Rais Samia aongea na Wazee wa Dar: Aahidi kutojali vyama katika teuzi zake. Serikali kutunza Haki, Demokrasia, Uhuru wa Habari

Rais Samia aongea na Wazee wa Dar: Aahidi kutojali vyama katika teuzi zake. Serikali kutunza Haki, Demokrasia, Uhuru wa Habari

Kitendo cha Rais kuvaa barakoa ni cha kupongezwa sana utakuwa ni mfano mzuri hasa kwa wale wabishi wa kujikinga na hiki kirusi hatari ambacho kimesababisha maafa makubwa na ya kutisha dunia yote.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewasili Ukumbi wa Mlimani City kuongea na Wazee wa Dar es Salaam

Tunakuletea updates hapa.
 
Huyu Dorothy Gwajima apelekwe hata kwenye seminar ya week moja ajifunze jinsi ya kuongea na kusimama vizuri mbele ya viongozi wakubwa wa nchi.

Yani anaongea kama chiriku halafu shingo kalaza upande utafikiri yupo kwenye Vicoba.
 
Heshima kwako mkuu
Hiyo heading imenifanya nihisi naangalia BBC NEWS ile kucheki hivi kumbe niko jamii forums jukwaa la siasa
 
Mwendazake kweli alikua balaa sasa kila mtu amepata sauti yake back na matokeo yake kila mtu tumekua mabingwa wa uongeaji overnite!hawa ni wazee wa Dar au wa ccm doesn't matter la muhimu ni ujumbe from the president
Kuna nafuu kidogo japo siyo sn
 
Huyu Dorothy Gwajima apelekwe hata kwenye seminar ya week moja ajifunze jinsi ya kuongea na kusimama vizuri mbele ya viongozi wakubwa wa nchi.

Yani anaongea kama chiriku halafu shingo kalaza upande utafikiri yupo kwenye Vicoba.
🤣🤣🤣🤣
Watu mna maneno jamani
 
Nimeona watoa hotuba baadhi Yao wakifanya reference ya CCM na si vyama vyote vya siasa kwa ujumla. Rais ni wa Watanzania, atakayoyahutubia yanahusu watanzania wote na siasa za nchi zina ubia Kati ya vyama vya upinzani na chama tawala. Hilo hakipendezi kwa mshikamano wa Taifa na uungwaji mkono wa serikali ya awamu ya sita.
Washereheshai mmefanya kosa kubwa, lirekebishe hilo next time.
Mkuu wa mkoa kasema waliokuwa wanaratibu zoezi la kukaribisha wazee ni viongozi wa CCM, hapo kweli ungetegemea kuona mzee mwenye damu ya upinzani?
 
Hiyo title inaleta njaa!

Mleta mada uwe na huruma next time.

-Kaveli-
 
Mimi nashangaa anaongea kwenye hiyo hadhara kama nani? Au ni kampeni yake ya kujipigia debe kwa mama? Mkuu wa Mkoa angetosha kabisa kumkaribisha mama.
Huyu Dorothy Gwajima apelekwe hata kwenye seminar ya week moja ajifunze jinsi ya kuongea na kusimama vizuri mbele ya viongozi wakubwa wa nchi.

Yani anaongea kama chiriku halafu shingo kalaza upande utafikiri yupo kwenye Vicoba.
 
Mic ni ile ile,

Kila mtu anapumulia pale pale..
 
Futa huu upuuzi ulioweka, hao wazee wa CCM ndio walipigania Uhuru hivyo yapaswa wapewe kipaumbele zaidi
Jamaa alitaka wamtaje mzee Mtei, Mrema, Cheo nk, usikute hii itatumika kama hoja au sera ya chama fulan cha upinzani katika uchaguzi mkuu wa 2025. Kwa kweli upinzani umedorora san sasa hivi
 
Back
Top Bottom