Pre GE2025 Rais Samia anaweza kupata 90% ya Kura kama atagombea 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mwisho wa siku Mungu ndiye mwamuzi wa yote. Hata yule mwingine aliamini katika hila, nguvu, ubabe, uonevu, ukaidi, nk. Ila kilichokuja kutokea, kimebakia kuwa ni historia.
 
๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Atapata 100% kwasababu wapiga kura wanaojitambua hawatajitokeza kwa kuwa wanajua hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
nikuondolee wasiwasi na nikuhakikishie tu kwamba, kwanza maboresho ya daftari la kudumu la wapiga kura baadae mwaka huu, litaorodhesha vijana wengi mno wapya wenye umri wa miaka 18,

na hii inaweza kuchochea watakaojitokeza kupiga kura kwa zaidi ya asilimia zaidi ya 95 ya waliojiandikisha kupiga kura ๐Ÿ’

wenye mihemko, ghadhabu na hulka za fujo wanashauriwa kujizuia nyumbani kama wewe hivi...

Ili ushindi wa kishindo wa wa 90% wa Dr.Samia Suluhu Hassan upatikane kwenye mazingira wazi na ya amani ๐Ÿ’
 
watakao shupaza shingo watapata aibu ya Karne, watashindwa vibaya kwa fedheha sana ๐Ÿ’
 
Ni kweli kabisa hao wanawake watampigia kura za kutosha hata kama waume zao,bbaba zao na wao wenyewe wamegoma kufungua Biashara na sasa wanapata hasara kabisa!
ushindi wa kishindo wa zaidi ya 90% kwa Dr Samia Suluhu Hassan ni faida kwa waTanzania, na hapatakua na hasara kwa mwanainchi yeyote ๐Ÿ’
 
Machawa badala kusaidia wanaowalipa mmeguka vituko
 
Hilo tena Mkuu?
Kwa tume YAKE huru aliyounda lazima apate zaidi ya hizo!
Tume na dollar ni mali ya waTanzania wote.
Na ushindi wa kishindo wa zaidi 90% kwa Dr Samia Suluhu Hassan ni ushindi kwa Taifa na waTanzania wote ๐Ÿ’
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jitahidi sana watu wasijue huna akili
ushindi wa kishindo wa zaidi ya 90% atakao upata Dr Samia Suluhu Hassan utakuwa wa wazi bila kificho gentleman ๐Ÿ’
 
Kwanini unampa 90% Amini amini nakuambia atashinda kwa 110% Na hapo hatujaweka kura za mapaka ya bar na mapanya ya Ngorongoro.
 
Kama uko na wazazi wanaojielewa basi watakuwa wanahesabu kuwa kwako wamepata garash
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