Rais Samia anawezaje kujenga zahanati 564, Vituo vya Afya 304 na Hospitali 68?

Rais Samia anawezaje kujenga zahanati 564, Vituo vya Afya 304 na Hospitali 68?

Mimi niko tayari kupambana katiba ibadilishwe huyu Mama atawale maisha,

Hatuna haja ya kuwaza Rais mwingine kama Mama huyu bado ananguvu,
 
Sawa sawa tumeanza kuandaa hoja za kwenda nazo kwenye uchaguzi 2025, kazi za JPM hamtozisikia kwenye kampeni.
 
Duuuh!

Ila Mama Samia ni kiboko aise, Tanzania ilisubiri Rais wa aina hii kwa muda mrefu sana,

Kongole Mama Samia keep on moving,
Chawa mko wengi. Hata JPM mlikuwa mnamsifia hivi hivi. I hope and trust mama anawaelewa watu kama nyinyi na njaa zenu.
 
Chawa mko wengi. Hata JPM mlikuwa mnamsifia hivi hivi. I hope and trust mama anawaelewa watu kama nyinyi na njaa zenu.
Mama yupi? Unamaanisha wote humu tuliomrengo wa Mama tunanjaa?!!
 
Chawa mko wengi. Hata JPM mlikuwa mnamsifia hivi hivi. I hope and trust mama anawaelewa watu kama nyinyi na njaa zenu.
Yes ni njaa zetu,

Ni njaa zetu zinatufanya tufurahie Zahanati 564 kwa kuwa sasa tutapata matibabu kirahisi sana,

Ni njaa zetu ndio maana tunafurahia vituo 304 vya Afya kwani sasa tunauhakika wake zetu watajifungulia huku huku,

Ninjaa zetu ndio maana tunafurahia Ujenzi wa hospitali mpya 68 zitakazookoa Maisha yetu kwani hatuna uwezo wa kwenda kutibiwa nje ya nchi ,

Yes ni njaa tu hizi 🙏🙏🙏🙏
 
Unamaelezo kibao ya kusifia wakati nikisoma taarifa husika inaomesha ujenzi umefanyika tangu awamu ya tano!!!

Ripoti ya CAG ya 2020/2021 mnasema mhusika ni JPM lakini ujenzi wa miundombinu ya 2020/2021 mnajipa sifa ninyi
 
Nani amebisha, Baadhi ujenzi ulianza awamu ya tano,Ila Mama anajenga zote kwa mkupuo ndio hoja yake nadhani
 
View attachment 2197392
===
Kunawakati nikimsikia mtu anamsema vibaya huyu Mama natamani kumpiga na kitu kizito kichwani,basi ni vile sheria tu,

Tangu tupate uhuru ni lini umewahi kuona Zahati 564 zinajengwa kwa mpigo nchi nzima?

Tangu tupate uhuru ni lini umewahi kuona vituo vya Afya 304 vinajengwa kwa Mpigo nchi nzima?

Tangu tupate uhuru ni lini tuliwahi kujenga hospitali 68 ikiwemo ya Mbagala kwa mpigo?

Hebu pitia kwa utulivu hii taarifa toka TAMISEMI, then umsikie mtu anamsema vibaya mama kama hujatamani kufanya ninayotamani Mimi,

=====
HUDUMA ZA AFYA YA MSINGI-TAMISEMI

27. Mheshimiwa Spika, katika Mwaka wa Fedha 2021/22 Ofisi ya Rais - TAMISEMI iliidhinishiwa Shilingi bilioni 28.20 kupitia ruzuku ya Serikali Kuu kwa ajili ya ukamilishaji wa ujenzi wa maboma 564 ya Zahanati katika Mamlaka za Serikali za Mitaa. Hadi kufikia Februari 2022, zimepokelewa Shilingi bilioni 23.32 sawa na asilimia 82.69 ya fedha zilizoidhinishwa. Ukamilishaji wa ujenzi upo katika hatua mbalimbali (Kiambatisho Na. 2).

28. Mheshimiwa Spika, katika Mwaka wa Fedha 2021/22 Shilingi bilioni 110.60 ziliidhinishwa kupitia ruzuku ya Serikali Kuu kwa ajili ya kuendelea na ujenzi wa Vituo vya Afya 304.

Kati ya hivyo, Vituo 52 vilianza kujengwa Mwaka wa Fedha 2019/20 na Vituo 252 vimeanza kujengwa Mwaka wa Fedha 2021/22 ambapo Vituo 18 vimejengwa kwenye Halmashauri zenye Mapato madogo na Vituo 234 vimejengwa katika Tarafa zisizo kuwa na Vituo vya Afya na Kata za Kimkakati kupitia tozo za miamala ya simu.

Hadi Februari, 2022 Shilingi bilioni 108.05 zimepokelewa sawa na asilimia 97.69 ya fedha zilizoidhinishwa na ujenzi unaendelea (Kiambatisho Na. 3).

29. Mheshimiwa Spika, katika Mwaka wa Fedha 2021/22 Serikali ilitenga Shilingi bilioni 81.10 kwa ajili ya kuendelea na ujenzi wa Hospitali 68 zilizoanza kujengwa mwaka 2018/19, Hospitali 31 zilizoanza kujengwa mwaka 2019/20 na kuanza ujenzi wa Hospitali mpya 28.

Hadi Februari, 2022 Shilingi bilioni 66.80 sawa na asilimia 82.36 zilikuwa zimepokelewa na ujenzi upo katika hatua mbalimbali (Kiambatisho Na. 3)

NB, Hizi Zahanati 564,Vituo vya Afya 304 na Hospitali 68 vyote hivi vinajengwa na TAMISEMI tu achili mbali vile vinavyojengwa na Wizara ya Afya sijaviorodhesha hapa,
Tuache kudanganyana...upigaji kama wote...Madarasa mangapi yalijengwa na wapi?
 
Back
Top Bottom