Rais Samia anayepingwa kwa uzanzibari wake ndiye amefanya makubwa kuliko hao Marais wa Tanganyika

Kweli amefanya makubwa kuuza bandari, ngorongoro, KIA, misitu, DC wa kilosa kutoka Zanzibar, madini
 
Kweli amefanya makubwa kuuza bandari, ngorongoro, KIA, misitu, DC wa kilosa kutoka Zanzibar, madini
Baada ya kuuza Sasa pesa zinamimimika kwenye Bajeti ya Nchi kama zote.

Bado Kuna mashirika mengi ya kipumbavu yanatakiwa kuuzwa Ili kuleta ufanisi
 
Wewe unaakili kweli rais ndio amefanya hayo au ni bajeti ilipangwa kutekeleza hayo, unapozungumzia rais kufanya Jambo ni lazima liwe linahusisha taifa Kwa ujumla lenye kubadilisha mipango ya nchii.

Mfano: magufuli alifanya maamuzi ambayo ni ya kitaifa, kujenga bwawa la umeme ambalo linazalisha umeme ambalo Tanzania tokea ipate Uhuru haijawai kuuzalisha mg: 2100.

Alifanya maamuzi ya kujenga reli ambayo hayajafanyika Kwa miaka 120,tokea reli ya wachina ya Msaada.

Alifanya maamuzi ya kujenga daraja lefu kuliko yote Tanzania pale ziwani mwanza.

Alifanya maamuzi ya kufufua shirika la ndege ambalo lilikufa Kwa miaka ZAIDI ya ishirini.

Alifanya ujasusi WA kiuchumi kuinyang'anya Kenya mradi wa Bomba la mafuta kuuleta Tanzania.

Aliweza kusimama kidete kile alichokiamini kutetea wananchi wake kuhusu korona na kutuaminisha kwamba huu ni ugonjwa kama magonjwa mengine tuuzoee na tuishi nao, na ndicho mwisho WA siku WHO wakaja kukili kuwa tujifunze kuishi nao.

Ndiye aliyeasisi mfumo wa ukusanyaji wa Kodi huu huu unaona awamu hii inajisifia.

Ndiye aliyevunja rekodi ya kuamisha makao makuu ya nchii na kujenga ikulu tokea Uhuru.

Amefanya mageuzu ya mfumo wa madini ya nchii hii kitu ambachi hakuna rais yoyote aliyewai kuthubutu Kwa kuwahofia wazungu.


Haya ndio mambo ya kitaifa ambayo rais anapaswa kuyafanya ya kukumbukwa, hayo madogo madogo JPM kayafanya mengi mpaka bhasi.
 
Hata huku kijijini,

Ujenzi wa choo, Huwa hatuendi kukopa mkopo.

Iweje Serikali ijisifie kwenda kukopa Ili kujenga vyoo?
 
Hata huku kijijini,

Ujenzi wa choo, Huwa hatuendi kukopa mkopo.

Iweje Serikali ijisifie kwenda kukopa Ili kujenga vyoo?
Kwa hiyo kabla ya Samia hajajenga vyoo vya Mkopo mlikuwa mnakunya wapi? 🀣🀣,Ziwani au vichakani? 😁😁
 
JK mlimsifia, Leo tunalia, mkapa mlimsifia Leo tunalia, mwalimu mlimsifia Leo muungano unatunyonga, mwinyi mlimsifia Leo tunalia.

Mwaka 2030 bi ushungi tutaanza kumtukana na kumsema.

Sasa sielewi uchaguzi wenu kumpata mkuu wa nchi mnaufanya kwa manufaa ya nani?
 
Uwezo WA yule bibi , elimu yake, ni tatizo. Baba Abdul Alisha waachia kapiga kimya anawashangaa sana
 
Kwa hiyo unamlalamikia Lissu akugawie maokoto!?
 
Tatizo sulio kujebga vituo vya afya nchi nzima kutibu watu. Tatizo ni kukinga watu wasiugue kupunguza gharana za matibabu.

Majengo hata MOI yapi tatizo ni huduma na uwezo wa wataalam tulio nao.
 
Hizo shule wakimaliza wanaelekea wapi?
Hizo shule mnazo zijenga kama uyoga ,ndizo zitakazotumika kuiondoa ccm madarakani 2030
 
Maandishi tu haya kwenye uhalisia tunajua hali ngumu
Mko bize kununua magari ya bil 500 ila kununua madawa na kujenga vyoo vya shule mpaka mtegemee michango ya wahisani
Vipi pesa ya covid bado ipo?
 
Unajisikiaje mtu kutoka Zanzibar,anateuliwa kuja kuwa DC kilosa, wakati kule wapo watu 1.5m, unawanyima huo udc watu 60 m wa bara?
 
Kwa hiyo kabla ya Samia hajajenga vyoo vya Mkopo mlikuwa mnakunya wapi? 🀣🀣,Ziwani au vichakani? 😁😁
Sasa ukikopa pesa ukajengea choo,

Kuna biashara Gani chooni itakayokusaidia kupata pesa ya kulipa mkopo?

Kwani kinyesi Cha watoto mashuleni Huwa kinazalisha gesi asili Kisha zinapatikana pesa ya kuwezesha kulipa mikopo ya ujenzi wa vyoo?

Halmashauri wangebanwa, mapato ya ndani, yangeweza kujenga vyoo vya kisasa bila kukopa.

Tukisema viongozi hawana maono, mnadai mnatukanwa!!
 
Kama huyu bibi anafaa, mbona picha zimesambazwa nchi nzima?
Ili tumjue au ili tufanye nazo Nini?

Yeye mwenyewe anajua hawezi, na anaogopa kuongea hadharani kuomba kura na kukwepa maswali ya wananchi.
 
Mzigua gani aunde bunduki?
Uko serious kweli we jamaa!?
Principle of physics ya Tanzania ndio hiyo ya Japan,walipotuzidi Japan ni kuwekeza kwenye vipawa ilhali Tanzania tunadharau vipawa.
Watu wa ukanda wa pwani ya bahari ya Afrika mashariki hamkuwahi kuwa na akili,na kama mngeachwa peke yenu mngeendekeza kupanda minazi na kuvua samaki.
Hii pwani wabara ndio wameijenga.
Ukitaka kujua ninyi hamuna akili mtizameni huyu SAMIA MVAA ushungi kesha mfananishe na marehemu halafu urudi hapa.
 
Unakopa fedha unajenga madarasa?
Mkopo utalipwa na madarasa?
Yani mie huwa nawaona MAFALA wanaomsifia Samia.
Hii nchi inajifia wao wanamsifia.
Ukikuta wafanyakazi wanasifia mshahara kuongezwa huku gharama za maisha zimepanda sasa hela iliyoongezwa si inarudi kulekule sawa na bure?!
Pia watu hawajiulizi serikali inaongeza mishahara pesa inatoa wapi ya kuongeza mishahara kila muda!?
Jinga kabisa hawa.
 
Sir- 100 ajitokeze yeye binafsi, amjibu Tundu lissu hadharani kama kweli anataka kugombea urais wa Tanzania.

Vinginevyo , ni watu wanamuweka nyuma kumpigia debe mgombea adiyeweza kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…