Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 13,075
- 11,682
Na mpaka Rais Samia anaingia kwenye madaraka nchi hii ilikuwa inaongozwa na Chadema au CUF?Rais Samia ameongeza Ambulance Mpya 700 tunaposema mitano tena tunakumbuka hili pia.
Wakati Rais Samia anaingia madarakani idadi ya magari ya kubebea wagonjwa yalifikia jumla ya magari 540, Ameyaongeza magari haya mpaka kufikia jumla ya magari 1,267 sawa na tofauti ya magari mapya 727 ambayo ni sawa 135%
Zipo wapi hizo?Rais Samia ameongeza Ambulance Mpya 700 tunaposema mitano tena tunakumbuka hili pia.
Wakati Rais Samia anaingia madarakani idadi ya magari ya kubebea wagonjwa yalifikia jumla ya magari 540, Ameyaongeza magari haya mpaka kufikia jumla ya magari 1,267 sawa na tofauti ya magari mapya 727 ambayo ni sawa 135%
Ametoa pesa yake mfukoni? Stupidity at its bestRais Samia ameongeza Ambulance Mpya 700 tunaposema mitano tena tunakumbuka hili pia.
Wakati Rais Samia anaingia madarakani idadi ya magari ya kubebea wagonjwa yalifikia jumla ya magari 540, Ameyaongeza magari haya mpaka kufikia jumla ya magari 1,267 sawa na tofauti ya magari mapya 727 ambayo ni sawa 135%
Hahahahahahahahah next time aliwe MwenyekitiDakikq za jioooni ila VAR imeamua ni offside
Kwahio hajanunua yeye.. tumenunua sisi na kodi zetu.kodi
Rais Samia ameongeza Ambulance Mpya 700 tunaposema mitano tena tunakumbuka hili pia.
Wakati Rais Samia anaingia madarakani idadi ya magari ya kubebea wagonjwa yalifikia jumla ya magari 540, Ameyaongeza magari haya mpaka kufikia jumla ya magari 1,267 sawa na tofauti ya magari mapya 727 ambayo ni sawa 135%
Wakati tunapata uhuru mpaka mwaka wa 70 idadi ya watanzania hsikuzidi mil.5, sasa hizo ambyulensi 700 zingembeba nani?Rais Samia ameongeza Ambulance Mpya 700 tunaposema mitano tena tunakumbuka hili pia.
Wakati Rais Samia anaingia madarakani idadi ya magari ya kubebea wagonjwa yalifikia jumla ya magari 540, Ameyaongeza magari haya mpaka kufikia jumla ya magari 1,267 sawa na tofauti ya magari mapya 727 ambayo ni sawa 135%
Na ma V8 mangapi amenunua VS tangia uhuru?Rais Samia ameongeza Ambulance Mpya 700 tunaposema mitano tena tunakumbuka hili pia.
Wakati Rais Samia anaingia madarakani idadi ya magari ya kubebea wagonjwa yalifikia jumla ya magari 540, Ameyaongeza magari haya mpaka kufikia jumla ya magari 1,267 sawa na tofauti ya magari mapya 727 ambayo ni sawa 135%
Huko kwenu ziko ngapi maana huku kwetu sizioni kabisa ukute ziko kwenye makaratasi tu.Rais Samia ameongeza Ambulance Mpya 700 tunaposema mitano tena tunakumbuka hili pia.
Wakati Rais Samia anaingia madarakani idadi ya magari ya kubebea wagonjwa yalifikia jumla ya magari 540, Ameyaongeza magari haya mpaka kufikia jumla ya magari 1,267 sawa na tofauti ya magari mapya 727 ambayo ni sawa 135%
Hawa akina mama wa UWT ni wapumbavu sn wanajaza ujinga server ya watuAisee, yaani kununua ambulance nacho ni kitu cha kujivunia, hizi ni basics wazee, tunahitaji utekelezaji wa mipango mikubwa yenye matokeo makubwa. Wazungu wanasema "pet issues"
ndani ya viunga vya Fallujah-Iraq.
Zimegeuzwa fedha za Rais na siyo kodi za watanzania. Hovyo kabisaHuu ni ujinga mpya nchini Tanzania... Fedha ni za wananchi serikali inatimiza wajibu wake!
Badala ya kumpongeza kiongozi ulipaswa uanze kuwapongeza walipa ushuru, tozo na Kodi!
LAKINI pia jiulize is there a value for money kwenye kinafochanyika?
Ama muhimu kwako ni ambulance iwepo! Mengine MUNGU atajua!
wewe nini kinakuuma?Zimegeuzwa fedha za Rais na siyo kodi za watanzania. Hovyo kabisa
Sawa. Tukumbushe wewe una cheo Gani pale Lumumba au ikulu. Au ni mpiga zumari wa Buza?Rais Samia ameongeza Ambulance Mpya 700 tunaposema mitano tena tunakumbuka hili pia.
Wakati Rais Samia anaingia madarakani idadi ya magari ya kubebea wagonjwa yalifikia jumla ya magari 540, Ameyaongeza magari haya mpaka kufikia jumla ya magari 1,267 sawa na tofauti ya magari mapya 727 ambayo ni sawa 135%
MFAGIZI WA OFISISawa. Tukumbushe wewe una cheo Gani pale Lumumba au ikulu. Au ni mpiga zumari wa Buza?