- Thread starter
- #61
Labda kule "CHADEMA Media "Asante.Mashimo Kumi Na Mbili Tu Kwenye Taarifa Ya Habari Itashika Head Line.
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda kule "CHADEMA Media "Asante.Mashimo Kumi Na Mbili Tu Kwenye Taarifa Ya Habari Itashika Head Line.
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Kila kitu kitawekwa sawa,Hatare! Ukichanganya na hospitali na vituo vya afya 700 vilivyojengwa wakati JPM bila shaka tutakuwa hatuna tena shida ya vituo vya afya bali vifaa tiba na madawa.
Vv
View attachment 2197392
===
Kunawakati nikimsikia mtu anamsema vibaya huyu Mama natamani kumpiga na kitu kizito kichwani,basi ni vile sheria tu,
Tangu tupate uhuru ni lini umewahi kuona Zahati 564 zinajengwa kwa mpigo nchi nzima?
Tangu tupate uhuru ni lini umewahi kuona vituo vya Afya 304 vinajengwa kwa Mpigo nchi nzima?
Tangu tupate uhuru ni lini tuliwahi kujenga hospitali 68 ikiwemo ya Mbagala kwa mpigo?
Hebu pitia kwa utulivu hii taarifa toka TAMISEMI, then umsikie mtu anamsema vibaya mama kama hujatamani kufanya ninayotamani Mimi,
=====
HUDUMA ZA AFYA YA MSINGI-TAMISEMI
27. Mheshimiwa Spika, katika Mwaka wa Fedha 2021/22 Ofisi ya Rais - TAMISEMI iliidhinishiwa Shilingi bilioni 28.20 kupitia ruzuku ya Serikali Kuu kwa ajili ya ukamilishaji wa ujenzi wa maboma 564 ya Zahanati katika Mamlaka za Serikali za Mitaa. Hadi kufikia Februari 2022, zimepokelewa Shilingi bilioni 23.32 sawa na asilimia 82.69 ya fedha zilizoidhinishwa. Ukamilishaji wa ujenzi upo katika hatua mbalimbali (Kiambatisho Na. 2).
28. Mheshimiwa Spika, katika Mwaka wa Fedha 2021/22 Shilingi bilioni 110.60 ziliidhinishwa kupitia ruzuku ya Serikali Kuu kwa ajili ya kuendelea na ujenzi wa Vituo vya Afya 304.
Kati ya hivyo, Vituo 52 vilianza kujengwa Mwaka wa Fedha 2019/20 na Vituo 252 vimeanza kujengwa Mwaka wa Fedha 2021/22 ambapo Vituo 18 vimejengwa kwenye Halmashauri zenye Mapato madogo na Vituo 234 vimejengwa katika Tarafa zisizo kuwa na Vituo vya Afya na Kata za Kimkakati kupitia tozo za miamala ya simu.
Hadi Februari, 2022 Shilingi bilioni 108.05 zimepokelewa sawa na asilimia 97.69 ya fedha zilizoidhinishwa na ujenzi unaendelea (Kiambatisho Na. 3).
29. Mheshimiwa Spika, katika Mwaka wa Fedha 2021/22 Serikali ilitenga Shilingi bilioni 81.10 kwa ajili ya kuendelea na ujenzi wa Hospitali 68 zilizoanza kujengwa mwaka 2018/19, Hospitali 31 zilizoanza kujengwa mwaka 2019/20 na kuanza ujenzi wa Hospitali mpya 28.
Hadi Februari, 2022 Shilingi bilioni 66.80 sawa na asilimia 82.36 zilikuwa zimepokelewa na ujenzi upo katika hatua mbalimbali (Kiambatisho Na. 3)
NB, Hizi Zahanati 564,Vituo vya Afya 304 na Hospitali 68 vyote hivi vinajengwa na TAMISEMI tu achili mbali vile vinavyojengwa na Wizara ya Afya sijaviorodhesha hapa,
Inawezekana kwa sababu tumeendelea kukamuliwa kodi na tozo bila chembe ya huruma.View attachment 2197392

Niwapi hakuna dawa mkuu wangu?Inawezekana kwa sababu tumeendelea kukamuliwa kodi na tozo bila chembe ya huruma.
Kodi na tozo hizo zimrendelea kupongezwa hata katikati ya majanga kama ya Corona na vita vya Ukraine.
