Pre GE2025 Rais Samia anaweza kupata 90% ya Kura kama atagombea 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kumkataa mgombea wako ni kuharibu kura, kama hapa ndio akili yako inapo ishia mimi sina cha kukujibu
kuharibu kura ni haki ya mpiga kura, so enjoy it freely...

but it is clear that Dr Samia Suluhu Hassan possibly anaweza kupata zaid ya 90% ya kura za urais endapo atagombea 2025...
ni Muhimu sana ukaliweka kichwani mwako hili πŸ’
 
Wapigaji wote big πŸ‘ YES πŸ™Œ
But wanyonge wote wanaendelea kumkumbuka Ngosha
Wanasemaga RIP JPM πŸ™„πŸ˜³πŸ€ 

Hapa nimewachanganya watu πŸ˜³πŸ˜…πŸ˜…
mie naona umejichanganya mwenyeweπŸ’

ni muhimu kukazia tu kwamba Dr.Samia Suluhu Hassan anapendwa na anakubalika sana nchini,
ni dhahiri ushindi wa kishindo wa zaid ya 90% unamuhusu endapo atawania Uchaguzi ujao πŸ’

ni vizuri hili ukaliweka kichwani na moyoni mwako ili isije mbele tukashikana mashati πŸ’
 
Wewe mdanganye tu
Mbona anataka ccm itoe fomu moja ya urais kama anakubarika?
Maana yake hata ndani ya CCM hakubaliki, uchaguzi wa ndani ni mgumu maana huu wa nje wanatumia dola kuipigania ccm sio Kizimkazi tena.
 
kuharibu kura ni haki ya mpiga kura, so enjoy it freely...

but it is clear that Dr Samia Suluhu Hassan possibly anaweza kupata zaid ya 90% ya kura za urais endapo atagombea 2025...
ni Muhimu sana ukaliweka kichwani mwako hili πŸ’
Huna akili
 
Maana yake hata ndani ya CCM hakubaliki, uchaguzi wa ndani ni mgumu maana huu wa nje wanatumia dola kuipigania ccm sio Kizimkazi tena.
kwahiyo wangwana mpo mnapotoshana na kupeana moyo wenyewe kwa wenyewe kwa raha zenu dah 🀣
 
Nikikujibu unafurahi kwenye huu upuuzi wako so ntakaa kimya kila la kheri
afadhalli ukae kimya,
maana fikra au hoja mbadala huna, zaidi ya uharibifu wa kura na mihemko isiyo na tija πŸ’
 
kuna ubaya wowote gentleman, mfano akapata ushindi wa kishindo wa zaid ya 90% ya kura zote za urais?πŸ’
Hapana, atavunja rekodi ya dunia na si ajabu akapata zaidi ya 100%. Kwa Tanzania hii ya leo hilo mbona ni jambo dogo sana na linalowezekana!
 
Hapana, atavunja rekodi ya dunia na si ajabu akapata zaidi ya 100%. Kwa Tanzania hii ya leo hilo mbona ni jambo dogo sana na linalowezekana!
100% hawezi kupata,
kumbuka pia wenye mihemko na ghadhabu wanaokusudia kwenda tu kuharibu kura kwa makusudi nao pia lazima watakuepo kwenye foleni la kupiga kura πŸ’

kwahiyo hao nao nimewazingatia kwenye hoja yangu.🀣
 
kwamba kuna changamoto ya kua good to reply than to understand the content or writing and reading skills? πŸ’
Ushauri wa bure kwako...acha kiburi na kudandia lugha za watu usio na uwezo nao. Bila shaka hapo ulipo unaamini kutoka rohoni kwamba unajua...watu kama wewe ni hasara tupu kwa taifa.
 
Ushauri wa bure kwako...acha kiburi na kudandia lugha za watu usio na uwezo nao. Bila shaka hapo ulipo unaamini kutoka rohoni kwamba unajua...watu kama wewe ni hasara tupu kwa taifa.
mwenye jeuri, majivuno na kiburi mingi si ni yule mjamaa alikua anakomaa kufanya uongo kua kweli na sasa ameadanishwa na bunge ama?πŸ’

hiyo ingine,
kwamba mimi nione haya au aibu kuzungumza lugha ya wenyewe kwasababu yako wewe mwenye lugha yako?πŸ’

uoga wako ndio umaskini wako...

ndio maana wengine hatuogopi kusema ukweli kwamba Dr Samia Suluhu Hassan anaweza kupata zaidi 90% ya kura zote za Urais endapo atagombea πŸ’

wewe unaogopa na kuona aibu kuzungumza kilugha, si utakua mtumwa sasa 🀣
 
Basi km uhakika ni huo wa ushindi waweke fair election uone
usiendekeze Imani haba kwenye mambo haya,

Uchaguzi utakua huru,haki na wa wazi mno. usije kuzira uchaguzi, halafu baada au uchaguzi ukiisha ndio ukagundua kwamba ulikua kweli wa haki, wazi na huru 🀣

itakubidi usubiri miaka mitano ijayo tena πŸ’
 
kumbeee, Mpe pongezi 🐸 KIZIWI 🀣🀣

Ushabwada.
 
Haya bana let’s wait and see πŸ™„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…