Rais Samia anayepingwa kwa uzanzibari wake ndiye amefanya makubwa kuliko hao Marais wa Tanganyika

Hakuna cha maana alichofanya Miradi yote mikubwa ni ya magufuli
 
Wewe ni mbumbumbu au? Kidogo hivyo na zimenunuliwa.kwa Hospital zote za Mkoa Tanznaia nzima? Anunue zaidi ya idadi ya Hospital kwani ni mapambo?

Toka uhuru, wengine walinunua nini Sasa?
 
Tukiachana na kumalizia viporo Samia amefanya nini? Labda kuuza Rasilimali za nchi hapo Sana. Na kufunga taa za Barabarani Kwenye kila miji
Hivi ni viporo?
-Anajenga Vyuo Vikuu Mikoa 15
-Anajenga Skimu za Umwagiliaji zaidi ya 200
-Anajenga Bandari za kwenye Maziwa MbambaBay,Kigoma,Bukoba
-Anajenga Viwanja vya Ndege 15
-Anajenga maelfu ya Barabara(Hakuna Mji utaenda ukakosa taa za Barabarani kazi ya Samia hiyo).
-Amejenga na Kuunganisha grid ya Taifa Mikoa ya Kigoma na Katavi
-Anajenga Vyuo Vya ufundi 65 na amekamilisha 29
-Anajenga maelfu ya miradi ya Maji Nchi nzima na mradi wa pekee ni bwawa la Kidunda
-Anajenga Bandari ya Uvuvi Kilwa
-Anajenga masoko kila.sehemu kuanzia Kariakoo,ubungo, Tarime,Tunduma nk
-Anajenga Hospital za Rufaa za Kigoma na Ukerewe achana na zile zilizomshinda Mwendazake kama Chato,Mtwara nk Samia kazikamilisha.
-Kafungua na Kuunganisha maelfu ya Barabara za Vijijini

Mambo ni mengi mda ni mchache,hakuna Mkoa ambao hauna mradi kwenye sekta zote Tanzania Hadi huko kwenu uliko πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://twitter.com/mamayukokazini/status/1787092034966143046?t=R3cVX5W0wCQI40zuwGFL7g&s=19
 
Hizo shule alizo boresha ni zipi hizo?kama ameboresha mbona watoto wa viongozi hawasomi huko kama zamani wakati wa Mwalimu Nyerere na Mwinyi ambapo watoto wao walisoma shule moja na Watanzania wengine!!
 
Hizo shule alizo boresha ni zipi hizo?kama ameboresha mbona watoto wa viongozi hawasomi huko kama zamani wakati wa Mwalimu Nyerere na Mwinyi ambapo watoto wao walisoma shule moja na Watanzania wengine!!
Watoto wako wanasoma huko?
 
H
Hivyo ni vitu vya kawaida;weka mega projects alizoanzisha yeye personally akiwa mtawala!!
 
H

Hivyo ni vitu vya kawaida;weka mega projects alizoanzisha yeye personally akiwa mtawala!!
Aanzishe yeye personally? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Vitu vya kawaida na viliwashinda 😁😁..Hivyo unavyoita vya kawaida ndio viliwashinda na ndio vimeleta ustawi Kwa jamii kama hivi πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/reel/C6onyHxK4yj/?igsh=ZGJiOWZuMG0xNXh3
Mwisho,hata ukitaka miradi unayoita mega projects ni Mingi wakati wowote mfano hii hapa πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/C4ktYpktkEU/?igsh=MXMxd3lzZjQyZnRlcQ==
Samia sio looser kama yule mwingine,another question please?
 
Kaa kwa kutulia 2025, Rais Gwajima anachukua nchi tunaanza upya!!
Save hii comment!
 
Kaa kwa kutulia 2025, Rais Gwajima anachukua nchi tunaanza upya!!
Save hii comment!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nchi gani hiyo?

Sukuma gang mnahangaika sana.Mama amewafikia Hadi huko ambako Rais wenu alishindwa.

Kazi zinaongea πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Wewe mbuzi jike ni lini Gharama za maisha ziliwahi kushuka? Gharama za maisha 2016 ni sawa na za 2020?

Nachokupendea Huwa unaropoka ila huna facts,Nchi inakufa yet maelfu ya biashara zinafunguka.

Wivu utakuua na kamwe hauwezi Gita ukweli kwamba Samia amewafinika wale mliodhani walifanya makubwa.

Ona hapa watu wamepewa Boti za uvuvi na viximba huko huko kwenu usukumani,yule mtu wenu alishindwa πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://twitter.com/mamanafanikisha/status/1782675766011924915?t=s1Fi5HvITagVckGX0nJBZA&s=19
Nasisitiza hakuna mvaa suruali yeyote anseweza mzidi Samia Kwa chochote so far,miaka 3 imetisha kuwaonesha maana ya Uongozi.πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://twitter.com/mamanafanikisha/status/1781200484839075876?t=-K2FxUcxmyPQ7215aYVp0w&s=19
 
Chawa wanatumia nguvu sana kumpamba huyu Malikia!

Leo hii sehemu kama dar ukipanda kwenye daladala wananchi wana huzuni sana, yani Konda akianza kudai nauli tu watu wanakunja nyuso. Kwanza viwango halisi vya nauli havieleweki. Leo unalipa 800 kesho utalipa 700 kesho kutwa 1,000 na ruti ni ile ile.

Huyu Rais kwa uhovyo namfananisha na JK.
 
Sasa kama u hovyo was Samia unatuletea pesa na Ajira,wewe unataka uimara wa Mwendazake kutupora pesa? 🀣🀣🀣🀣🀣

Nguvu inaendelea kutumika kama Ifuatavyo πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://twitter.com/mamanafanikisha/status/1780484501153468456?t=Yctl7Tr--jcAukmM4GEYew&s=19
 
"The lady doth protest too much, methinks"
 
Kwani maendeleo unayosema amefanya alikuja na hela kutoka zanziba kulipia hiyo miradi?

Sasa ni hivii mwambieni samia kwamba sisi watanganyika na hao wazanji tunataka katiba mpya, Tanganyika yetu iongozwe na watanganyika wenyewe kadhalika Zanzibar
 
Uuze bandari , asilimia 80 zipotee na asilimia 20 zijenge zahanati afu tuendelee kumpa sifa?

Huna akili boss
 
Uuze bandari , asilimia 80 zipotee na asilimia 20 zijenge zahanati afu tuendelee kumpa sifa?

Huna akili boss
Ukitaka kujua ni kiasi gani kinabaki angalia Mapato yake ndio uje na conclusion sio ujinga wako hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…