Rais Samia aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Dodoma

Rais Samia aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Dodoma

Kikao Cha waharamia na walanguzi wa Mali za tanganyika.... Eee mungu teketeza hilo jengo yafiyemo yote...👏👏👏
 
Wamlipe fidia Kwa kumzalilisha yeye binafsi na jeshi la Polisi Kwa ujumla wake, yaani wanataka kuonyesha Nepe, February, kitulo, tuli ni wenye ueledi kuliko igp na geshi la porisi
Cjakupata,nepi ,taulo stuli na gereshibla ...
 
Wadau hamjamboni nyote?

Rais Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu ya Chamwino, Dodoma leo tarehe 18/08/2023

Mpiga picha akamatwe.

Hebu zoom picha mbona simuoni vizuri raos hapo?


Tamko la TEC lilitoka kabla, wakati ama baada ya kikao cha BMW?

Jambo la tatu. God Save the President. Tuendelee kumuombea Rais
 
Back
Top Bottom