Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 3,629
- 3,015
kodihana uwezo wa kununua, kapata wapi hizo pesa
sio lazima kuaminiKamba tu hizi
Kila kitu kanunua? Hawa machawa wanatuchosha TU!hana uwezo wa kununua, kapata wapi hizo pesa
Kwa hela ya naniRais Samia ameongeza Ambulance Mpya 700 tunaposema mitano tena tunakumbuka hili pia.
Wakati Rais Samia anaingia madarakani idadi ya magari ya kubebea wagonjwa yalifikia jumla ya magari 540, Ameyaongeza magari haya mpaka kufikia jumla ya magari 1,267 sawa na tofauti ya magari mapya 727 ambayo ni sawa 135%
machawa yanaboa sana bossKila kitu kanunua? Hawa machawa wanatuchosha TU!
mimi kama mkristo, hata akinunua dunia nzima ailete Tanzania, kama anafuta makanisa na kutuzuia tusiabudu, sioni kama ana faida yeyote. hayo yote yanapita. aliyemshauri afute makanisa amempoteza sana.Rais Samia ameongeza Ambulance Mpya 700 tunaposema mitano tena tunakumbuka hili pia.
Wakati Rais Samia anaingia madarakani idadi ya magari ya kubebea wagonjwa yalifikia jumla ya magari 540, Ameyaongeza magari haya mpaka kufikia jumla ya magari 1,267 sawa na tofauti ya magari mapya 727 ambayo ni sawa 135%
DENI LIMEKOPWA NA WENGIUkumbuke kutuambia pia deni la Mama limefika Tirion 107
si ukute deni linakopwa pesa zinapelekwa zanzibar. watanganyika tutalipa.DENI LIMEKOPWA NA WENGI
Hivi mnaamini kabisa kuwa anafurahishwa na hizi sifa za kichawa chawa mnazompa?Rais Samia ameongeza Ambulance Mpya 700 tunaposema mitano tena tunakumbuka hili pia.
Wakati Rais Samia anaingia madarakani idadi ya magari ya kubebea wagonjwa yalifikia jumla ya magari 540, Ameyaongeza magari haya mpaka kufikia jumla ya magari 1,267 sawa na tofauti ya magari mapya 727 ambayo ni sawa 135%
Huu ni ujinga mpya nchini Tanzania... Fedha ni za wananchi serikali inatimiza wajibu wake!Rais Samia ameongeza Ambulance Mpya 700 tunaposema mitano tena tunakumbuka hili pia.