Rais Samia anunua ambulance mpya 700 tofauti na ambulance 540 za tangu uhuru

Rais Samia ameongeza Ambulance Mpya 700 tunaposema mitano tena tunakumbuka hili pia.

Wakati Rais Samia anaingia madarakani idadi ya magari ya kubebea wagonjwa yalifikia jumla ya magari 540, Ameyaongeza magari haya mpaka kufikia jumla ya magari 1,267 sawa na tofauti ya magari mapya 727 ambayo ni sawa 135%
Na mpaka Rais Samia anaingia kwenye madaraka nchi hii ilikuwa inaongozwa na Chadema au CUF?

Amandla...
 
Rais Samia ameongeza Ambulance Mpya 700 tunaposema mitano tena tunakumbuka hili pia.

Wakati Rais Samia anaingia madarakani idadi ya magari ya kubebea wagonjwa yalifikia jumla ya magari 540, Ameyaongeza magari haya mpaka kufikia jumla ya magari 1,267 sawa na tofauti ya magari mapya 727 ambayo ni sawa 135%
Zipo wapi hizo?
 
Ametoa pesa yake mfukoni? Stupidity at its best
 
Dakikq za jioooni ila VAR imeamua ni offside
Hahahahahahahahah next time aliwe Mwenyekiti
IMG-20250716-WA0015.jpg
 
Rais Samia ameongeza Ambulance Mpya 700 tunaposema mitano tena tunakumbuka hili pia.

Wakati Rais Samia anaingia madarakani idadi ya magari ya kubebea wagonjwa yalifikia jumla ya magari 540, Ameyaongeza magari haya mpaka kufikia jumla ya magari 1,267 sawa na tofauti ya magari mapya 727 ambayo ni sawa 135%

Uhuru kulikuwa na walipa kodi wangapi?

And now kuna walipa kodi wangapi?

Simple mathematics

Hizo ni kodi zetu, so yes hamna tatizo

Ni kama ww ulivyosomeshwa na mshua wako
 
Rais Samia ameongeza Ambulance Mpya 700 tunaposema mitano tena tunakumbuka hili pia.

Wakati Rais Samia anaingia madarakani idadi ya magari ya kubebea wagonjwa yalifikia jumla ya magari 540, Ameyaongeza magari haya mpaka kufikia jumla ya magari 1,267 sawa na tofauti ya magari mapya 727 ambayo ni sawa 135%
Wakati tunapata uhuru mpaka mwaka wa 70 idadi ya watanzania hsikuzidi mil.5, sasa hizo ambyulensi 700 zingembeba nani?
 
Rais Samia ameongeza Ambulance Mpya 700 tunaposema mitano tena tunakumbuka hili pia.

Wakati Rais Samia anaingia madarakani idadi ya magari ya kubebea wagonjwa yalifikia jumla ya magari 540, Ameyaongeza magari haya mpaka kufikia jumla ya magari 1,267 sawa na tofauti ya magari mapya 727 ambayo ni sawa 135%
Na ma V8 mangapi amenunua VS tangia uhuru?

No reform No reform
 
Aisee, yaani kununua ambulance nacho ni kitu cha kujivunia, hizi ni basics wazee, tunahitaji utekelezaji wa mipango mikubwa yenye matokeo makubwa. Wazungu wanasema "pet issues"

ndani ya viunga vya Fallujah-Iraq.
 
Rais Samia ameongeza Ambulance Mpya 700 tunaposema mitano tena tunakumbuka hili pia.

Wakati Rais Samia anaingia madarakani idadi ya magari ya kubebea wagonjwa yalifikia jumla ya magari 540, Ameyaongeza magari haya mpaka kufikia jumla ya magari 1,267 sawa na tofauti ya magari mapya 727 ambayo ni sawa 135%
Huko kwenu ziko ngapi maana huku kwetu sizioni kabisa ukute ziko kwenye makaratasi tu.
 
Mjinga kweli wewe, amenunua kwa hela ake au kodi za watanzania? kamwambie mumeo hiyo habari
 
Aisee, yaani kununua ambulance nacho ni kitu cha kujivunia, hizi ni basics wazee, tunahitaji utekelezaji wa mipango mikubwa yenye matokeo makubwa. Wazungu wanasema "pet issues"

ndani ya viunga vya Fallujah-Iraq.
Hawa akina mama wa UWT ni wapumbavu sn wanajaza ujinga server ya watu
 
Huu ni ujinga mpya nchini Tanzania... Fedha ni za wananchi serikali inatimiza wajibu wake!
Badala ya kumpongeza kiongozi ulipaswa uanze kuwapongeza walipa ushuru, tozo na Kodi!
LAKINI pia jiulize is there a value for money kwenye kinafochanyika?
Ama muhimu kwako ni ambulance iwepo! Mengine MUNGU atajua!
Zimegeuzwa fedha za Rais na siyo kodi za watanzania. Hovyo kabisa
 
Rais Samia ameongeza Ambulance Mpya 700 tunaposema mitano tena tunakumbuka hili pia.

Wakati Rais Samia anaingia madarakani idadi ya magari ya kubebea wagonjwa yalifikia jumla ya magari 540, Ameyaongeza magari haya mpaka kufikia jumla ya magari 1,267 sawa na tofauti ya magari mapya 727 ambayo ni sawa 135%
Sawa. Tukumbushe wewe una cheo Gani pale Lumumba au ikulu. Au ni mpiga zumari wa Buza?
 
Back
Top Bottom