Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Ameongoza kwa mafanikio makubwa sana kikao maalumu cha kamati kuu. Ambapo kikao hicho kimejadili masuala mbalimbali hususani yahusuyo hali ya kisiasa na matukio yake kabla ,wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu ulioshuhudiwa CCM ikiibuka kidedea na kupata ushindi wa kishindo kikuu kilicho itetemesha Dunia nzima katika nafasi zote za uongozi kuanzia Udiwani ,Ubunge pamoja na Urais.
Embu Soma Barua hii ya CCM
Ambapo katika masuala mbalimbali yaliyojadiliwa imetolewa pia adhimio la CCM kuweza kujitathmini na kujipanga vyema kubeba vyema jukumu la kuliongoza Taifa letu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.