar, ilikua ni sahihi kabisa na mambo yalienda vizuri.

Samia alipewa umakamo just kuendeleza kuwatuliza Wazanzibar tu.... KIFO Cha JPM tu ndio kimetufikisha hapa.

Ukweli ni kwamba, SSS HAFAI KUA RAIS WA NCHI YOYOTE ILE .

Wewe kiongozi gan Kila kitu ni mweupe??? Ushaona wapi?

Rais mwepesi kudanganywa, hajishughulishi kama JPM ,yupo yupo ,lolote analoambiwa ni sawa tu.

Ukiachilia mbali Uwezo wake Mdogo wa Akili ( HILI NALIKAZIA, KWA SABABU SAFARI YAKE YA ELIMU ILIJAA KUFELI FELI ,NA KUFELI KWA SHULE, KUNAONYESHA KIWANGO CHAKE CHA IQ KIKOJE).

bado pia ni Muoga, Hana maamuzi, Hana uthubutu wowote, basi kama hujisumbui Kusoma, fanyia kazi maelekezo ya Vijana wa TISS ambayo baadhi ni yenye faida,, chakushangaza bado anasapuuza, anapuuza kama JK alivyopuuza !!.

Itoshe tu kusema, NCHI HII KWA SASA NI OVYO OVYO TAKATAKA .
 
J
Anataka kutuamiisha kwamba mwarabu atadhibiti wizi bandarini. Na kama mkataba una manufaa mbona hawakunusa Kwa Mwinyi?
 
Ndio maana Magu aliamua kuwa jeshi la mtu Mmoja,akaamua kutumbua tumbua watu hovyo. Mfumo umekaa kiwiziwizi.
 
Kwa maana hiyo unawafananisha watanzania na wanyama kwamba hawana akili yoyote ya kuhoji lolote

Kwamba ikitokea jambo limeenda ndivyo sivyo raia wakalalamikia basi wewe unaamini ni kikundi fulani ndiyo kinacho lalamika na siyo watanzania ambao hawausiani na siasa wala mamlaka zozote ukiamini hao watanzania hawana hizo akili

Hizi ni dharau kwa watanzania
Mfano hapo kwa wafanyabishara kukwepa kodi
Mfanyabiashara anapopata Mwanya wa kukwepa kodi atautumia ipasavyo na anatamani hata asilipe kabisa hiyo kodi kama inawezekana
Lakini hayo yote ni majibu kuwa mamlaka ni dhaifu katika kusimamia wajibu wake mfanyibiashara hana kosa katika hilo
Na mamlaka hizo boss wao mkuu ni rais kwa hiyo rais hapo amefel

Nikuulize hayo uliyosema kuhusu wafanyabishara ndiyo mapya yameanzia awamu hii ya samia au yalikuwepo

Unakubali kuwa rais ndiyo boss na mawaziri wote wako chini yake yeye ndiyo amewaweka kwenye hizo nafasi walizonazo na kuanzia kwa mawaziri kuja mpaka huku chini rais anayo mamlaka ya kuwajibisha hao watu

Utuambie sasa ni nani huyo ambaye anafanya hayo na rais ameshindwa kumuwajibisha kama yupo mtu wa hivyo basi huyo rais wako ana shida urais hauwezi aachane nao siyo zaidi ya hapo

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
We bwana umenena vyema kabisa , hapa hamna Rais ila ni uchafu tu, atupishe ,na aondoke , ikiwezekana pia ata muungano uvunjwe watuache na Tanganyika yetu maana Hawa jamaa tumewabeba vya kutosha ,
Kwanza mijitu yenyewe haina akili kichwan ,vichwa vizito , bado nguvu za kufanya kazi havina pia waume kwa wake ......kwa ufupi Zanzibar ni eneo lenye watu wa hovyo sana wakiongozwa na Rais wao Bi Mchele.
 
Hapa hatuna Rais , maana wew kama Rais jukumu lako ni kusimamia kila kitu kiende vizur , hyu wa kwetu yeye ameona wizi bandalini badala ya kuchukua hatua kwa wahusika akiwa kama Rais, matokeo yake anakimbilia ujombani kuomba msaada asaidiwe kutawala
 
Hahahaaa!! Takataka kwani YY mwenyewe asije kwa watanzania na kuwaeleza na kuwatoa hofu kuhusu Bandari?
Tuanzia hapo kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…