Rais Samia anatengenezewa Ajali za kisiasa

Duuh muongo wewe. Rostam si ndio kahamia kuineemesha Zanzibar, moja ya miradi mipya ni kutengeneza umeme wa jua Zanzibar isipate shida siku Muungano ukivunjika. Rostam hayupo kwenye maadui, yeye ni kazi iendelee mzuri sana
Sawa,heshimu maoni yangu nami naheshimu mtazamo wako ,hunijui sikujui
 
Kwenye siasa kuna vitu vingi nyuma ya pazia ambavyo wengi hawajui ,watu wanakesha kupanga mipango na njama mbalimbali..
Hata mtu Mmoja unakuta Kuna watu wanapanga mipango juu yako bila wewe kujua Tena wakati wa kufanikisha mipango yao wanakuja kitakatifu ili uwaamini, hivyo ukiwa kiongozi mkuu unatakiwa uwe na nguvu za kiroho za kukupa habari na kukulinda ili wale unaowaamini kama wanakuspoil njama zao zinashindwa.
 
Reactions: Ame
Yaani wapinzani walipwe ? Mikataba muingie nyie wapinzani walipwe?
Mbona husemi wabunge na waandishi wenu ambao mnawatumia katika Mambo yenu ovu kule ngororo na hata uku bandarini
Nchi imejaa wasio wazalendo ikiwemo wewe ambaye unatetea ujinga huu wa mikataba.
Mwishi nakushauri waache wanaopinga huu mkataba maana wamechagua sehemu uliyo sahihi .Kama wewe umeamua kuwa upande wa majizi sawa
 
Hahahaaa!! Takataka kwani YY mwenyewe asije kwa watanzania na kuwaeleza na kuwatoa hofu kuhusu Bandari?
Tuanzia hapo kwanza
Yaan Rais ndo amekua wa kuclarify kila kitu kwan hakuna wahusika?
 
Mkuu, Siasa inaweza kukufanya umchukie uliyepaswa kumpenda na umpende uliyepaswa kumchukia
 
Ukiona hivi basi hujue Mleta mada anatafuta U - das kwa udi na uvumba
 
Huyo bibi Hana cha kupoteza kwa pesa alizonazo sasa hata asipopota urais tayari atalindwa hadi kufa
 
Usilete upumbavu hapa, ameyabariki, na by the way anayajua , its time for change
 
Threads zako zingine zimefutwa??sizioni
 
Kama sio kina Oscar Kambona askari mwingereza aliekuwa Waziri wa ulinzi wa Tanganyika, kusaidiana na JKN na waingereza kumfukuza Sultani kinyago chao wenyewe waingereza. Basi nyinyi Sultani huyo angekurudisheni Congo misitu ya Nyani wenzenu mlikotolewa na Tippu Tipp
 
Walikula vichwa wakanogewa wameanza kulana wao.
 

Shukrani kwa historia unayopewa kanisani na Pengo
 
Mama Samia siamini kwa kale kasura kake kama anaweza akawa mpigaji kiasi hicho
 
Ujinga mtupu! Sheria zipo mama na serikali yake wana vyombo vyote vya dola vya kusimamia sheria.
Iweje mtu mmoja bandarini aibe TSH milioni mia mbili,bila kukamatwa kuchukuliwa hatua,huoni huo ni udhaifu wa serikali ya CCM!?

Una idara ya usalama wa taifa,una takukuru,una DCI, una tume ya maadili ya viongozi wa umma, una CAG, una polisi,una mahakama,una magereza halafu unashindwa kupambana na wabadhilifu wa mali ya umma!!

Nini faida ya kuwa na hivyo vyombo vyote!? Kama huwezi kutumia hivyo vyombo kukamata wabadhilifu maana yake na wewe Rais una husika kwenye ufisadi.
CCM wasitumie udhaifu wao wa kushindwa kuendesha nchi kwa kutaka kuuza rasilimali zetu.
 
Kwanza nianze kwa kuwapa starter moja muhimu sana maana Watanzania tumeumbwa kukumbuka ya leo, ya jana tunayasahau kirahisi sana.

Mnakumbuka Rais Samia alitangaza kuifungua nchi na watu wote tukashangilia? Mnakumbuka alisema atakamilisha miradi yote iliyoachwa na Hayati Magufuli na watu wote tukashangilia? Mnakumbuka aliwahi kusema yeye na Magufuli ni kitu kimoja na wote tukashangilia?

Rais Samia ametimiza yote hayo na anaelekea kuvuka matarajio ya wengi sana, wengi walidhani inawezekana akaishiwa pumzi mapema sana, ndio maana utaona ndani ya CCM kuna makundi mpaka sasa makubwa mawili yanayoamini Rais Samia hatafika 2025.

