Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,648
Humu jamii forum kuna chawe wake mkuu anaitwa Lucas mwashambwa mda sio mrefu anakujaHawa vyawa ni akina nani?
👇View attachment 2467816
Mimi sio Chawa Ila Ni mshabiki wa Rais sio chama
Rejea sahihi yangu ya JF.Mimi sio Chawa Ila Ni mshabiki wa Rais sio chama
Hiyo ni nguvu ya mabeberu baidenKwa wale Ambao walikuwa Hawajui nguvu ya Mbowe na Chadema, Sasa Leo wametambulishwa rasimi
Bado unawaita mabeberu?!!! 😭 Wakati ndio tegemeo namba moja!! Hakika una roho ngumu saana ya kujidanganya kwa kuwachagulia majinaHiyo ni nguvu ya mabeberu baiden
Lucas Mwashambwa ni Chawa wa Mama JF!Hahaha......!
Babu Tale alikuwa Chawa wa Magufuli
Wewe ndio wale wajinga ullishaona nchi imeendelea kwa kuwategemea hao unaodai kuwategemeaBado unawaita mabeberu?!!! 😭 Wakati ndio tegemeo namba moja!! Hakika una roho ngumu saana ya kujidanganya kwa kuwachagulia majina