The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 3,418
- 5,028
Hata Pascal Mayalla anajua kabisa umaskini ndio mtaji wa wana ccm, ndio maana ccm hawashangai mpaka leo matundu ya choo kwao ni maendeleo wanayaita
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mayalla ndio nani kwenye Taifa hili?Hata Pascal Mayalla anajua kabisa umaskini ndio mtaji wa wana ccm, ndio maana ccm hawashangai mpaka leo matundu ya choo kwao ni maendeleo wanayaita
Uko mkoa gani jonas amos ?Hahahaha vinajengwa wapi mbona mi mkoa mzima hakuna hataaaaa kimoja kimpya na na kwa mkoa jirani unamfahamu wilya tatu kati ya 6 hawana mradi mpya wa ujenzi
Wewe uko Tanzania kweli?Tuache kudanganyana...upigaji kama wote...Madarasa mangapi yalijengwa na wapi?
Kama humjui na unaendelea kuutukuza umaskini kwa tiketi ya chama, nikukumbushe tuu kuwa unaposkia kauli kama hii "nchi ina wenyewe" jua mapambano yako kwenye chama ndio yanayompa nasafi wenye nchi kushika madakaMayalla ndio nani kwenye Taifa hili?
Wewe na Mayalla mnatofautiana nini?Kama humjui na unaendelea kuutukuza umaskini kwa tiketi ya chama, nikukumbushe tuu kuwa unaposkia kauli kama hii "nchi ina wenyewe" jua mapambano yako kwenye chama ndio yanayompa nasafi wenye nchi kushika madaka
Kuna watu wanateseka bila kuteswaa,View attachment 2197392
===
Kunawakati nikimsikia mtu anamsema vibaya huyu Mama natamani kumpiga na kitu kizito kichwani,basi ni vile sheria tu,
Tangu tupate uhuru ni lini umewahi kuona Zahati 564 zinajengwa kwa mpigo nchi nzima?
Tangu tupate uhuru ni lini umewahi kuona vituo vya Afya 304 vinajengwa kwa Mpigo nchi nzima?
Tangu tupate uhuru ni lini tuliwahi kujenga hospitali 68 ikiwemo ya Mbagala kwa mpigo?
Hebu pitia kwa utulivu hii taarifa toka TAMISEMI, then umsikie mtu anamsema vibaya mama kama hujatamani kufanya ninayotamani Mimi,
=====
HUDUMA ZA AFYA YA MSINGI-TAMISEMI
27. Mheshimiwa Spika, katika Mwaka wa Fedha 2021/22 Ofisi ya Rais - TAMISEMI iliidhinishiwa Shilingi bilioni 28.20 kupitia ruzuku ya Serikali Kuu kwa ajili ya ukamilishaji wa ujenzi wa maboma 564 ya Zahanati katika Mamlaka za Serikali za Mitaa. Hadi kufikia Februari 2022, zimepokelewa Shilingi bilioni 23.32 sawa na asilimia 82.69 ya fedha zilizoidhinishwa. Ukamilishaji wa ujenzi upo katika hatua mbalimbali (Kiambatisho Na. 2).
28. Mheshimiwa Spika, katika Mwaka wa Fedha 2021/22 Shilingi bilioni 110.60 ziliidhinishwa kupitia ruzuku ya Serikali Kuu kwa ajili ya kuendelea na ujenzi wa Vituo vya Afya 304.
Kati ya hivyo, Vituo 52 vilianza kujengwa Mwaka wa Fedha 2019/20 na Vituo 252 vimeanza kujengwa Mwaka wa Fedha 2021/22 ambapo Vituo 18 vimejengwa kwenye Halmashauri zenye Mapato madogo na Vituo 234 vimejengwa katika Tarafa zisizo kuwa na Vituo vya Afya na Kata za Kimkakati kupitia tozo za miamala ya simu.
Hadi Februari, 2022 Shilingi bilioni 108.05 zimepokelewa sawa na asilimia 97.69 ya fedha zilizoidhinishwa na ujenzi unaendelea (Kiambatisho Na. 3).
29. Mheshimiwa Spika, katika Mwaka wa Fedha 2021/22 Serikali ilitenga Shilingi bilioni 81.10 kwa ajili ya kuendelea na ujenzi wa Hospitali 68 zilizoanza kujengwa mwaka 2018/19, Hospitali 31 zilizoanza kujengwa mwaka 2019/20 na kuanza ujenzi wa Hospitali mpya 28.
Hadi Februari, 2022 Shilingi bilioni 66.80 sawa na asilimia 82.36 zilikuwa zimepokelewa na ujenzi upo katika hatua mbalimbali (Kiambatisho Na. 3)
NB, Hizi Zahanati 564,Vituo vya Afya 304 na Hospitali 68 vyote hivi vinajengwa na TAMISEMI tu achili mbali vile vinavyojengwa na Wizara ya Afya sijaviorodhesha hapa,
😀😀😀Naona mkuu Mayalla anasaka kauteuzi kalala salama,Kama humjui na unaendelea kuutukuza umaskini kwa tiketi ya chama, nikukumbushe tuu kuwa unaposkia kauli kama hii "nchi ina wenyewe" jua mapambano yako kwenye chama ndio yanayompa nasafi wenye nchi kushika madaka
Wewe uko kijiji gani? Mtanana? Maana naona unapitwa na mamboWewe uko Tanzania kweli?
Mimi sina chama na yeye ni mwanachamaWewe na Mayalla mnatofautiana nini?
Wewe uko kijiji gani? Mtanana? Maana naona unapitwa na mambo
Mbona wewe mwenyewe ndio Mayalla?Mimi sina chama na yeye ni mwanachama
Huyu jamaa anatufake kwa "Id" nyingine😂😀😀😀Naona mkuu Mayalla anasaka kauteuzi kalala salama,
Na wana nzengo wanasemaje? Tusimdanganye mama. Tumpe support mambo yaende vizuri. Shida yetu wanufaika wa uongozi unaokuwa madarakani huwa hawasemi ukweli ulivyoMimi mbona nipo hapa Tanzania kitambo na kila mtaa/kijiji mama kafanya tukio,
Acha kuzingua,
Kwani ni uongo hizo hospitali na Zahanati kujengwa?Na wana nzengo wanasemaje? Tusimdanganye mama. Tumpe support mambo yaende vizuri. Shida yetu wanufaika wa uongozi unaokuwa madarakani huwa hawasemi ukweli ulivyo
Asante.Mashimo Kumi Na Mbili Tu Kwenye Taarifa Ya Habari Itashika Head Line.Hata Pascal Mayalla anajua kabisa umaskini ndio mtaji wa wana ccm, ndio maana ccm hawashangai mpaka leo matundu ya choo kwao ni maendeleo wanayaita
Kila anayetetea Rais ni Chawa ila anayetetea magenge ya Ugaidi ni shujaa,Chawa mko wengi. Hata JPM mlikuwa mnamsifia hivi hivi. I hope and trust mama anawaelewa watu kama nyinyi na njaa zenu.