usipotoshe siyo hivyo rais katoa sababu
Rais Samia Suluhu Hassan
Naomba niwaombe radhi kwamba mtindo wa maisha umebadilika. Tumekuja na vikaba midomo ninyi pamoja na sisi
Kwasababu mkusanyiko huu ni mkubwa na Wazee ni rahisi kupata haya maambukizi, hatuwezi kujua nani anayo na nani hana. Sisi wenzenu tunazunguka sana
Wenye masikio watakuwa wamesikia wakiwamo wote waliofuatana naye. Kumbe ndiyo maana walialikwa wote.
Rasmi sasa nyungu na yale mauza uza yote na gonjwa hili sasa kwenda maji. Tahadhari huzika sasa zinaingia kazini.
Mama anakwenda vizuri.