Kwenye wakamuliwa kodi na tozo hizo wapo wasioweza kumudu hata zaidi ya mlo mmoja kwa siku.
Hospitali zenyewe ni majengo bila dawa wakati bajeti yake ni matrilioni yanaoishia mifukoni mwao.
watu wajinga sanaInawezekana kwakua hatuna akili tunaamini ni Rais ndio kajenga, ujinga wa kiwango Cha lami
tujiulize pia miaka yote hiyo hela zake zinafanyaga nini, tunapgigwaa sanaView attachment 2197392
===
Kunawakati huwa nikimsikia mtu anamsema vibaya huyu Mama natamani kumpiga na kitu kizito kichwani,basi ni vile sheria tu hairuhusu na Mungu hataki,
Hebu jiulize,tangu tupate Uhuru ni lini umewahi kuona jumla ya Zahanati mpya 564 zinajengwa kwa mpigo tena nchi nzima?
Hebu jiulize tena,tangu tupate Uhuru ni lini umewahi kuona vituo vipya vya Afya 304 vinajengwa kwa Mpigo nchi nzima?
Hebu jiulize zaidi,tangu tupate Uhuru ni lini tuliwahi kujenga hospitali 68 ikiwemo ile ya Mbagala kwa mpigo?
Hebu pitia kwa utulivu hii taarifa toka TAMISEMI, then umsikie mtu anamsema vibaya mama kama hujatamani kufanya ninayotamani Mimi,
=====
HUDUMA ZA AFYA YA MSINGI-TAMISEMI
27. Mheshimiwa Spika, katika Mwaka wa Fedha 2021/22 Ofisi ya Rais - TAMISEMI iliidhinishiwa Shilingi bilioni 28.20 kupitia ruzuku ya Serikali Kuu,
Fedha hii ni kwaajili ukamilishaji wa ujenzi wa maboma 564 ya Zahanati katika Mamlaka za Serikali za Mitaa.
Hadi kufikia Februari 2022, zimepokelewa Shilingi bilioni 23.32 sawa na asilimia 82.69 ya fedha zilizoidhinishwa.
28. Mheshimiwa Spika, katika Mwaka wa Fedha 2021/22 Shilingi bilioni 110.60 ziliidhinishwa kupitia ruzuku ya Serikali Kuu,
Fedha hii ni kwaajili ya kuendeleza na ujenzi wa Vituo vya Afya 304.
Kati ya hivyo, Vituo 52 vilianza kujengwa Mwaka wa Fedha 2019/20 ,
Jumla ya Vituo 252 vimeanza kujengwa Mwaka wa Fedha 2021/22,
Jumla ya Vituo 18 vimejengwa kwenye Halmashauri zenye Mapato madogo,
Vituo 234 vimejengwa katika Tarafa zisizo kuwa na Vituo vya Afya na Kata za Kimkakati kupitia tozo za miamala ya simu.
Hadi Februari, 2022 Shilingi bilioni 108.05 zimepokelewa sawa na asilimia 97.69 ya fedha zilizoidhinishwa na ujenzi unaendelea,
29. Mheshimiwa Spika, katika Mwaka wa Fedha 2021/22 Serikali ilitenga Shilingi bilioni 81.10,
Fedha hizi ni kwaajili ya kuendelea na ujenzi wa Hospitali 68 ,
Hadi Februari, 2022 Shilingi bilioni 66.80 sawa na asilimia 82.36 zilikuwa zimepokelewa na ujenzi upo katika hatua mbalimbali,
NB, Hizi Zahanati 564,Vituo vya Afya 304 na Hospitali 68 vyote hivi vinajengwa na TAMISEMI tu achili mbali vile vinavyojengwa na Wizara ya Afya sijaviorodhesha hapa,
Niwapi hakuna dawa mkuu wangu?
Nakuunga mkono. Takwimu hizo utakuta 90% fake- ni mapambio tu ya watu wake. Hapo hawatajwi walipa kodi na tozo ambao ndiyo hela zao. Halafu pia msisahau ya CAG.Leta majina na orodha ya vilipo hivyo vituo, awamu ya 5 mlisema kuna viwanda vipya 100 kila mkoa ambavyo havina majina mpaka leo
Asante kwa kutufahamisha wananchi.Wananchi wengi tunamuombea Mungu,ampe Afya na uzima.View attachment 2197392
===
Kunawakati huwa nikimsikia mtu anamsema vibaya huyu Mama natamani kumpiga na kitu kizito kichwani,basi ni vile sheria tu hairuhusu na Mungu hataki,
Hebu jiulize,tangu tupate Uhuru ni lini umewahi kuona jumla ya Zahanati mpya 564 zinajengwa kwa mpigo tena nchi nzima?
