Nyie punguani hivi mnaishi Dunia gani?
Tuanze na Afya
-Amejenga Hospital za Wilaya zote Tanzania (127 Mpya) na kumalizika zile zilizoanzishwa na Mwendazake
-Amejenga Vituo vya Afya zaidi ya 360
-Amejenga Hospital za Mkoa Mpya 5(Shy,Songea, Ukerewe,Rukwa,Mbagala)
-Ameweka MRIMachines 13
-Amenunua CT scans 26
-Amejenga Majengo ya Dharura Hospital zote za Wilaya,Mkoa na Vituo vya Afya
-Amenunua magari ya Wagonjwa 700
-Amenunua Vifaa tiba kushinda Rais mwingine yeyote hapa Tanzania
-Ameajiri maelfu ya Watumishi kwenye sekta ya Afya
-Anajenga hospital ya Rufaa ya Knada ya Magharibi-Kigoma na Kanda ya Ziwa Ukerewe
-Amemaliza Hospital zote ambazo Mwendazake alishindwa
View attachment 2984225View attachment 2984226View attachment 2984227
Vyote hivyo havikuwepo kabla ya 2021-2023 ,na vingine vingi vinaendelea.
Na wewe taja alivyofanya Magufuli