Rais Samia anaweza akastahimili lakini chawa wake anaweza asistahimili
Rais Samia ameyasema hayo akiwa anawaambia viongozi wa vyama vya siasa wanatakiwa kufanya siasa za kistaarabu kwasababu kutukanana siyo mila za kitanzania.

Akisema kuwa yeye anaweza kuwa na upeo mkubwa wa ustamihilivu kama aliyokuwa nayo, sababu yanampata lakini anakaa kimya lakini chawa wake anaweza asiwe na ustahilivu huo akavaana na chawa wa kiongozi mwingine hivyo kuleta vurugu nchini

Akasema badala ya kushinda wakitukanana wabishane kwenye hoja kama vile kwenye miradi ambayo haijakamilika na kwa kufanya hivyo itachangia kuleta maendeleo na uwajibikaji.

Wadau, kwa kauli hiyo team 'ANAUPIGA MWINGI' sasa wametambulika rasmi?
Chawa ni hatari kuliko Kwapa la shetani.
 
Habari wadau.katika hotuba yake mama amebainisha kuwa chawa ndo wanavuruga nchiiii kiasi kwamba wapo tayari kufanya lolote kumlinda boss wao ikiwa ni pamoja na kuua.Hivyo hakuna shaka kuwa kundi la watu wasiojulikana lilikuwa halitumwi na mtu yeyote bali kumfurahisha mungu wao.
 
MACHAWA ni WAUAJI wapo tayari uuawe nafasi yako wapewe wao
Angalia Tabia ya CHAWA
baloziwawatu_1672928613526477.jpg
 
Kam
Habari wadau.katika hotuba yake mama amebainisha kuwa chawa ndo wanavuruga nchiiii kiasi kwamba wapo tayari kufanya lolote kumlinda boss wao ikiwa ni pamoja na kuua.Hivyo hakuna shaka kuwa kundi la watu wasiojulikana lilikuwa halitumwi na mtu yeyote bali kumfurahisha mungu wao.
Samia ameweza kudhibiti chawa wake wasiue, Jiwe alishindwaje?
 
Dikteta Magufoool ndio mshamba pekee aliekuwa na chawa wengi sana.
 
Back
Top Bottom