Hebu jiulize tena,tangu tupate Uhuru ni lini umewahi kuona vituo vipya vya Afya 304 vinajengwa kwa Mpigo nchi nzima?
Hebu jiulize zaidi,tangu tupate Uhuru ni lini tuliwahi kujenga hospitali 68 ikiwemo ile ya Mbagala kwa mpigo?
Hebu pitia kwa utulivu hii taarifa toka TAMISEMI, then umsikie mtu anamsema vibaya mama kama hujatamani kufanya ninayotamani Mimi,
=====
HUDUMA ZA AFYA YA MSINGI-TAMISEMI
27. Mheshimiwa Spika, katika Mwaka wa Fedha 2021/22 Ofisi ya Rais - TAMISEMI iliidhinishiwa Shilingi bilioni 28.20 kupitia ruzuku ya Serikali Kuu,
Fedha hii ni kwaajili ukamilishaji wa ujenzi wa maboma 564 ya Zahanati katika Mamlaka za Serikali za Mitaa.
Hadi kufikia Februari 2022, zimepokelewa Shilingi bilioni 23.32 sawa na asilimia 82.69 ya fedha zilizoidhinishwa.
28. Mheshimiwa Spika, katika Mwaka wa Fedha 2021/22 Shilingi bilioni 110.60 ziliidhinishwa kupitia ruzuku ya Serikali Kuu,
Fedha hii ni kwaajili ya kuendeleza na ujenzi wa Vituo vya Afya 304.
Kati ya hivyo, Vituo 52 vilianza kujengwa Mwaka wa Fedha 2019/20 ,
Jumla ya Vituo 252 vimeanza kujengwa Mwaka wa Fedha 2021/22,
Jumla ya Vituo 18 vimejengwa kwenye Halmashauri zenye Mapato madogo,
Vituo 234 vimejengwa katika Tarafa zisizo kuwa na Vituo vya Afya na Kata za Kimkakati kupitia tozo za miamala ya simu.
Hadi Februari, 2022 Shilingi bilioni 108.05 zimepokelewa sawa na asilimia 97.69 ya fedha zilizoidhinishwa na ujenzi unaendelea,
29. Mheshimiwa Spika, katika Mwaka wa Fedha 2021/22 Serikali ilitenga Shilingi bilioni 81.10,
Fedha hizi ni kwaajili ya kuendelea na ujenzi wa Hospitali 68 ,
Hadi Februari, 2022 Shilingi bilioni 66.80 sawa na asilimia 82.36 zilikuwa zimepokelewa na ujenzi upo katika hatua mbalimbali,
NB, Hizi Zahanati 564,Vituo vya Afya 304 na Hospitali 68 vyote hivi vinajengwa na TAMISEMI tu achili mbali vile vinavyojengwa na Wizara ya Afya sijaviorodhesha hapa,
Sana,huyu ndio Rais,wananchi,anatufurahisha kwa kututatulia mataizo yetu kwa vitendo,bila maneno mengi.Duuuh!
Ila Mama Samia ni kiboko aise, Tanzania ilisubiri Rais wa aina hii kwa muda mrefu sana,
Kongole Mama Samia keep on moving,
Daaaah, 😢😢watu wajinga sana
Kweli, tuendelee kumwombea Mama afya ya roho na mwili,Asante kwa kutufahamisha wananchi.Wananchi wengi tunamuombea Mungu,ampe Afya na uzima.
Wananchi hasa wanyonge tunafurahi sanaaa,Sana,huyu ndio Rais,wananchi,anatufurahisha kwa kututatulia mataizo yetu kwa vitendo,bila maneno mengi.
Huko ni duniani
Haya ni matapeli tupuNakuunga mkono. Takwimu hizo utakuta 90% fake- ni mapambio tu ya watu wake. Hapo hawatajwi walipa kodi na tozo ambao ndiyo hela zao. Halafu pia msisahau ya CAG.
Watakwambia hakuna alichofanya kwa mwaka mmja 😁😁😁😁..View attachment 2197392