Rais Samia anawezaje kujenga zahanati 564, Vituo vya Afya 304 na Hospitali 68?

Hahahaha vinajengwa wapi mbona mi mkoa mzima hakuna hataaaaa kimoja kimpya na na kwa mkoa jirani unamfahamu wilya tatu kati ya 6 hawana mradi mpya wa ujenzi
 
Mayalla ndio nani kwenye Taifa hili?
Kama humjui na unaendelea kuutukuza umaskini kwa tiketi ya chama, nikukumbushe tuu kuwa unaposkia kauli kama hii "nchi ina wenyewe" jua mapambano yako kwenye chama ndio yanayompa nasafi wenye nchi kushika madaka
 
Wewe na Mayalla mnatofautiana nini?
 
Kuna watu wanateseka bila kuteswaa,

Huyu Mama ni mpango wa Mungu tukubali tukatae,

Mambo anayoyafanya yanatetemesha,
 
Nimeoa msafara mkubwa wa ma v8 vipi mama karudi?
 
Mimi mbona nipo hapa Tanzania kitambo na kila mtaa/kijiji mama kafanya tukio,

Acha kuzingua,
Na wana nzengo wanasemaje? Tusimdanganye mama. Tumpe support mambo yaende vizuri. Shida yetu wanufaika wa uongozi unaokuwa madarakani huwa hawasemi ukweli ulivyo
 
Na wana nzengo wanasemaje? Tusimdanganye mama. Tumpe support mambo yaende vizuri. Shida yetu wanufaika wa uongozi unaokuwa madarakani huwa hawasemi ukweli ulivyo
Kwani ni uongo hizo hospitali na Zahanati kujengwa?
 
Hatare! Ukichanganya na hospitali na vituo vya afya 700 vilivyojengwa wakati JPM bila shaka tutakuwa hatuna tena shida ya vituo vya afya bali vifaa tiba na madawa.

Vv
 
Chawa mko wengi. Hata JPM mlikuwa mnamsifia hivi hivi. I hope and trust mama anawaelewa watu kama nyinyi na njaa zenu.
Kila anayetetea Rais ni Chawa ila anayetetea magenge ya Ugaidi ni shujaa,

Kweli hii nchi ni nzito sana,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…