Rais Samia aongea na Wazee wa Dar: Aahidi kutojali vyama katika teuzi zake. Serikali kutunza Haki, Demokrasia, Uhuru wa Habari

Wenye masikio watakuwa wamesikia wakiwamo wote waliofuatana naye. Kumbe ndiyo maana walialikwa wote.

Rasmi sasa nyungu na yale mauza uza yote na gonjwa hili sasa kwenda maji. Tahadhari huzika sasa zinaingia kazini.

Mama anakwenda vizuri.
 
"Dunia ipo kwenye Corona na wahanga wakubwa ni Wazee. Kamati niliyoiunda wanakwenda vizuri na karibu wataleta majibu" (SSH, 2021)
 
Mkuu, waonee huruma wazee wetu. Wapo mida ya jioni
 
Acha kuwaza upuuzi Babaako home unamfanyia hivyo?

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
"Dunia ipo kwenye Corona na wahanga wakubwa ni Wazee. Kamati niliyoiunda wanakwenda vizuri na karibu wataleta majibu" (SSH, 2021)

Mama ni chaguo la Mungu aloletwa kutuvusha katika wakati muafaka mno.
 
Hata Sophia Simba alipovuliwa uwananchama wa CCM Speaker aliufuta ubunge wake lakini ni Speaker huyohuyo anaomba muhtasari wa kikao cha kuwafuta Ubunge Mzee Halima na wenzake pamoja na Katiba ya Chadema.
Mambo yanabadilikadada/ kaka, kwa mini watu huogopa mabadiliko!? Spika amesema CDM Isiogope kupeleka vielelezo ili awatimue ubunge kwa haki sasa hivi.
 
Hivi wale wazee wastaafu wa afrika mashariki waliishia wapi na madai yao?
 
Rais wa watu, sio vitu. Leo ametaja masuala ya miradi kwa sentensi chache sana. Mwanzo mzuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…