Rais Samia aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Dodoma

DPW pigeni chini la sivyo itakuwa sio poa kabisa
 
Urgent cabinet meeting!
Tamko la TEC limevuruga kila kitu ndani ya serikali. Ikulu ya Chamwino hapakaliki wala kulalika. Mama yuko full stress!
TEC ni kitu gani katika hii nchi. Hawana lolote zaidi ya ubaguzi tu. Waneona Mkatoliki mwenzao Dr Slaa kapewa kesi mbaya ndio maana wanapaza sauti. Kipindi kile Maalim Seif anahangaishwa hawakuwahi kumtetea. Pia issue ya DP WORLD ingefanyika kipindi cha JPM hao TEC USINGEWASIKIA. HATA KWENYE KESI YA MBOWE HAO TEC HAWAKUONEKANA.
JAMAA WAPO KIDHEHEBU ZAIDI
 
Mbona JPM aliukataa mkataba wa aina hiyo?
 
Rudisheni hela za wenyewe vikao mnajadili nini?
Tulizana karibu utajua kutulia sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…