Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 3,629
- 3,015
- Thread starter
- #41
HAPANAHuduma ya ambulance wanachaji
HAPANAHuduma ya ambulance wanachaji
Dah ku&a$m& wewe kweli ukawa dah sio poa..hana uwezo wa kununua, kapata wapi hizo pesa
NIMEKUPATA SANA MKUUTukifika huko Hospitali tuna pesa au Bima za kutibiwa ? Au ndio tukifa wanashika maiti zetu na kuziweka rehani ili tulipe mamilioni ?
Wakati wa Uhuru angalau Afya ilikuwa ni Huduma....
![]()
Afya ni Huduma, tuboreshe Hospitali za Umma
Afya ni Huduma kwa Jamii wala sio chanzo cha Mapato hivyo ni Muhimu sana kwa hizi Kodi zetu tunazolipa kuhakikisha Huduma za Kiafya zinamfikia kila mmoja wetu bila kujali kipato chao. Lakini sio sahihi kushinikiza watu binafsi kwa kuwapangia Bei au Kuwalazimisha wachukue BIMA sababu huenda kwao...www.jamiiforums.com
![]()
Ustawi wa Jamii; A Penny Saved is a Penny Earned; Serikali inaweza Kumpunguzia Mzigo wa Matumizi Mwananchi hivyo Kumwongezea Kipato cha Kutumia
Maadui wetu hawajawahi Kubadilika Umasikini, Ujinga na Maradhi..., Vilevile Mahitahi Muhimu ya Binadamu hayabadilika (Chakula Malazi na Mavazi); Karne ya sasa ambayo sio kila mtu anaweza kuchukua Jembe na kwenda kulima mihogo na kupata kitoweo Pesa inahitajika. Hii ndio itakupatia mahitaji...www.jamiiforums.com
![]()
Iwapo tunapunguza Utoaji Huduma (kubinafsisha); kwanini Kodi hazipungui? Je, tunaongeza kumbana Mwananchi ili kutoa (huduma) gani?
Kodi ni muhimu sana ili kufadhili shughuli za serikali, huduma kwa umma kama vile barabara na mashule, Usalama wa Jamii, Afya na Mengineyo. Sasa kama hata hayo kuanzia Elimu (Mikopo na Shule Binafsi); Afya tuna BIMA ya Afya na kulipia Private; Kuhakikisha wafanyakazi wanalipwa ujira stahiki...www.jamiiforums.com
Kamba gani wakati tunaziona hizo ambulance! Mnyonge mnyongeni haki yake mpeniKamba tu hizi
ni sawa ila ndizo hizo mpyaWakati wa uhuru Wagonjwa walikuwa wachache.
hii kweli tupuKamba tu hizi
Ujinga wako ndo unaliangamiza taifa!wewe nini kinakuuma?
Mbona huwa mnatuchanganya enyi watu ? Ni Raisi au Serikali?Rais Samia ameongeza Ambulance Mpya 700 tunaposema mitano tena tunakumbuka hili pia.
vyote ni sawaMbona huwa mnatuchanganya enyi watu ? Ni Raisi au Serikali?
Kwani kodi zetu zinaenda wapi hadi iwe ni raisi tu anatoa?
Mama anatisha kusema ukweliRais Samia ameongeza Ambulance Mpya 700 tunaposema mitano tena tunakumbuka hili pia.
Wakati Rais Samia anaingia madarakani idadi ya magari ya kubebea wagonjwa yalifikia jumla ya magari 540, Ameyaongeza magari haya mpaka kufikia jumla ya magari 1,267 sawa na tofauti ya magari mapya 727 ambayo ni sawa 135%
Uwezo wake baskeli za kitapeli wasukuma na wagogoKamba tu hizi
Hapo sasa ndio watu wajue umuhimu wa vyama vingi na siasa za ushindani.Rais Samia ameongeza Ambulance Mpya 700 tunaposema mitano tena tunakumbuka hili pia.
Wakati Rais Samia anaingia madarakani idadi ya magari ya kubebea wagonjwa yalifikia jumla ya magari 540, Ameyaongeza magari haya mpaka kufikia jumla ya magari 1,267 sawa na tofauti ya magari mapya 727 ambayo ni sawa 135%
HATA KAMA NI RUSHWA WEWE UNATAKA WATU WAFE KISA UCHAGUZI?Mbona hakuzitoa tangu mwanzo wa kipindi chake 2021-2025?
Lakini kwa hela za nani?
Hiyo ni Rushwa sasa!
ACHANA NA UHURU ANGALIA HIZI 540 ZA MWAKA 2020Pesa yako au za walipa Kodi, wakati wa uhuru tulikua wananchi wa ngapi na Sasa tupo wangapi? Na hata hizo 700 hazitoshi