Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Futa huu upuuzi ulioweka, hao wazee wa CCM ndio walipigania Uhuru hivyo yapaswa wapewe kipaumbele zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama anawakaanga mataga kimyakimya (Malisa,2021)Nimeona watoa hotuba baadhi Yao wakifanya reference ya CCM na si vyama vyote vya siasa kwa ujumla. Rais ni wa Watanzania, atakayoyahutubia yanahusu watanzania wote na siasa za nchi zina ubia Kati ya vyama vya upinzani na chama tawala. Hilo hakipendezi kwa mshikamano wa Taifa na uungwaji mkono wa serikali ya awamu ya sita.
Washereheshai mmefanya kosa kubwa, lirekebishe hilo next time.
Vibanda lazima viondoke mji unakuwa mchafuMama atangaze kuhusu wamachinga walioanza kufukuzwa waachwe watafute riziki zao.
Pia ujambazi wa mapanga umerudi Dsm nao auzungumzie amuachie Sirro maagizo na awe mkali kidogo.
Hii kiki imetengenezwa na lazima serikali itakemea.Mama atangaze kuhusu wamachinga walioanza kufukuzwa waachwe watafute riziki zao.
Pia ujambazi wa mapanga umerudi Dsm nao auzungumzie amuachie Sirro maagizo na awe mkali kidogo.
Yuko Dar..... Rais anaongea na wazee wa jiji la dar es salaam nje ya jiji la dar es salaam!
Hapo ndiko tabu ilipo....Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam amesema kuwa Hawa wazee wametokana na mabaraza ya ccm.
Nadhani hapo ndipo tunapokosea kama taifa, Kwanini Rais asikutane na wananchi pasipo mtazamo wa kisiasa. Mama Samia anazokofia mbili, pale anapotaka kukutana na wazee wa ccm atumie kofia ya uenyekiti wa ccm na anapovaa kofia ya Urais ya Tanzania auvae Utanzania usio na chama cha
Wazee wenzio walivyokua wananunua viwanja Dar ulikua wapiWazee wa mikoani hatuna thamani!
Hakuna asietaka watu wajitafutie riziki. Kinachotakiwa ni kufuata taratibu za nchi.Mama atangaze kuhusu wamachinga walioanza kufukuzwa waachwe watafute riziki zao.
Pia ujambazi wa mapanga umerudi Dsm nao auzungumzie amuachie Sirro maagizo na awe mkali kidogo.
Nakusahihisha kidogo: Rais anaongea na wazee wa CCM wa mkoa wa Dar es salaam.Anaongea na wazee wa MKOA wa Dar es Salaam sio jiji mkuu
Hili jambo tuli-discuss toka jana kuwa hao ni mamluki wa CCM hakuna wazee wa DarNimeona watoa hotuba baadhi Yao wakifanya reference ya CCM na si vyama vyote vya siasa kwa ujumla. Rais ni wa Watanzania, atakayoyahutubia yanahusu watanzania wote na siasa za nchi zina ubia Kati ya vyama vya upinzani na chama tawala. Hilo hakipendezi kwa mshikamano wa Taifa na uungwaji mkono wa serikali ya awamu ya sita.
Washereheshai mmefanya kosa kubwa, lirekebishe hilo next time.
Wewe ndiyo naona jina la Nkanini, uliogopa hata kupost humu positivelyMwendazake kweli alikua balaa sasa kila mtu amepata sauti yake back na matokeo yake kila mtu tumekua mabingwa wa uongeaji overnite!hawa ni wazee wa Dar au wa ccm doesn't matter la muhimu ni ujumbe from the president