Rais Samia aongea na Wazee wa Dar: Aahidi kutojali vyama katika teuzi zake. Serikali kutunza Haki, Demokrasia, Uhuru wa Habari

Mama anawakaanga mataga kimyakimya (Malisa,2021)
 
Hata Sophia Simba alipovuliwa uwananchama wa CCM Speaker aliufuta ubunge wake lakini ni Speaker huyohuyo anaomba muhtasari wa kikao cha kuwafuta Ubunge Mzee Halima na wenzake pamoja na Katiba ya Chadema.
 
Mama atangaze kuhusu wamachinga walioanza kufukuzwa waachwe watafute riziki zao.

Pia ujambazi wa mapanga umerudi Dsm nao auzungumzie amuachie Sirro maagizo na awe mkali kidogo.
Vibanda lazima viondoke mji unakuwa mchafu

Ova
 
Mama atangaze kuhusu wamachinga walioanza kufukuzwa waachwe watafute riziki zao.

Pia ujambazi wa mapanga umerudi Dsm nao auzungumzie amuachie Sirro maagizo na awe mkali kidogo.
Hii kiki imetengenezwa na lazima serikali itakemea.

Tengeneza tatizo halafu jifanye unalitatua!
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam amesema kuwa Hawa wazee wametokana na mabaraza ya ccm.

Nadhani hapo ndipo tunapokosea kama taifa, Kwanini Rais asikutane na wananchi pasipo mtazamo wa kisiasa. Mama Samia anazokofia mbili, pale anapotaka kukutana na wazee wa ccm atumie kofia ya uenyekiti wa ccm na anapovaa kofia ya Urais ya Tanzania auvae Utanzania usio na chama cha
 
Hapo ndiko tabu ilipo....
Ilitakiwa waseme rais Samia anakutana na wazee wanaccm wa dar es salaam ingekuwa sawa.
 
Hawa wazee wamapanga kikao jioni hii ili wakitoka mama akawafuturishe.
 
Reactions: BAK
Mama atangaze kuhusu wamachinga walioanza kufukuzwa waachwe watafute riziki zao.

Pia ujambazi wa mapanga umerudi Dsm nao auzungumzie amuachie Sirro maagizo na awe mkali kidogo.
Hakuna asietaka watu wajitafutie riziki. Kinachotakiwa ni kufuata taratibu za nchi.

Kuruhusu watu kufanya biashara hovyo hovyo sio afya kwa maendeleo ya nchi. Watu wanatakiwa kufuata utaratibu kwa kufanyia biashara zao maeneo yaliyotengwa kwaajili hiyo.
 
Hili jambo tuli-discuss toka jana kuwa hao ni mamluki wa CCM hakuna wazee wa Dar
 
Mwendazake kweli alikua balaa sasa kila mtu amepata sauti yake back na matokeo yake kila mtu tumekua mabingwa wa uongeaji overnite!hawa ni wazee wa Dar au wa ccm doesn't matter la muhimu ni ujumbe from the president
 
Wewe ndiyo naona jina la Nkanini, uliogopa hata kupost humu positively
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…