Dhana ya kundi la kwanza ni kuwa Rais Samia hatafanikiwa kuwaridhisha watanzania na kufikia approval rating zakumpa go ahead ya re-election, hivyo mgombea mmoja ameamini kwa kigezo hiki yeye akajiweka tayari kuwa mbadala.

Dhana ya kundi la pili ni kuwa hata akifanikiwa, kundi hili limejipanga kumwekea ajali za kisiasa ili ajikwae na kuanguka kisiasa, kundi hili lina nia ovu zaidi kwa kua linatumia hadi njia zisizoelezeka kwenye jukwaa hili maana ni njia haramu na za kijinai kumkwamisha Rais Samia na Mhe Rais analijua hilo.

Sasa baada ya utangulizi huo naomba niwaeleze jambo moja ambalo baada ya mihemko ya Bandari kuisha mtarudi hapa na kufanya thread hii kama marking scheme ya mambo mengi sana mnayoyaota.

Kuna ajali kubwa tano ambazo kundi la pili limeziandaa kwa Mheshimiwa Rais, na ajali mbili tayari zimeshakua executed systematically and very carefully

1. AJALI YA KISIASA KWA WAFANYABIASHARA
Kundi hili katili linalosaka urais 2025 na linaamini kwa 80% litaupata , liliandaa mgogoro wa wafanyabiashara wa soko la Kariakoo, na kuset up Rais achafuke kisiasa, lilifanikiwa vipi?

Watu hawa kwa kushirikiana na wafanyabiara waovu, walianza kudeclare mizigo inayopita bandarini kama kama vifaa visivyo na thamani , mfano mzigo wa Vigae unakua declared kama tissue paper, hivyo kulipiwa pesa kidogo bandarini, watu hawa wakawa wanatunza kwenye store mizigo hii na kulipa kodi kidogo za tissue paper kwa mzigo wa vigae.

Suprising, watu hawa wakajifanya wanamtonya Rais kuwa kuna uhujumu uchumi kwa wafanyabiashara, waambie TRA waanze kukagua Mizigo store utatuamini, Rais baada ya kuchunguza kweli akakuta ni valid case kuwa vigae vinapita kama tissue bandarini hivyo mizigo ikaguliwe store kukamata wahujumu hao.

Muda wote huo watu hawa walikua calculative sana, wakawaandaa wafanyabiashara upande wa pili kuwa serikali inaanza kuwa harass msikubali, script ikatick Rais wakampigisha ajali ambayo Waziri Mkuu aliokoa dakika za jioni sana.

2. MAMLAKA YA SERIKALI MTANDAO E-GA KUBINAFSISHWA
Genge hili la pili, likaratibu pia ajali nyingine ambayo 70% imeiva soon wataiweka barabarani,
4. BWAWA LA NYERERE
Bwawa hili limebeba hatima ya Rais samia re-election, kundi ovu limejipanga kuharibu kingo za bwawa hilo kabla ya vikao uchaguzi wa serikal za mitaa mwakani ili CCM ikose uungwaji mkono na kuonesha kua Rais hatoshi.

Mipango ya kuharibu bwawa la mwalimu nyerere ilmeandaliwa kifundi kabisa na sababu zitakazotolewa hazitakua kuharibiwa bali ikolojia ya eneo kushindwa kustahimili nguvu za bwawa ili kumuepusha mkandarasi na lawama maana wanajua anaweza kushtaki kuhujuliwa.

Wameshamlazimisha kuandika maelezo yanayoonyesha eneo hilo lina miamba dhaifu aridhini hivyo life span yake haiwez kuwa kubwa, kupasuka kwa bwawa kutazika matumaini ya umeme nafuu na kuzika kabisa matumaini ya Rais Samia kuchaguliwa tena.

Wameshaandaa mtu wao ambaye atakuja kama masiah ambaye katika ajali hizi wanamweka mbali systematically asiwe sehemu ya uovu wowote,
vikingX Je kuondoka January Makamba wizara ya nishati ni kutimia kwa hii hujuma????
 

Attachments

  • received_1249448722437654.jpeg
    117.8 KB · Views: 2
Reactions: Ame
Kuna mazito yanakuja , the process is already rigged , namuonea huruma sana mama Samia , hajui uovu uliopandwa juu yake ,wanasubiri uote wamsulubu nao. Watanzania wangejua haya wangeshtuka usingizini wamsaidie Rais wao, magenge yanaenda kuivua nguo serikali the clock is ticking
 
Usimuwazie sana mkuu.
Ajali kazitega mwenyewe.

Anajua kila kitu. Wala hana haja na ushauri wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…